Kupigwa kwa kambi ya Jabaliya. Watoto wanabeba maiti za wenzao

Watoto wapi mbona ni mababa wenye misuli. Ila hamas hawana akili kabisa. Kama waliona vita ndio suluhisho la matatizo yao basi acha vita ipiganwe
 
haya mambo mnatakiwa mkayajadili na hamas, halafu mtuletee mrejesho, sio mnachokoza watu wakubwa mkipigwa mnarudi kulialia.
 
Wakristo wa Ulaya wana huruma kuliko wa Tanzania.Sijui ni kwa nini.
Katibu mkuu UN pia kaona ukweli lakini huyu pangu pakavu hapati huruma kama hiyo.
Tafuta Bible usome Amosi 1:6-8 haya mambo yote yalishaelezwa unabii unatimia
 
Unajua nyie waarabu wa Tegeta kwa Ndevu mnanishangaza sana, mkisikia Israel kuvulumishiwa makombora mnafurahi sanaa! Mtaanzisha humu nyuzi za kuwasifia hamas na Kila aina za kuwapamba, lkn kibao kikigeuka nyie wa kwanza kulialia. Hebu semeni basi mnatakaje hasa? Kwamba Israel iwaache tu muishambulie na isijibu hata pigo Moja?.

Kwa hizi tabia zenu za kinafiki mtapigwa sanaaaa!!... Dunia yote iliyostarabika inawajua vzr tabia zenu, unafiki, lawama, ubaguzi na kujiona nyie mnathamani kuliko binadamu wenzenu.

Ukitaka kujua tabia halisi za Hawa watu kama wewe ni mfatiliaji wa mpira hebu tizama timu za waarabu hasa hasa wanapocheza na timu ambazo sio waarabu wenzao ni washenzi hawana kipimo.
 
Wakristo wa Ulaya wana huruma kuliko wa Tanzania.Sijui ni kwa nini.
Katibu mkuu UN pia kaona ukweli lakini huyu pangu pakavu hapati huruma kama hiyo.
Mtaanzisha hizi nyuzi mpaka mchoke tu na hazisaidii lo lote. Za chini ya kapeti zinasema kwamba MOSSAD na CIA waliujua mchezo wote na wakauachia tu collateral damage itokee ili watoe kichapo kikali cha karne kwa HAMAS. Na wamemkuta Bibi akiwa mdhaifu kisiasa na bila shaka tukio hili kwake ni zawadi kubwa sana.

Na HAMAS walivyo. Wanarusha maroketi yao kutokea katikati ya watu. Wayahudi nao wanajibu mapigo kwa kufuatisha roketi lilipotokea. Mara paap kumbe limerushwa kutokea Kambi ya wakimbizi, hoteli, shuleni au hospitali. Mwenye kosa hapo ni nani?
HAMAS waache kutumia raia na hasa wanawake na watoto kama human shield.



Wajitokeze tu zipigwe kavu kavu kama walivyofanya walipovamia Israel wakachukua mateka na kuua raia wasio na makosa wakiwemo wanawake na watoto...
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
hawa HAMAS sidhani kama watarudia
 
Si uliwahi kusema Yemen imeingilia kati kumshikisha adabu Muisrael? Ebu wakumbushe Mwamba Alwaz!
 
Watoto ndo wenye kambi, kamanda aliuliwa mtoto au alimtembelea mtoto🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…