Kupinga Serikali Tatu; Natofautiana Na Profesa Issa Shivji...

......
Prof Shivji ni mzanzibar na ametoa elimu ya znz katika muungano. Kama raia au msomi anayo haki ya kujiunga na taasisi kama maridhiano au Uamsho bila tatizo au kujificha.

Kisichopendeza ni kujificha nyuma ya uprofesa ili kuendeleza ajenda za akina Uamsho .
Hapa natofautiana naye sana na nabaki kumuheshimu sana.....

Mkuu Nguruvi3

Inaonekana kila anayetofautiana nawe katika unayoyaamini kuhusu Muungano unampachika uzanzibari.

Prof. Issa Chivji ni mzanzibari? chivjicv

Unaikumbuka hii? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/334649-tundu-lissu-na-kiinimacho-cha-muungano.html

Ulisahau kumbambika uzanzibari Mchambuzi?
 
hakuna chuki visiwani kwa watanganyika, karibuni mujionee wenyewe boom ya population inavyozidi kutoka mikoa mbali mbali, kila sekta wapo na wanaendelea kuwapo wengine wakijinasibisha zaidi na wazanzibari kwa upendo na imani wanaoukuta visiwani na hata kusahau tradition zao, ni wazee wetu waliowekeza vya kutosha hasa katika familia zao wazipendazo. Nakumbuka katika moja ya tamthilia za Mwanakijiji wakati wa ile unfortunate event ya kupigwa kwa risasi kwa Pastor hapa visiwani alikuja na hadithi hivi sasa hali imekuwa mbaya Zanzibar hadi wakaazi wenye asili ya kitanganyika wana curfew za usiku na frequent calls za kutafutana na akasahau statistics zinaonyesha huko bara kesi za mauaji ni nyingi zaidi kuliko visiwani na baya zaidi matukio ya kigaidi yamekuwa makubwa zaidi ya kusisimua kuliko visiwani. Muungano ukiwapo au usiwapo, hakuna wa kumfukuza mwenziwe hata ikiwa ndio ndoto zenu. Kindness ni utamaduni wa wazanzibari, mukipenda musipenda huo ndio ukweli. wala hizi kelele za kujifabya masaint huku mukichochea moto wa malumbano baina ya wananchi utawaumbua wenyewe, adui wa Tanganyikka sio Zanzibar, mna challenge nyingi zaidi hasa baada ya ugaidi unaopaa kwa sababu ya immaturity wenu juu ya imani za kisiasa kuliko kuwepo kwa wazanzibari laki tatu bara. tuliyasikia ya Mtikila against waarabu, wahindi na wenye asili za mbali indiscriminately kwamba wote hawa ni magabachori, angalia jinsi zimwi la ubaguzi linavyomwenda juzi kawageukia wanaparokia wenziwe ati ndio waliopanga ugaidi. Kuendelea na muungano au kuvunja muungano isiwe ndio kilele cha uhasama na vita vya kipuuzi na jazba za kitoto.
 
Dogo naona leo umekuja na mawazo yako katika purity yake.

Sasa hivi kikwete anavyosafiri nje ya nchi ni kama tuna Marais watatu.
Sasa kama tumekula nyasi tukaweza kubeba zigo la Vasco dagama wetu.
Hizo serikali tatu zina baraka yangu.

Ninachojua nitachangia serikali yangu ya Tanganyika na ile ya muungano ya Zanzibar ni juu yao.
Hata umeme itabidi tuwawekee Luku kabisaa mambo ya kudaiana nuksi.
 
Yakhe umeongea.Hapo imekosekana kashata na kahawa tu.
For your info.
Tumekomaa kisias, hatuna akili za kitoto na ni waungwana.
Trrorisim hapa kwetu Tanganyika iko Sponsored na CC ya CCM.
Usituunganishe sisi waTanganyika na Uterorist wa kamati kuu ya CCM.

