Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Unatumia chumvi pakti Moja kwa mlo mmoja?Kupika ununue Mchele, mafuta,chumvi, mkaa, kiberiti, maji, kitunguu, karoti, hoho bado ukae kuchoche moto kutwa nzima😄
Ahahahah 😂😂😂Na Ile sufuria siku wali ukiisha hautakiwi kuiosha, unaweka maji unapika wali mwingine.
Ya nini kuosha Wakati kilichoisha ni chakula na unachopika ni chakula kilekile[emoji3][emoji3]
Mkuu utakuwa umejiozesha ndoa ya mkeka ukiruhusu jiko kuwaka ndani ya room yako ya kibachelor.Wakuu wasalaam.
Moja kwa moja kwenye mada.
Ikiwa unaishi mwenyewe ghetto, ipi nafuu kati ya kujipikia mwenyewe au kununua chakula kwa mama~ntilie/ mgahawani.
Ukizingatia muhusika na mwanachuo ambaye bado kiuchumi anajitafuta.
Nawasilisha
Oyaaa,hii naichukuaMkuu utakuwa umejiozesha ndoa ya mkeka ukiruhusu jiko kuwaka ndani ya room yako ya kibachelor.
Mi niliwahi kuoa pre mature kwa visa vya kujipikilisha nikiwa msimbe kama unavotaka kufanya wewe!
Kosa nililolifanya ni kumuomba aje anipikie!
Tulipigiana simu kuoneshana ufunguo ulipo nikiwa kazini, kurudia ebhanaee!
chumba nilikipotea kilivyosafishwa na msosi uliopikwa!
Kesho yake nilikakataa asiondoke na ikawa ndiyo chanzo Cha ndoa yangu ya bila matarajio.
Mwanaume yeyote ukifanyiwa mambo niliyoyataja, lazima 'urogeke', huwa hamna ujanja tena!
Nenda ukale kwa nama ntilie huko, usiruhusu jiko kuwaka ili kujiepusha na ndoa zisizotarajiwa.
Ukianza tu kukarangiza kwa mikono yako huko kwenye mapango, lazima utavamiwa tu kusaidiwa kazi hiyo hata na watu usiowatarajia, ambao kwao hiyo ni fursa!
Usikute mshirikina huyo.Nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mnatusema sana, usafi ni muhimu kwenye hii biashara,
Kuna mmoja hapa jirani sufuria la wali wa jana kalifuta na kitambaa kwa nje na kupikia tena bila kuliosha[emoji23][emoji23]