Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Huyo ni zaidi ya takataka.Ila we jamaa cheee [emoji1783][emoji1783][emoji57][emoji57][emoji706]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni zaidi ya takataka.Ila we jamaa cheee [emoji1783][emoji1783][emoji57][emoji57][emoji706]
Hao wapiga Debe wa Kimara kuna lipi wanalojua? Wakirushiwa mifupa Wanaamini ndo nyama.Tuwaulize wanazi Lucas mwashambwa ChoiceVariable haya mahela yanatolewa kwenye vote ipi ya bajeti.
Maana wao wanaijua seeikali kuliko hata waliomo ndani ya serikali
Haraka haraka zinatolewa.Kwani Mimi ndio nahusika na mikataba? Ipo ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kabudi hao ndio Wana majibu.
Nalaani uhuni huu maana niliandika Hadi mada kupinga.
Kwamba Mafungi yapi yanatumika.kulipia inaweza kuwa fungu la mengineyo maana lipio.
Hahahaha hivi hii ni hela ya kutosha kujenga viwanja vingapi vya kisasa vya mpira?Billion 75 dadeki 🤔
Lazima zitolewe haraka Kwa sababu huku ni rulling ya Mahakama vinginevyo Jamaa angekataa kuondoa shauri Mahakamani gharama ingekuwa zaidi ya hiyo.Haraka haraka zinatolewa.
Lakini za maafa utasikia hatuna fedha za kutosha
Humo mote lazima tule za uso,dadeki!Mashauri yaliyopo katika hatua za usuluhishi ni:
1. Sunlodges v. Tanzania
2. Agro EcoEnergy and others v. Tanzania
3. Symbion Power and others v. Tanzania
4. Saab v. Tanzania
5. Winshear v. Tanzania ●[emoji3581]
6. Nachingwea and others v. Tanzania●[emoji3581]
Lisu anahusikaje hapa unampa tu sifa za kijingaLissu alisema tutashitakiwa Miga tukajitia wazalendo haya sasa kiko wapi[emoji38]
View attachment 2785109
Tanzania kwa sasa ni kama mwanamke malaya kila anayetoa tasrifa amemgonga ,wengine nao wanajitahidi hivyo hivyo na kufanikwa kwa hiyo mnyororo ni mkubwa ,kuna wengine pia wanajaribu huenda wakaambulia kituUongozi wa sasa ni wezi tu ndio maana mama hataki kufanya kazi na nguli wa sheria kama kina kabudi au kufuata ushauri wa watu kama kina prof shivji. Kina samia wanajua msingi wa kufuta mikataba kandamizi ila wanataka kupiga hela kwa hivyo wako harakahara tayari kulipa wahuni kwa kupewa percent. Kuna wengi huku mtaani wanaidai serikali mabilioni ya kihuni samia amewakubalia kimyakimya. Nchi kwa mfumo huu huria wa samia tutafunga nchi. Jiulize hawa wenye kudai kwa nini hawskuthubuti kudai awamu ya jpm hadi awamu hii ya eahuni ndio wsnaandaa madai yao tena kwa kusaidiwa na wapigaji wa ndani
350b mkuu halafu wanataka watanznaia wasiwatukane shenzi typeNa za symbion billion 300 usisahau
Kama Kuna sheria inazuia mashauri yote kusikilizwa Nje ya nchi. Inakuwaje haya malipo yanafanyika? Au hiyo sheria ilifutwa baada ya mabadiliko ya awamu?...ila baada ya Mama kuingia, tukaanza kulipa kimya kimya kisiri siri! huku mambo hadharani!.
Kimoja cha watu 30000 hvHahahaha hivi hii ni hela ya kutosha kujenga viwanja vingapi vya kisasa vya mpira?