hakuna chuki visiwani kwa watanganyika, karibuni mujionee wenyewe boom ya population inavyozidi kutoka mikoa mbali mbali, kila sekta wapo na wanaendelea kuwapo wengine wakijinasibisha zaidi na wazanzibari kwa upendo na imani wanaoukuta visiwani na hata kusahau tradition zao, ni wazee wetu waliowekeza vya kutosha hasa katika familia zao wazipendazo. Nakumbuka katika moja ya tamthilia za Mwanakijiji wakati wa ile unfortunate event ya kupigwa kwa risasi kwa Pastor hapa visiwani alikuja na hadithi hivi sasa hali imekuwa mbaya Zanzibar hadi wakaazi wenye asili ya kitanganyika wana curfew za usiku na frequent calls za kutafutana na akasahau statistics zinaonyesha huko bara kesi za mauaji ni nyingi zaidi kuliko visiwani na baya zaidi matukio ya kigaidi yamekuwa makubwa zaidi ya kusisimua kuliko visiwani. Muungano ukiwapo au usiwapo, hakuna wa kumfukuza mwenziwe hata ikiwa ndio ndoto zenu. Kindness ni utamaduni wa wazanzibari, mukipenda musipenda huo ndio ukweli. wala hizi kelele za kujifabya masaint huku mukichochea moto wa malumbano baina ya wananchi utawaumbua wenyewe, adui wa Tanganyikka sio Zanzibar, mna challenge nyingi zaidi hasa baada ya ugaidi unaopaa kwa sababu ya immaturity wenu juu ya imani za kisiasa kuliko kuwepo kwa wazanzibari laki tatu bara. tuliyasikia ya Mtikila against waarabu, wahindi na wenye asili za mbali indiscriminately kwamba wote hawa ni magabachori, angalia jinsi zimwi la ubaguzi linavyomwenda juzi kawageukia wanaparokia wenziwe ati ndio waliopanga ugaidi. Kuendelea na muungano au kuvunja muungano isiwe ndio kilele cha uhasama na vita vya kipuuzi na jazba za kitoto.
 
hakuna chuki visiwani kwa watanganyika, karibuni mujionee wenyewe boom ya population inavyozidi kutoka mikoa mbali mbali, kila sekta wapo na wanaendelea kuwapo wengine wakijinasibisha zaidi na wazanzibari kwa upendo na imani wanaoukuta visiwani na hata kusahau tradition zao, ni wazee wetu waliowekeza vya kutosha hasa katika familia zao wazipendazo. Nakumbuka katika moja ya tamthilia za Mwanakijiji wakati wa ile unfortunate event ya kupigwa kwa risasi kwa Pastor hapa visiwani alikuja na hadithi hivi sasa hali imekuwa mbaya Zanzibar hadi wakaazi wenye asili ya kitanganyika wana curfew za usiku na frequent calls za kutafutana na akasahau statistics zinaonyesha huko bara kesi za mauaji ni nyingi zaidi kuliko visiwani na baya zaidi matukio ya kigaidi yamekuwa makubwa zaidi ya kusisimua kuliko visiwani. Muungano ukiwapo au usiwapo, hakuna wa kumfukuza mwenziwe hata ikiwa ndio ndoto zenu. Kindness ni utamaduni wa wazanzibari, mukipenda musipenda huo ndio ukweli. wala hizi kelele za kujifabya masaint huku mukichochea moto wa malumbano baina ya wananchi utawaumbua wenyewe, adui wa Tanganyikka sio Zanzibar, mna challenge nyingi zaidi hasa baada ya ugaidi unaopaa kwa sababu ya immaturity wenu juu ya imani za kisiasa kuliko kuwepo kwa wazanzibari laki tatu bara. tuliyasikia ya Mtikila against waarabu, wahindi na wenye asili za mbali indiscriminately kwamba wote hawa ni magabachori, angalia jinsi zimwi la ubaguzi linavyomwenda juzi kawageukia wanaparokia wenziwe ati ndio waliopanga ugaidi. Kuendelea na muungano au kuvunja muungano isiwe ndio kilele cha uhasama na vita vya kipuuzi na jazba za kitoto.
Hee! leo imegeuka, Wazanzibar adui yao namba moja ni Mtanganyika wakiongozwa na ''Nyerere laanatul' kama wasemabvyo, hilo halina ubishi wala halihitaji utafiti. Huwezi kumwita mtanganyika mkoloni, anakunyonya halafu ukasema unampenda.

Hapa unajaribu kuomba maridhiano kwa kuelewa kuwa muungano ukivunjika, mtu wa kwanza kutimuliwa ni mzanzibar.
Hilo halisemwi lakini ndio ukweli. Watanganyika sasa hivi wamejaa chuki ya kujifunza kutoka kwa wznz baada ya ukimya wa miaka mingi.

Kila mtu atakaa kwake ili mpumue. Hakuna mtanganyika anayekuja kuishi znz usijidanganye. Kuna wzn ziaid ya laki nne Tanganyika, hawa ndio wenye homa ndio maana tunasikia muungano wa mkataba, maridhiano, kiundwe chiombo n.k.

