Nikiwa na elfu 10 tu naingia tandika pale sokoni nabeba viazi sado elfu 3, ndizi bukoba elfu 3, mihogo elfu 2, viazi vitamu elfu 2.
Naweza kupika kwa siku 4 na vikabaki
Ndizi rost karanga
Ndizi mchemsho
Viazi rost
Viazi mchemsho
Viaz kukaanga/chip - very rarely
Mihogo mchemsho
Mihogo kukaanga
Viazi mchemsho
Viazi kukaanga - very rarely
Yani mimi napika kiasi kwamba bibie anaogopa kuja kunisalimia, hajui atapika nini kiwe kipya kwangu.
[emoji28][emoji28][emoji28] yeye akija ale aoshe vyombo