Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Sio lazima tuwaonee hurumaHivi una habari wapalestina wako under occupation kwa miaka zaidi ya 75. Hauna huruma kwao hata kidogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima tuwaonee hurumaHivi una habari wapalestina wako under occupation kwa miaka zaidi ya 75. Hauna huruma kwao hata kidogo?
Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948.
Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia msemaji wa jeshi imesema ilifanya hivyo ili kumpata kamanda mmoja wa Hamas aliyeshiriki kupanga shambulio la Oktoba 7.
Kupigwa kwa kambi hiyo ndio kumeijulisha dunia zaidi Israel na jeshi lake la IDF ni nani.
1. Ni waongo sana
Hamas wamesema hawana kamanda yeyote anayeishi kwenye kambi hiyo.
2.Ni waoga wa mwisho
Walikuwa wanamsaka kamanda mmoja lakini wamerusha makombora 7 mazito yaliyoangusha majengo zaidi ya 20.Inakuwaje mtu mmoja anapigwa na idadi ya yote hiyo ya makombora.
Kwa vile wametangaza wameshaingia Gaza si wangetuma askari kwenda kumuu huyo kama waliyemtaka bila kutumia ndege.
Katika shambulio hilo watu zaidi ya 100 wengi wakiwa ni watoto wameripotiwa kufa hapo hapo na wengi kujeruhiwa.
Waandishi wa habari na wahudumu wa mashirika ya kutoa misaada ambao si waislamu wamehuzunishwa sana na shambulio hilo kwa watu maskini.
Kilichowatoa machozi baadhi yao ni kuona watoto wadogo wakibeba maiti za watoto wenzao na wengine wakbeba majeruhi waliokuwa viuongo vikidondoka chini.
Akinamama na watoto walionekana kupata mshtuko na kutojua wapi waelekee na maiti na majeruhi hao mikononi mwao.
imewahuzunisha sana kuona watoto wa kike kwa kiume wakiingia kwenye shughuli hiyo kubeba maiti na majeruhi bila kuelekezwa na yeyote huku wakiwa wamechanganyikiwa.

Nilikuwa naangalia matangazo ya moja kwa moja nikaona.Na hapa chini wengine walioona wamesimuliaMbona kwenye pich hamna watt na kina mama kama unavolia?
Tafuta Bible usome Amosi 1:6-8 haya mambo yote yalishaelezwa unabii unatimiaWakristo wa Ulaya wana huruma kuliko wa Tanzania.Sijui ni kwa nini.
Katibu mkuu UN pia kaona ukweli lakini huyu pangu pakavu hapati huruma kama hiyo.
Mtaanzisha hizi nyuzi mpaka mchoke tu na hazisaidii lo lote. Za chini ya kapeti zinasema kwamba MOSSAD na CIA waliujua mchezo wote na wakauachia tu collateral damage itokee ili watoe kichapo kikali cha karne kwa HAMAS. Na wamemkuta Bibi akiwa mdhaifu kisiasa na bila shaka tukio hili kwake ni zawadi kubwa sana.Wakristo wa Ulaya wana huruma kuliko wa Tanzania.Sijui ni kwa nini.
Katibu mkuu UN pia kaona ukweli lakini huyu pangu pakavu hapati huruma kama hiyo.
Tafuta Bible usome Amosi 1:6-8 haya mambo yote yalishaelezwa unabii unatimia
Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948.
Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia msemaji wa jeshi imesema ilifanya hivyo ili kumpata kamanda mmoja wa Hamas aliyeshiriki kupanga shambulio la Oktoba 7.
Kupigwa kwa kambi hiyo ndio kumeijulisha dunia zaidi Israel na jeshi lake la IDF ni nani.
1. Ni waongo sana
Hamas wamesema hawana kamanda yeyote anayeishi kwenye kambi hiyo.
2.Ni waoga wa mwisho
Walikuwa wanamsaka kamanda mmoja lakini wamerusha makombora 7 mazito yaliyoangusha majengo zaidi ya 20.Inakuwaje mtu mmoja anapigwa na idadi ya yote hiyo ya makombora.
Kwa vile wametangaza wameshaingia Gaza si wangetuma askari kwenda kumuu huyo kama waliyemtaka bila kutumia ndege.
Katika shambulio hilo watu zaidi ya 100 wengi wakiwa ni watoto wameripotiwa kufa hapo hapo na wengi kujeruhiwa.
Waandishi wa habari na wahudumu wa mashirika ya kutoa misaada ambao si waislamu wamehuzunishwa sana na shambulio hilo kwa watu maskini.
