Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Mimi napenda minofuu hii ata nikifka sehem naangalia nyama zipoje km hazielewk nafia mbele.....Hahahah kama huwez jicontrol bora uwe unanunua msosi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi napenda minofuu hii ata nikifka sehem naangalia nyama zipoje km hazielewk nafia mbele.....Hahahah kama huwez jicontrol bora uwe unanunua msosi
Ukitaka kupunguza uzito jitahidi uwe una kula kiasi kidogo tu ,si kula hadi usikie au uhisi umeshiba au tumbo kujaa[emoji1][emoji1]Kupunguza Uzito ukiweza penda sana Salads wenyewe wanaita mbogamboga, epuka vyakula vya wanga sana kama ugali, wali nk.
Nimewahi kujaribu nikaweza ila kwasababu zisizozuilika nikaachana navyo.
Nilikua nakula kwa mfano wa sahani yangu, samaki mchemsho, mbogamboga, avocado, glasi ya maziwa mtindi na maji mengi. Usiku vivo hivyo najitahidi kukataa vyakula vya kukaanga na mafuta sana.
Kama nyama basi iwe choma nk.
Nikaacha gharama yake nikaona kubwa kuliko mazoea [emoji3][emoji3][emoji3]
Yupi huyo? Me mgeni ujue humu 🤣Dah, hadi kinyaa..
Halafu nimekufananisha na mtu aliyepigwa ban mkuu🤣
Live bro mama lishe hawataki ujinga kwenye kuvutia wateja 😂😂😂hapa mkuu umechomoa betri
Bora wa Hyatt suala la hygiene atleast wanazingatia sio hawa wa huku, kina Asha jibwa ni mwendo wa kulishana papuchi 😂😂😂Hamna tukifikiria uko mbn hata Hyatt wapishi hawavai gloves.... Vingn usafi tu bhn[emoji1787][emoji1787]
Siyo kweli mkuu, kuna sababu nyingi zinazo tufanye tuoe, siyo kupikiwa tu.Ukizoea kuosha vyombo na kupika pilau utashindwa kuoa kabisa
Kwakwel ndo maana mm huwa ninachagua sehem za kulaBora wa Hyatt suala la hygiene atleast wanazingatia sio hawa wa huku, kina Asha jibwa ni mwendo wa kulishana papuchi [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mgeni mwenyeji, naweza relate mwandiko. Walikupiga ban!!Yupi huyo? Me mgeni ujue humu 🤣
Umenifananisha bhanaWewe mgeni mwenyeji, naweza relate mwandiko. Walikupiga ban!!
Mama ntilie wengi wachafu, kukuta nywele kwenye chakula kwao ni kawaida 🤣Kwakwel ndo maana mm huwa ninachagua sehem za kula
Kwanza msosi uwe mtamu... Na nyama ata km ndg sasa sio km maharage
Pili usafi wa pale.... Mama ntilie kakaa chini mteja huyo anajikunguta.... Alooh
Hii comment imethibitisha kuwa ni wewe🤣🤣Umenifananisha bhana
Me mgeni usitake kunikosesha wachumba 😂😂😂
Nasikia humu kuna wachumba wanahonga hao 😜
Tutafute restaurant nzurii tuu za kula mzee[emoji1787]Mama ntilie wengi wachafu, kukuta nywele kwenye chakula kwao ni kawaida [emoji1787]
We mzee mbona umenikomalia sana? 😂😂Hii comment imethibitisha kuwa ni wewe🤣🤣
Kweli kabisa mzee mwenzangu 🤣Tutafute restaurant nzurii tuu za kula mzee[emoji1787]
Sijaelewea hiyo hesabu yako ya samaki wanne kwa 1500 au 2000 samaki wanne kwa dar hii au mkoanjMgahawani utakunywa chai/supu asubuhi, fanya 2000-3,000 bei ya kawaida sana.
Mchana utakula ugali/ubwabwa, 2,000-3,000.
Usiku wali/ugali/machips, 2,000-4000.
Home nitapika wali samaki, nikipiga long shot napika samaki wanne(four meals hizo) @1,500-2,000, nyanya, vitunguu na viungo kwa jumla havizidi 2,000.
Mchele nusu na robo(kama mnavyosema wanadaslam), mafuta, chumvi.
Matunda yangu na glass yangu ya mtindi...very healthy meal at a low cost.
Endelea kula mgahawani mkuu.
Unawaza samaki gani atakula bachelor wa maisha ya kati?Sijaelewea hiyo hesabu yako ya samaki wanne kwa 1500 au 2000 samaki wanne kwa dar hii au mkoanj
Upo kijiji gani mkuuKuna mahali huku wali maharagwe wa 1500 unakula mara mbili, chapati maharagwe humalizi, chai tsh 300!!!
Kupika ununue Mchele, mafuta,chumvi, mkaa, kiberiti, maji, kitunguu, karoti, hoho bado ukae kuchoche moto kutwa nzima😄😄