toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Ubongo wetu umefanyaje ? Rais anateua watu wake watakaomsaidia kushind next electioo basi sasa utasemaje shida sio katiba, wateule wote wako obligated kumsikiliza mkuu kwa lolote analosema akipinga anatolewa kwenye nafasi hata kama alichokipinga kina maslai kwa taifa, mkuu hapa everything is connected to everything tuanze kwenye the root cause sio huku juu juu, unampaje mtu kazi kisa tu ni mkwe wako ? Ujinga ni mwingi mastaShida sio katiba tusitoane ufahamu shida inaanzia kwenye bongo zetu.
Sheria ibadilike tutunge sheria kali ili yeyote akizongua apogwe kitabzi hadharani watu watakuwa na discipline. Ndio mana CCM hawatak katiba ibadilike watabanwa sehemuMie nadhan ifikie hatua hawa wanaotutia hasara tuwanyonge hadharani
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said CCM NDIO TATIZOOPM again at his best with the same lengthy, old, classic, familiar, bizarre Tanzanian narrative. Anyway tunashukuru kwa kutiririka tena kuhusu βmaajabuβ tuliyoyazoea ya nchi hii.
Jibu kama sisi ni wajinga au wapumba wanalo mashabiki wa kejeli ya βtutashitakiwa MIGAβ; βmzalendo wa kusimamia rasilimali za nchiβ; βChibaβ, etc.
Rais mmoja wa CCM anaingia mikataba ya kifisadi ya kuhujumu nchi. Anashangiliwa kwa shangwe zote kama mkombozi wa nchi kiuchumi. Rais wa CCM anayefuatia anavunja hiyo mikataba na kubadilisha sheria zinazohusika. Anashangiliwa kweli kweli kama mkombozi wa nchi kwa kulinda rasilimali. Halafu nchi ikibanwa kwenye mahakama za kimataifa analipa madai kisirisiri na kulalamikia βwasalitiβ. Rais wa CCM anayefuatia analipa kiroho safi na kwa uwazi madai yote yanayojitokeza kutokana na madhambi ya waliomtangulia. Hakuna maelezo yanayotolewa kwa wananchi wala hakuna anayewajibishwa.
What a charade!
Ujinga na upumba ni wa kudumu hadi siku uchawa kwa magenge ya viongozi wa CCM utakapokoma na kura za wananchi kuheshimiwa kwenye chaguzi zetu. Kama nguvu ya wananchi kuweka viongozi madarakani na kuwawajibisha haipo nchi itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu.
Thatβs the point !!Nani alaumiwe mkuu kama sio ccm. Mmoja apokee wawekezaji mwingine aje wafukuza. Unategemea nini?
Huyu babu wa Msoga tutamwambia Mungu amrudishe kwake na akamchome moto wa kutosha!Nashukuru leo umeandika kama Paschal Mayalla, kimsingi hizi ni dili za Mkwere, hii kesi haikuwepo imefufuliwa mwezi wa 7 2023 September 2023 malipo yakafanyika sijui kwa budget ipi? Ukisikia wateule wanamsifia sn maza kupita MUNGU wao sababu ni dili kama hizi, mara awe Mama wa Taifa sijui Dkt huku nchi ipo gizani, hakuna maji petrol shida, majibu ni haya. Tuacheni uchawa tusimame na nchi yetu
Utaongea yoote ila mkuu shida inaanzia kwenye bongo zetu.Ubongo wetu umefanyaje ? Rais anateua watu wake watakaomsaidia kushind next electioo basi sasa utasemaje shida sio katiba, wateule wote wako obligated kumsikiliza mkuu kwa lolote analosema akipinga anatolewa kwenye nafasi hata kama alichokipinga kina maslai kwa taifa, mkuu hapa everything is connected to everything tuanze kwenye the root cause sio huku juu juu, unampaje mtu kazi kisa tu ni mkwe wako ? Ujinga ni mwingi masta
Mungu anawaona wote wanaohusika !Nashukuru leo umeandika kama Paschal Mayalla, kimsingi hizi ni dili za Mkwere, hii kesi haikuwepo imefufuliwa mwezi wa 7 2023 September 2023 malipo yakafanyika sijui kwa budget ipi? Ukisikia wateule wanamsifia sn maza kupita MUNGU wao sababu ni dili kama hizi, mara awe Mama wa Taifa sijui Dkt huku nchi ipo gizani, hakuna maji petrol shida, majibu ni haya. Tuacheni uchawa tusimame na nchi yetu
Sasa tufanyaje mkuu ili ubongo zetu zikae sawa ?Utaongea yoote ila mkuu shida inaanzia kwenye bongo zetu.
Kwani hata katiba iliyopo tuu hatujawahi kuifanyia kazi .
Kwani hakuna idadi ya juu kabisa ya kujisahihisha halafu tukasema basi? Au ni saba mara sabini? Nisiambiwe hapo nimechanganya siasa na dini!!Tujisahihishe kama ambavyo amewahi kuandika baba wa Taifa ili tusirudie makosa ambayo yatakuwa yanatugharimu kama Taifa.
Unanikumbusha mzalendo mmoja enzi zetu anaitwa Pasco...dah...Mungu akubariki Pascal Mayalla kwa kurudi kwenye uzalendo wa kweli tofauti na hapa kati ulipogeuka Chawa.
Inauma tena inahuzunisha tunavyotendewa
KARMA is just around the corner πππThe worst is yet to come
Mimi nafikiri tujilaumu sisi watanganyika kwa kushindwa kupigania Katiba mpya ya nchi. Kwa katiba hii hakuna jipya lolote tunalolitegea katika nchi yetu, watu ni walewale, style ya kutawala ni ile ile - kuna kitu hapo.Nani alaumiwe mkuu kama sio ccm. Mmoja apokee wawekezaji mwingine aje wafukuza. Unategemea nini?
Kwenye kukataa jambo tukatae kwa pamoja bila kujali Hawa upinzan uchwala.Sasa tufanyaje mkuu ili ubongo zetu zikae sawa ?
Tena kwa dharau wanaita "kajitabu"Mimi nafikiri tujilaumu sisi watanganyika kwa kushindwa kupigania Katiba mpya ya nchi. Kwa katiba hii hakuna jipya lolote tunalolitegea katika nchi yetu, watu ni walewale, style ya kutawala ni ile ile - kuna kitu hapo.
Bila katiba mpya, hatutoboi.