Kilichowatoa machozi baadhi yao ni kuona watoto wadogo wakibeba maiti za watoto wenzao na wengine wakbeba majeruhi waliokuwa viuongo vikidondoka chini.
Akinamama na watoto walionekana kupata mshtuko na kutojua wapi waelekee na maiti na majeruhi hao mikononi mwao.
imewahuzunisha sana kuona watoto wa kike kwa kiume wakiingia kwenye shughuli hiyo kubeba maiti na majeruhi bila kuelekezwa na yeyote huku wakiwa wamechanganyikiwa.
Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948.
Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia msemaji wa jeshi imesema ilifanya hivyo ili kumpata kamanda mmoja wa Hamas aliyeshiriki kupanga shambulio la Oktoba 7.
Kupigwa kwa kambi hiyo ndio kumeijulisha dunia zaidi Israel na jeshi lake la IDF ni nani.
1. Ni waongo sana
Hamas wamesema hawana kamanda yeyote anayeishi kwenye kambi hiyo.
2.Ni waoga wa mwisho
Walikuwa wanamsaka kamanda mmoja lakini wamerusha makombora 7 mazito yaliyoangusha majengo zaidi ya 20.Inakuwaje mtu mmoja anapigwa na idadi ya yote hiyo ya makombora.
Kwa vile wametangaza wameshaingia Gaza si wangetuma askari kwenda kumuu huyo kama waliyemtaka bila kutumia ndege.
Katika shambulio hilo watu zaidi ya 100 wengi wakiwa ni watoto wameripotiwa kufa hapo hapo na wengi kujeruhiwa.
Waandishi wa habari na wahudumu wa mashirika ya kutoa misaada ambao si waislamu wamehuzunishwa sana na shambulio hilo kwa watu maskini.
Kilichowatoa machozi baadhi yao ni kuona watoto wadogo wakibeba maiti za watoto wenzao na wengine wakbeba majeruhi waliokuwa viuongo vikidondoka chini.
Akinamama na watoto walionekana kupata mshtuko na kutojua wapi waelekee na maiti na majeruhi hao mikononi mwao.
imewahuzunisha sana kuona watoto wa kike kwa kiume wakiingia kwenye shughuli hiyo kubeba maiti na majeruhi bila kuelekezwa na yeyote huku wakiwa wamechanganyikiwa.
Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948.
Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia msemaji wa jeshi imesema ilifanya hivyo ili kumpata kamanda mmoja wa Hamas aliyeshiriki kupanga shambulio la Oktoba 7.
Kupigwa kwa kambi hiyo ndio kumeijulisha dunia zaidi Israel na jeshi lake la IDF ni nani.
1. Ni waongo sana
Hamas wamesema hawana kamanda yeyote anayeishi kwenye kambi hiyo.
2.Ni waoga wa mwisho
Walikuwa wanamsaka kamanda mmoja lakini wamerusha makombora 7 mazito yaliyoangusha majengo zaidi ya 20.Inakuwaje mtu mmoja anapigwa na idadi ya yote hiyo ya makombora.
Kwa vile wametangaza wameshaingia Gaza si wangetuma askari kwenda kumuu huyo kama waliyemtaka bila kutumia ndege.
Katika shambulio hilo watu zaidi ya 100 wengi wakiwa ni watoto wameripotiwa kufa hapo hapo na wengi kujeruhiwa.
Waandishi wa habari na wahudumu wa mashirika ya kutoa misaada ambao si waislamu wamehuzunishwa sana na shambulio hilo kwa watu maskini.
Kilichowatoa machozi baadhi yao ni kuona watoto wadogo wakibeba maiti za watoto wenzao na wengine wakbeba majeruhi waliokuwa viuongo vikidondoka chini.
Akinamama na watoto walionekana kupata mshtuko na kutojua wapi waelekee na maiti na majeruhi hao mikononi mwao.
imewahuzunisha sana kuona watoto wa kike kwa kiume wakiingia kwenye shughuli hiyo kubeba maiti na majeruhi bila kuelekezwa na yeyote huku wakiwa wamechanganyikiwa.
Uwaoneee huruma wanakujua wewe nyani mweusiHivi una habari wapalestina wako under occupation kwa miaka zaidi ya 75. Hauna huruma kwao hata kidogo?
Asante kwa kumwuliza swali ambalo ningemwuliza.Na wewe kwa akili zako ulitegemea Hamas wakubali kweli kwamba kamanda wao alikimbilia kujichanganya na wakazi wa hapo ili wao walaumiwe?