Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sonona gonjwa la taifa aisee🤣Hawa dada zetu wa UWT ni kuwaonea hawajui kitu chochote wao wamekata tamaa ya maisha hivyo tuwasaidie wanasumbuliwa na msongo wa mawazo.
Nilikuwa najiuliza mbona wateule wake wanamsifia sn maza? nimepata majibuTafakari upya msimamo wako wa kupigia chapuo CCM
Serikali ya CCM imetufikisha hapo na hatuna la kuifanya. Tukiwa na serikali inayowabikika kwa wananchi inakuwa na guts za kutofanya makosa ya kuigharimu nchi.
Hatukuanza leo kulipishwa hayo mabilion. So long as tunaendelea na CCM haitakuwa mwisho wa kulipishwa hayo mahela.
Leo tunamlaumu JPM kwa kudhani ndo tumeshaliadress tatizo. JPM ni zao la CCM na hata huyu wa sasa anayetuingiza mkenge maradufu naye ni zao la chama chetu kilichopoteza dira.
Inauma, lakini tuanze kuuishi ukweli
Hatari snSonona gonjwa la taifa aisee🤣
Hii kesi imefufuliwa na wanaume wapige pesa then maza wa mwambie anaupiga mwingi na majina mazuri mazuri huku wanapiga pesa za umma, umewahi kuona wapi kesi kubwa kama hii inaendeshwa kwa miezi 2? kuna kesi ya ubunge ambayo haina maslahi kwao leo ina miaka 2 haijulikani hata mwisho wake.
CCM siyo mtu, haiwezekani kuilaumu. Huko mahakamani haiendi CCM.Nani alaumiwe mkuu kama sio ccm. Mmoja apokee wawekezaji mwingine aje wafukuza. Unategemea nini?
CCM siyo mtu, haiwezekani kuilaumu. Huko mahakamani haiendi CCM.
Tulaumu watu wanaofanya haya maamuzi na watajwe hadharani ili wananchi tuwaachie au tuwahukumu. Siyo kila siku kutaja kitu kisichoonekana eti ccm.
HIz ni shule kadhaa kaliiii za serikali kiwango cha english medium kwa kila mkoa Tanzania Nzima.Sio chininya shule 20 zilizokamilika kwa kila mkoa watoto wetu wakasoma kwa angalau kulipa ada ya 150,000/= kwa mwaka ili kuzifanya ziendelee kuwa bora.Billion 75 dadeki 🤔
Huwezi kujisahihisha Kwa bunge butu linalopokea na kupitisha Kila kitu toka serikalini bila kuhoji wala kurekebisha. Huwezi kujisahihisha kama Una Spika ambaye ni Msemaji wa serikali.Tujisahihishe kama ambavyo amewahi kuandika baba wa Taifa ili tusirudie makosa ambayo yatakuwa yanatugharimu kama Taifa.
😍😍😍kosa kubwa ni kuruhusu mtu kama JPM kua Raisi wa nchi
Kwani Mimi ndio nahusika na mikataba? Ipo ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kabudi hao ndio Wana majibu.Tuwaulize wanazi Lucas mwashambwa ChoiceVariable haya mahela yanatolewa kwenye vote ipi ya bajeti.
Maana wao wanaijua seeikali kuliko hata waliomo ndani ya serikali