BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Lakini siku hizi si kuna hizi 3some na 4 some? zenyewe sio mtungo? Au ni mtungo wa hiari?
Hiyo maybe ni 'mitungo ya hiyari'...neno mtungo linamaanisha mwanamke kuingiliwa na wanaume wengi pasipo ridhaa
If she doest it willingly sio mtungo?
We ujawahi kusikia ''aah dem flani anapenda kuliwa mtungo yule''. Je huo utakuwa sio mtungo kwasababu amependa?
Ungeniambia mtungo ni kitendo cha mwanamke kuingiliwa kimwili zaidi ya mwanaume mmoja kwa muda huo ningekuelewa.
Kila mtungo ni ubakaji, lakini si kila ubakaji ni mtungo.... mtungo wanaume wanakuwa zaidi ya mmoja lakini ubakaji mmoja anaweza akaukamilidhaKuna tofauti gani kati ya mtungo na ubakaji? Hapo neno sahihi ni ubakaji, na kama mtu alielewana na A, kule akawakuta B, C, D etc na waka sex naye bila ridhaa, huo ni ubakaji.
Kuna wale ambao wao wanaridhia kusex na wanaume wengi kwa hiyari yao huwezi sema ni ubakaji, unaweza ita hata group sex.
Lakini kwa mujibu wa maada uliyoweka hapo, mtungo ni ubakaji, na mwanamke aliyefanyiwa hivyo anaweza enda polisi.
Kuna watu kinyaa kimewapitia mbali, mimi hata kusimamisha sidhani.Binafsi nachukulia kama ni upuuzi, haiwezekan midume kibao eti mnapishana kwenye papuchi moja at the same time.. Ni uchafu sana
Inaitwa self defence.. hili ni muhimu sana kwa jinsia zote ni vyema tukawapeleka watoto wetu kujifunza wangali wakiwa wadogo ni michezo itakayowatengeneza sio tu physically but mentally also.Wanawake wanatakiwa wajue Martial Arts kama karate, kung fu, taekwondo..