D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Mwili haupungui kwa kula kidogo vinginevyo atajiumiza njaa kikubwa ale chakula sahihi na afanye mazoezi Sana hususani yale ya cardio sio kubeba vyuma.Ukitaka kupunguza uzito jitahidi uwe una kula kiasi kidogo tu ,si kula hadi usikie au uhisi umeshiba au tumbo kujaa[emoji1][emoji1]
Tambua unene mara nyingi ni mafuta kuongezeka, na nyama uzembe kama hufanyi mazoezi kwa sababu mwili hauchomi vizuri hizo kalori.
Hivyo jitahidi kujinyima,huwezi kuugua vidonda ya tumbo wala nini,kuna wengine huwa wana jitetea kuhusu kula sana eti wanaepuka vidonda vya tumbo.
Tambua mwili huwa unahitaji chakula kidogo tu kwa ajiri ya kujiendesha,yani mlo kamili,navyo ni vyakula vichache tu vyenye mchanganyiko wa virutubisho bila kusahau matunda.
Kula kiasi tu ,hata kam chakula kitamu we jinyime ,kisha kunywa glass ya juisi endelea na shughuri zako.
Sasa watu wengine unakuta kazi yake haihitaji kutumia nguvu nyingi,ila anakula kuku mzima,mayai matano chipsi mzigo glass mbili za juice kama mashindano eti kisa ana afford gharama,
Calories anazoconsume awe na uwezo wa kuziburn