Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

Kwani Mimi ndio nahusika na mikataba? Ipo ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kabudi hao ndio Wana majibu.

Nalaani uhuni huu maana niliandika Hadi mada kupinga.

Kwamba Mafungi yapi yanatumika.kulipia inaweza kuwa fungu la mengineyo maana lipio.
Haraka haraka zinatolewa.
Lakini za maafa utasikia hatuna fedha za kutosha
 
Haraka haraka zinatolewa.
Lakini za maafa utasikia hatuna fedha za kutosha
Lazima zitolewe haraka Kwa sababu huku ni rulling ya Mahakama vinginevyo Jamaa angekataa kuondoa shauri Mahakamani gharama ingekuwa zaidi ya hiyo.

Pili ni haraka Kwa sababu pia anaweza shika Mali za Nchi na mwisho Kuna wanamufaika hapo katikati ambao ndio wamesababisha Nchi ifike huko.

Maafa zinatokewa chap vinginevyo uje na mfano.
 
Mashauri yaliyopo katika hatua za usuluhishi ni:
1. Sunlodges v. Tanzania
2. Agro EcoEnergy and others v. Tanzania
3. Symbion Power and others v. Tanzania
4. Saab v. Tanzania
5. Winshear v. Tanzania ●[emoji3581]
6. Nachingwea and others v. Tanzania●[emoji3581]
Humo mote lazima tule za uso,dadeki!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Tumempa heka kumi hakulima hata matikiti baada ya miaka kumi tumelitaka shamba letu tunamlipa 75bn dem shit
 
Uongozi wa sasa ni wezi tu ndio maana mama hataki kufanya kazi na nguli wa sheria kama kina kabudi au kufuata ushauri wa watu kama kina prof shivji. Kina samia wanajua msingi wa kufuta mikataba kandamizi ila wanataka kupiga hela kwa hivyo wako harakahara tayari kulipa wahuni kwa kupewa percent. Kuna wengi huku mtaani wanaidai serikali mabilioni ya kihuni samia amewakubalia kimyakimya. Nchi kwa mfumo huu huria wa samia tutafunga nchi. Jiulize hawa wenye kudai kwa nini hawskuthubuti kudai awamu ya jpm hadi awamu hii ya eahuni ndio wsnaandaa madai yao tena kwa kusaidiwa na wapigaji wa ndani
Tanzania kwa sasa ni kama mwanamke malaya kila anayetoa tasrifa amemgonga ,wengine nao wanajitahidi hivyo hivyo na kufanikwa kwa hiyo mnyororo ni mkubwa ,kuna wengine pia wanajaribu huenda wakaambulia kitu
 
Na hapo utaambiwa vijana hawajapewa pesa zao za mikopo kugharimia masomo vyuoni, bil. 75 inalipwa kindezi ndezi tu.
 
Naona hapo ma-technicalities ni mengi tu.... Mwisho wa Siku mimi kama Mlipa Kodi hakuna kulipa upuuzi wowote na kama kuna Mikataba Mibovu na tunaendelea kuingia Mikataba Mibovu (mwisho wa siku walioingia ndio wafilisiwe au wao na vizazi vyao wakawe watumwa kulipia hizo gharama na sio kila Mtanzania)

Upuuzi umezidi na the only way forward ni full transparency kwenye Mikataba yote ya UMMA huu Usiri unaleta upenyo wa 10% au watu kuingia mikataba ya Ajabu isiyotekelezeka ili mwisho wa siku walipwe...; Silaumu waliovunja nalaumu walioingia in the First Place..., na kama Gharama ya kupata wawekezaji ni kugeuzwa Shamba la Bibi basi na Wawekezaji pamoja na Sheria zao na Wasije....
 
Back
Top Bottom