Tanganyika ndilo taifa lenye wznz wengi duniani! period.

Asikudanganye mtu chuki mliyoijenga dhidi ya Nyerere na Watanganyika itawarudi. Matter of time
 
Endelea na chuki zako binafsi ujifurahishe, Zanzibar na wazanzibari wataendela kuwepo na kuishi popote duniani..wamekushinda wale wasomali wanaotembea na bastola kiunoni, tatizo unaonekana hujasafiri na kuona dunia..endelea kubakia na fikra za vijijini ati na ego zako ujidanganye vizuri. mzanzibari sie aliewaibia mabilioni ya radar, sie anaetorosha wanyama wenu, sie aliefilisi banki ya taifa katika account ya mikopo, sie anaedidimiza demokrasia kwa kauli za wapige, sie anaendelea umasikini kwa watanganyiki milioni arobaini wasio mbele wala nyuma. Yako mengi ya kujadili hasa kwako badala ya muungano na chuki against wazanziabari, narudia tena hizi zako kelele za mlango, ni dasturi hazina mbele wala nyuma, tutaendelea kuishi popote duniani kwa taratibu zozote zitazopangwa, chuki munazojijenga against wazanzibari zinawarudi sasa wenyewe kwa wenyewe, sio matter of time ni hivi sasa jitathmini kama munapenda sana iweje muripuane kuuwa na kujeruhi masikini watoto na wanawake, unaponyosha kidole kwa mwenzako kumbuka viliobbakia vinakutazama mwenyewe. wacha democracy ifanye kazi na wananchi waamue sio vitisho, watu wazima hawatishi nayu..period..by the way karibu malindi hapa upatge gahwa na haluwa na mkebe bure, smba kanywishwa chai itakuwa wewe..lol..
 
Hoja ipo wapi? umesahau au umeingia sehemu isiyo. Hapa si zanznet au mzalendo.

Hoja kubwa ni kuwa znz wanataka wapumue, basi wapeleke mswada BLW, wakati huo huo walete Dodoma tutawaunga mkono wakapumue. Hakuna mahusiano zaidi nje ya EAC au SADCC au FIFA n.k.

Umesoma rasimu? Angalia mambo yaliyoondolewa kama ajira, biashara na ardhi halafu ujiulize kwanini yameondolewa na nani ameathrika. Ukishatambua hilo basi utatambua kuwa siku Tanganyika inarudi, mzanzibar ni bandarini kulekea malindi.

Chuki zenu hadi kuchoma Watanganyika moto kwasababu ya Utanganyika hazijasahaulika. Chuki za wznz kuweka sheria za kumbana mtanganyika na si raia mwingine hazijasahaulika. Matter of time

Kuhusu wzn kuishi popote duniani hiyo hoja ionee soni. Tanganyika ndilo taifa pekee katika historia ya dunia tangu ilipoumbwa lililobeba wzn kuliko lingine duniani.

Endapo Tanganyika ni kubaya nusu yao kwanini waishi huku kusiko na ustaarabu au mila?
Tena siyo wanaishi tu, wanahudumiwa pia.

Wakati ukifika mtoto wa Tanganyika ataacha kubeba bahasha ya khaki kutafuta kazi,atamuondoa mznz kwa hiari au kwa lazima au kwa njia alizosema mheshimiwa waziri mkuu Pinda

Muda wa kusoma bure sasa umefikia ukingoni, mtoto wa Tanganyika ananyimwa udhami na HESLB ili mtoto wa znz apewe, that is coming to an end.

Soma rasimu vizuri, inasemwa sheria itakayombana Manganyika itambana mznz sawa sawa. Kwamba, nikija malindi nitakuwa na haki ya kununua kiwanja, znz wakikataa basi wataacha maghorofa na kupanda meli.

Sikiliza kijana, znz inaitegemea Tanganyika kijiografia, usalama na uchumi. Tanganyika ikibana kidogo tu, mznz atakayekuwa na hali nzuri ni yule mwenye ndugu Oman.
Wewe mwenye kipili pili utakimbilia Tanganyika tu huna ujanja. Ukija utalipa kodi Tanganyika.

Jiulize kwanini nusu ya nchi iishi Tanganyika? Mzee kachukua kitambulisho Karimjee wewe unachukua lini.

