Huyo obama wa bongo ndio wapiga mitungo wenyewe hao...
Kama yeye ni mwanamke yeye ndio wale tunawaita victims wanaopenda kufanyiwa haya
Kaka C.T.U the bottom line ya hii thread yako ni kuwa WANAWAKE TUJITAMBUE. Mwanamke napaswa kuitambua thamani yake kwanza kama binadamu pili kama mwanamke. Tukilitambua hili ni wazi kuwa itasaidia sana kuepuka 'mitungo ya kizembe na ile ya kujitakia' - mfano kuleweshwa kwa kuwa tu unapenda offer, kujifanya too much uzungu - kama ulivyoiweka kumingle na kila mtu hata usiyemjua vema. Pili ingawa ni vigumu kujua undani wa mwanaume anayekutokea kama kweli anakupenda kweli au anakutaka kukukomoa lakini yatupasa kuwa na subra na kumwomba MUNGU maana ukiwa ni yule wa yes kwa kila anayekutamkia neon basi hutapona. Tuwasaidie na wenetu wa kike kuwaelewesha wajitambue. Hiyo ya Martial arts, nimeanza kuifanyia kazi maana naona mbinu yangu ya kuwa natembea na tindikali inawezanipeleka segerea bure mana ishakuwa kosa la jinai
Tatizo ni pale unapokua na ratiba ya kufanya tendo nje ya ndoa(uzinzi) wakati Mungu anakataza hicho kitu. Kidogo inakua ngumu kumuomba Mungu akuongoze wakati unajuamoyoni kua unachokiendea anakikataza.

All in all ni usela mavi
Usela Wa kizamani sana
Kaka C.T.U the bottom line ya hii thread yako ni kuwa WANAWAKE TUJITAMBUE. Mwanamke napaswa kuitambua thamani yake kwanza kama binadamu pili kama mwanamke. Tukilitambua hili ni wazi kuwa itasaidia sana kuepuka 'mitungo ya kizembe na ile ya kujitakia' - mfano kuleweshwa kwa kuwa tu unapenda offer, kujifanya too much uzungu - kama ulivyoiweka kumingle na kila mtu hata usiyemjua vema. Pili ingawa ni vigumu kujua undani wa mwanaume anayekutokea kama kweli anakupenda kweli au anakutaka kukukomoa lakini yatupasa kuwa na subra na kumwomba MUNGU maana ukiwa ni yule wa yes kwa kila anayekutamkia neon basi hutapona. Tuwasaidie na wenetu wa kike kuwaelewesha wajitambue. Hiyo ya Martial arts, nimeanza kuifanyia kazi maana naona mbinu yangu ya kuwa natembea na tindikali inawezanipeleka segerea bure mana ishakuwa kosa la jinai
Mambo ya kizamani. Ila pia umesahau kuwa mtungo saa zingine mwanamke mwenyewe anakubali. Kwa mfano mwanamke anayejiuza. Huwa wanakubali mtungo na kuna bei zake
dah sijaona sehem ya like ningekupatia tu my dia
Maada yangu inakemea au inatetea huu ushetani unaouita..??
Ina maana hata mtu akipost mada ya kukemea ushoga utamwambia poor him/her kisa anajadili mada ya kishetani..??
Dah kweli Elimu ina umuhimu wake
Bora uwe masikini ila uwe umepita Darasani
Kaka C.T.U the bottom line ya hii thread yako ni kuwa WANAWAKE TUJITAMBUE. Mwanamke napaswa kuitambua thamani yake kwanza kama binadamu pili kama mwanamke. Tukilitambua hili ni wazi kuwa itasaidia sana kuepuka 'mitungo ya kizembe na ile ya kujitakia' - mfano kuleweshwa kwa kuwa tu unapenda offer, kujifanya too much uzungu - kama ulivyoiweka kumingle na kila mtu hata usiyemjua vema. Pili ingawa ni vigumu kujua undani wa mwanaume anayekutokea kama kweli anakupenda kweli au anakutaka kukukomoa lakini yatupasa kuwa na subra na kumwomba MUNGU maana ukiwa ni yule wa yes kwa kila anayekutamkia neon basi hutapona. Tuwasaidie na wenetu wa kike kuwaelewesha wajitambue. Hiyo ya Martial arts, nimeanza kuifanyia kazi maana naona mbinu yangu ya kuwa natembea na tindikali inawezanipeleka segerea bure mana ishakuwa kosa la jinai
Hii sehemu imeenda wapi, hata mimi nimeitafuta bila mafanikio.

:A S thumbs_up:Kuna tofauti gani kati ya mtungo na ubakaji? Hapo neno sahihi ni ubakaji, na kama mtu alielewana na A, kule akawakuta B, C, D etc na waka sex naye bila ridhaa, huo ni ubakaji.
Kuna wale ambao wao wanaridhia kusex na wanaume wengi kwa hiyari yao huwezi sema ni ubakaji, unaweza ita hata group sex.
Lakini kwa mujibu wa maada uliyoweka hapo, mtungo ni ubakaji, na mwanamke aliyefanyiwa hivyo anaweza enda polisi.