Kupika au kununua kwa mamantilie

Kupika au kununua kwa mamantilie

Gidabed

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2023
Posts
519
Reaction score
982
Wakuu wasalaam.

Moja kwa moja kwenye mada.

Ikiwa unaishi mwenyewe ghetto, ipi nafuu kati ya kujipikia mwenyewe au kununua chakula kwa mama~ntilie/ mgahawani.

Ukizingatia muhusika na mwanachuo ambaye bado kiuchumi anajitafuta.

Nawasilisha
 
Vyombo
Muda
Usafi
Gharama

Emu piga hesabu ukitaka kupika mlo wenye mboga Saba utatumia shingapi kupika??
Plus muda pia

So kama unajitafuta kuwa makini na kutafuta pesa usipoteze muda kupika

Tafuta mama ntilie mmoja safi pilau 2500 total per day kula 5000 kwa mwenzi 150000

Kula hotel ila hotel iwe safi ili uepuke kipindu pindu na typhoid
 
Pika, raha sana kujipikia as a bachelor. Ila pika zile za long shots🤣, ubwabwa na samaki...mboga ya samaki inaliwa leo mchana, usiku, kesho uchana na usiku..that's how we lived back then.
 
Duuh 😂🙌
 
Ukiwa na fridge,
Hio 150,000/- kwa mwezi unakula kifalme sanaaaa,

Mchele kg 10 25k
Nyama kg 3 21k
Kuku 2. 14k
Nyanya. 5k
Mafuta litre. 4k
Kiungo cha pilau 3k
Vitunguu & co. 5k
Gas 20/5months. 4k
Mboga majani. 3k
Njegere 3k
Sabuni. 1k

Total. 90k, na hapo utakula msosi mwingi sana wa kushiba, nyama utakula nyingi sio kama za mgahawani 2, pia utapata kiporo utakula milo mitatu per day,

Btw nunua rice cooker kupunguza kazi ya ku adjust gas na kusave time
 
Pika, raha sana kujipikia as a bachelor. Ila pika zile za long shots🤣, ubwabwa na samaki...mboga ya samaki inaliwa leo mchana, usiku, kesho uchana na usiku..that's how we lived back then.
Vp lakini wapi ni very cost
 
Vyombo
Muda
Usafi
Gharama

Emu piga hesabu ukitaka kupika mlo wenye mboga Saba utatumia shingapi kupika??
Plus muda pia

So kama unajitafuta kuwa makini na kutafuta pesa usipoteze muda kupika

Tafuta mama ntilie mmoja safi pilau 2500 total per day kula 5000 kwa mwenzi 150000

Kula hotel ila hotel iwe safi ili uepuke kipindu pindu na typhoid
Mkuu hebu rekebisha hapo pa Kula Hotel, weka KULA KWA MAMA/BABA NTILIE au Mgahawani ile lokale kabisa.....

Kuna watu wa kanda Ya Kaskazini vi-migahawa uchwara wanaita HOTEL.
 
Back
Top Bottom