Anyway, turudi kwenye hoja ya Maggid, nilikuwa nakupa kionjo utambue nini kinakuja mbele.
Mimi nasema, kama kutakuwa na ulazima wa muungano basi bila kujali ni mfumo gani, Tanganyika inahitajika.

Nawashauri tena mswada wa kura ya maoni mkapumue, nasi tutute zigo la misumari na samadi linalotuelemea.
 
Unahisi rasimu itatuathiri kwa nini tuseme haitufai na tunataka uhuru zaidi ya yaliopendekezwa, kama unafikiri Zanzibar haitaweza kuwepo kwa sababu ya kuvunjika kwa muungano basi umepwerewa. Nina mashaka sana na uwezo wako wa kufikiri na taaluma yako, unahisi watu milioni moja ndio sababu ya watanganyika kutosoma vyuo vikuu wakati result za mitihani more than 50% zero? Kuna kipofu wa kuumbwa na kujitakia, wewe umebeba agenda isiona mbele ya kivuli chako, na hicho hicho kivuli chaki ndicho kinachokutisha. Jidanganye hivyo hivyo kama utakuja kununua ardhi maana hata ikiruhisiwa nafikiri ukifika wewe labda tukuuzie kipande cha bahari, watanganyika milioni 40 kwa mile 30 za Zanzibar ndio zinazokuuma? kwa nini usizuie zako kuuza kwa wakenya, wasomali, na wengine na kung'ngania Zanzibar? kwani nawe unashindwa nini kuwaeleza wabunge wako wavunje muungano unaohisi unauonevu kwenu? Unaonewa na unabaki kulalama kwenye JF, si unaembunge nenda basi kama rahisi, usituletee dhihaka za uzeeni..Huna kipya, majungu.com na maneno yasio na mshiko, wenye damu za Tanganyika wapo na tupo hatujakutana na ubaya wowote Zanzibar, acheni exaggerations..bakia hivyo hivyo na primitive nonsense zako ati Zanzibar inategema Tanganyika zaidi, na ndio watu kama nyie muliowaulisha watu katika vita vya maji maji kwa hoja potofu, Rwanda nchi ndogo zaidi ya Tanganyika, ikiwa na resource kidogo na changamoto za background ya genocide na miaka kidogo iko wapi sasa? ukubwa si hoja, kujipanga na kujiendeleza. hebu tafuta wazee wako uendeleze hizi nonsense zako, iweje watu milioni moja wawe ndio sababu ya umasikini huku wenyewe kwa wenyewe mukishanda kwa kashfa za ufujaji wa mali za wananchi?

Hoja gani unazojenga wewe uliejaa na ushindani, chuki na jazba against wazanzibari. Hoja ya Maggid hainihusu nimeleza zamani mtazamo wangu juu ya muungano tatizo la wanavijiji kama wewe umejaaliwa na kitu kimoja sawa na mtikila, uchoyo, chuki na simanzi kwa wenye asili zisizo za kiafrika. na hutafikia hapa, utaendela kuchukia hata ndugu zako wa damu soon baada ya kukuacha mkono kwa kujuwa true colour zako na kujificha katika utanganyika wakati mtazamo wako umebebwa zaidi na matashi yako ya ubaguzi. nakubali hapa si mzalendo wala zanzinet, kule kuna ustaarabu wake na dasturi za kuheshimu mawazo ya mwengine sio kujifanya mjuaji na ego zisizo na muelekeo na ndio maana ukapata jukwaa humu la kuendekeza hujuma zako za kibaguzi. umeona wapi mtu mzima mwenye akili zake na kujitia ujuzi mkubwa wa elimu aseme duniani nzima Tanganyika ndio iliobeba wazanzibari wengi, inaonekana kabisa mapungu ya upeo wako wa kufiokiri na pia upofu katika discussion ya intellectual level. msimamo wangu haujabadilika, ni mkataba kama nilivyotoa maoni yangu, mwenye kauli ya mwisho ni wananchi wote sio elite ya wachache wanaondeleza ubabe na matusi against jamii ya wengine. narudia tena hakuna wa kumfukuza yeyote popote katika dunia hii ya leo, endelea na jukwaa la pumba na kuhamasisha watu kuchukiana, ujuwe tu kawaida ya watu wa aina yako hawataishia hapo, na ndio tunayoyaona sasa hadi mabomu kuripuana kwa immaturity ya siasa. hakuna katika dunia ya leo atakaethubutu kutomtendea haki mwengine wa pande yoyote kwa kukosekana kwa muungano, kuendeleza mabishano na mtu mwenye mawazo kama yako ni aibu kwa taaluma yangu. gurupu lako na yule mtikila hakuna tafauti, na sumu yenu ya ubaguzi haitakwisha hapo mutakulana wenyewe kwa wenyewe, na ishara zinaonekana sasa. Upande wa hoja za Magid, still, hata kwa mfumo wa serikali tatu anaousema yeye na shivji nitaupinga kwa maoni inapofika siku, na wewe katoe maoni yako ya kuvunja muungano, hebu kuwa na heshima ya kukubali kiutafautiana. Ujuwaji ndio unaokufanya ukadharau mawazo ya wengine, na ulimwengu wa demokrasia haukufai. Labda nikwambie tena huna wala hutaweza kumfukuza, kumdhuru au kumfanya chochote mzanzibario katika muungano huu, ujao au hata ukivunjika, dunia ya sasa si ya watu wa aina yako ya savimbi wanaochochea ugomvi baina ya watu kwa chuki binafsi, na sawa kwa wazanzibariu, hakuna atakaeweza kumfukuza, kumdhuru au kumfanya chopchote mtanganyika katika muungano huu, ujao au hata ukivunjika, achane exaggerations zenu kwa mambo yasiokuwapo. Ulimwengu utakusuteni kwa ubinfu wa mawazo mabaya against wengine kwa vile mitazamo yenu haiendani.
 
