dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Nimependa hi idea yako je Ni fruji la Bei gani itakuwa convenient kwa mtu mmojaUkiwa na fridge,
Hio 150,000/- kwa mwezi unakula kifalme sanaaaa,
Mchele kg 10 25k
Nyama kg 3 21k
Kuku 2. 14k
Nyanya. 5k
Mafuta litre. 4k
Kiungo cha pilau 3k
Vitunguu & co. 5k
Gas 20/5months. 4k
Mboga majani. 3k
Njegere 3k
Sabuni. 1k
Total. 90k, na hapo utakula msosi mwingi sana wa kushiba, nyama utakula nyingi sio kama za mgahawani 2, pia utapata kiporo utakula milo mitatu per day,
Btw nunua rice cooker kupunguza kazi ya ku adjust gas na kusave time