ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Nimemaliza mkuu!🤣We mzee mbona umenikomalia sana? 😂😂
Sio mimi khaaa!!! 🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemaliza mkuu!🤣We mzee mbona umenikomalia sana? 😂😂
Sio mimi khaaa!!! 🙌
😂😂 kwendraaaaaaNimemaliza mkuu!🤣
Sijui wewe ulikuwa unamaanisha samaki gani wanne unaweza kuwapata kwa 1500 au hiyo ni bei ya samaki mmoja mmojaUnawaza samaki gani atakula bachelor wa maisha ya kati?
Haya basi tufanye kilo moja ya sangara mkuu. Atakula hiyo kilo moja mara ngapi?
Samaki .mmoja mmoja bwana, wale perege..au hujui perege mkuu?Sijui wewe ulikuwa unamaanisha samaki gani wanne unaweza kuwapata kwa 1500 au hiyo ni bei ya samaki mmoja mmoja
Kama unajua kupika vile😂😂😂Pika, raha sana kujipikia as a bachelor. Ila pika zile za long shots🤣, ubwabwa na samaki...mboga ya samaki inaliwa leo mchana, usiku, kesho uchana na usiku..that's how we lived back then.
Acha kumfundisha kijana uvivu. Yale majogoo ungekulaje sasa bila kujipikia. 🤣Nunua chakula.
😂😂😂😂😂Acha kumfundisha kijana uvivu. Yale majogoo ungekulaje sasa bila kujipikia. 🤣
Inategemea,kupika mara nyingi ni kuzuri maana unakula vile unavyotaka,lakini pia ni hakika kwani umekiandaa mwenyewe.Hayo ndio maoni yangu.Wakuu wasalaam.
Moja kwa moja kwenye mada.
Ikiwa unaishi mwenyewe ghetto, ipi nafuu kati ya kujipikia mwenyewe au kununua chakula kwa mama~ntilie/ mgahawani.
Ukizingatia muhusika na mwanachuo ambaye bado kiuchumi anajitafuta.
Nawasilisha
Ukitaka kukwepa garama za kula, siku zote utakua unakula vitu vibovu, mama nitilie hawezi nunua mchele mchele mzuri zaidi sokoni, na hata bidhaa zingine.Kuna mahali huku wali maharagwe wa 1500 unakula mara mbili, chapati maharagwe humalizi, chai tsh 300!!!
Kupika ununue Mchele, mafuta,chumvi, mkaa, kiberiti, maji, kitunguu, karoti, hoho bado ukae kuchoche moto kutwa nzima😄😄
Kupikaa gharama sema tunafarijiana tuu apa ikifika kupata mboga daahKweli kabisa mzee mwenzangu [emoji1787]
Ukiwa na fridge,
Hio 150,000/- kwa mwezi unakula kifalme sanaaaa,
Mchele kg 10 25k
Nyama kg 3 21k
Kuku 2. 14k
Nyanya. 5k
Mafuta litre. 4k
Kiungo cha pilau 3k
Vitunguu & co. 5k
Gas 20/5months. 4k
Mboga majani. 3k
Njegere 3k
Sabuni. 1k
Total. 90k, na hapo utakula msosi mwingi sana wa kushiba, nyama utakula nyingi sio kama za mgahawani 2, pia utapata kiporo utakula milo mitatu per day,
Btw nunua rice cooker kupunguza kazi ya ku adjust gas na kusave time