Hoja yako ni mkataba. Kama znz wanataka mkataba, mkataba huo ni wa kitu gani? Pili, nani kasema znz wanaTaka mkataba? Je umeheshimu mawazo ya wale wasiotaka mkataba? Majibu tafadhali

Kuhusu chuki, kwani Watanganyika walipochomwa moto kule znz kwasababu ya Utanganyika hilo lilikuwa jambo jema?
Kama unaamini kuwa hata muungano ukivunjika watu hawatafukuzana, iweje basi usimini kuwa watu watafukuzana endapo ndani ya muungano si kuwa wamefukuzana bali wamechomwa moto, si kwa ugaidi, ufisadi au wizi bali kwa Utanganyika! Nani aliwachoma moto na je wale waliochomwa moto unadhani wanajisikiaje.

Niambie kuna chuki gani mtu akikwambia urudi znz ukapumue? Sindicho mnachokitaka kila siku!!
Kile unachokiita chuki, kwa upande mwingine ni ukweli. Hivi si kweli kuwa wanafunzi 1000 wa Tanganyika walikosa udhamini kwasababu udhamini huo ulienda kwa wanafunzi 1000 wa znz? kueleza hilo ni chuki? je lilitakiwa liwe siri?

Je, si kweli kuna sheria inamnyima haki Mtanganyika kufanya kazi znz bila kuwa na sheria inayonyima mznz haki ya kufanya kazi za mtanganyika ambaye amezuiwa znz ? Hapa kuna chuki gani? si ukweli au ilitakiwa iwe siri ili mtu aonekane mwema!

Zamani hukuwasikia Watanganyika wakisema jambo hadi wznz wakalalamika kuwa ni kwa vile wanafaidika na muungano.
Leo wanasema let them go, wengine ondokeni, hapo unadhani wanaongozwa na nini? Hulioni hilo, na anayekwambia kuwa ndivyo ilivyo ndiye mwenye chuki au aliyepanda mbegu ya chuki kutoka visiwani?

Kuhusu la mkataba, hilo ni baadhi ya maoni ya wznz. Wengine wanasema serikali 3, wengine 2.
Ukweli unabaki kuwa hakuna Mtanganyika anayejua mkataba ni kitu gani kwahiyo katika meza ya majadiliano hilo halipo unless ujibu hoja nilizokuuliza ili kutushahwishi tuelewe mkataba kama ulivyoelewa wewe.

Endapo hutaweza kujibu basi tafadhali kaa kimya kwasababu hatuwezi kuheshimu mawazo ya mtu asieyaheshimu mwenyewe kwa kuelewa anaongelea nini.

Kwa hoja ya Maggid, kuanzia tume inaundwa hoja yangu ni kura ya maoni kwa wznz. Wakitaka kupumua basi tukutane EAC au SADC au AU. Lau haliwezkani basi serikali 3 kwa taabu sana na kila mmoja abebe gharama zake

Nisichokbaliana nacho ni serikali 2 au hilo duduwasha linaloitwa mkataba. Tunataka kujenga taifa hatuhitaji mikataba.

