Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

Haraka haraka zinatolewa.
Lakini za maafa utasikia hatuna fedha za kutosha
 
Haraka haraka zinatolewa.
Lakini za maafa utasikia hatuna fedha za kutosha
Lazima zitolewe haraka Kwa sababu huku ni rulling ya Mahakama vinginevyo Jamaa angekataa kuondoa shauri Mahakamani gharama ingekuwa zaidi ya hiyo.

Pili ni haraka Kwa sababu pia anaweza shika Mali za Nchi na mwisho Kuna wanamufaika hapo katikati ambao ndio wamesababisha Nchi ifike huko.

Maafa zinatokewa chap vinginevyo uje na mfano.
 
Humo mote lazima tule za uso,dadeki!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Tumempa heka kumi hakulima hata matikiti baada ya miaka kumi tumelitaka shamba letu tunamlipa 75bn dem shit
 
Tanzania kwa sasa ni kama mwanamke malaya kila anayetoa tasrifa amemgonga ,wengine nao wanajitahidi hivyo hivyo na kufanikwa kwa hiyo mnyororo ni mkubwa ,kuna wengine pia wanajaribu huenda wakaambulia kitu
 
Na hapo utaambiwa vijana hawajapewa pesa zao za mikopo kugharimia masomo vyuoni, bil. 75 inalipwa kindezi ndezi tu.
 
Naona hapo ma-technicalities ni mengi tu.... Mwisho wa Siku mimi kama Mlipa Kodi hakuna kulipa upuuzi wowote na kama kuna Mikataba Mibovu na tunaendelea kuingia Mikataba Mibovu (mwisho wa siku walioingia ndio wafilisiwe au wao na vizazi vyao wakawe watumwa kulipia hizo gharama na sio kila Mtanzania)

Upuuzi umezidi na the only way forward ni full transparency kwenye Mikataba yote ya UMMA huu Usiri unaleta upenyo wa 10% au watu kuingia mikataba ya Ajabu isiyotekelezeka ili mwisho wa siku walipwe...; Silaumu waliovunja nalaumu walioingia in the First Place..., na kama Gharama ya kupata wawekezaji ni kugeuzwa Shamba la Bibi basi na Wawekezaji pamoja na Sheria zao na Wasije....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…