Nadhani utajikita katika kujibu hoja zaidi kuliko jazba. Hata munkari ukipanda haisaidii kwa sababu siku na muda ukifika mbivu na mbichi zitajulikana. Faraja unazozieleza ni kuituliza nafsi kwa woga lakini ukweli unabaki pale pale.

Woga wako ndio walio nao wznz wengine na ndicho chanzo cha mkataba, mahusiano n.k. Mnajua mwisho wa muungano ni mwanzo wa kitu gani. Chuki mliyoipanda dhidi ya Watanganyika itawarudi tu. Unanisingizia mimi sijachoma moto mtu kwasababu ya eneo analotoka, sina chuki, chuki ni wazanzibar wanaowakimbiza Watanganyika na viberiti.

Napenda wznz wakapumue
 
tatizo ni kwamba wanaotaka muungano wa mkataba seif na jussa wake wametanguliza roho ya ubinafsi mno(upembanism)!! kuja kwa serikali ya tanganyika ni pigo kubwa kwao!!!
 
Ndugu yangu

Shirikisho haliwezi kuwa serikali, serikali zitabaki kuwa Tanganyika na Zanzibar hizi ndizo zenye mamlaka, nashangazwa sana kuona shirikisho kuwa nchi na zile nchi kuwa majimbo ,hilo haliwezi kani, hebu niambie EU ni serikali au ni shirikisho ? Nini maana ya federation ?

Tanzania haiwezi kuwa nchi bwana huu ni utapeli, hapa kinacho ng'ng'aniwa ni madaraka na uliberali na uditecta kuitawala zanzibar.

Yunachotaka nchi yetu huru ijiamulie mambo yake, kama tunataka federation sawa lakini haiwezikani ikabeba uraia wetu uhamiaji, sijui sarafu bank kuu, ushuru, hilo litakuwa sio shirikisho tena, nchi ambazo zimeingia katika hizo shirikisho zikisha sarenda mambo muhimu kama hayo huwa si nchi tena huwa majimbo tu kama America.

Tunataka muungano wa mkataba, na muungano huu hatutaki kusemewa na mtu yoyote zaidi ya sisi wenyewe wananchi, tunamuambia tena warioba arudi katika maoni ya wazanzibari ambao walitoa maoni ya wingi na yatekelezwe, muungano huu sio wa mtu yoyote ni wa wananchi.

Au tupumueee:becky::becky:
Maggid, nadhani utasikia rai yangu ya wewe kushiriki mijadala na si 'kutupa' kitu na kukimbia.

Kuna utata sana wa serikali 3. Aliyekuwa rais wa znz Aboud Jumbe alijiuzulu kwa sakata hilo.
Wznz waksema ameonewa.

G55 ilikuja na pendekezo hilo kama ilivyokuwa kwa tume ya Nyalali, Kisanga na Warioba(tume ya kwanza).CUF kina sera ya serikali 3. Profesa Shivji amekaririwa mara nyingi akitaka serikali 3.

Inashangaza wale waliokubali serikali 3 ndio hao hao wanaoonyesha mashaka nayo akiwemo Prof Shivji.

Prof Shivji ni mzanzibar na ametoa elimu ya znz katika muungano. Kama raia au msomi anayo haki ya kujiunga na taasisi kama maridhiano au Uamsho bila tatizo au kujificha.

Kisichopendeza ni kujificha nyuma ya uprofesa ili kuendeleza ajenda za akina Uamsho .
Hapa natofautiana naye sana na nabaki kumuheshimu sana.

Ukisoma mapendekezo yake, anasema mambo ya nje na uraia yasiwe ya muungano kama wanavyodai wale wa mkataba wa muungano.

Prof anashangaa kwanini Polisi lisiwe jambo la muungano wakati huo huo akitaka znz huru kama walivyo akina Maalim na Jussa.

Ukiondoa Uraia na uhamiaji hakuna serikali ya shirikisho. Rais wa shririkisho hawezi kuwepo kama hakuna raia na hapo Prof Shivji anaunga mkono hoja ya kuvunja muungano kiufundi.

Profesa anasema mapendekezo yaliyopo yatampa rais wa Tanganyika nguvu kubwa kwasababu ana eneo kubwa.Prof haelezi nguvu ya kiuchumi itakayotokana na mchango wa Tanganyika katika serikali kuu.
Kwamba kuwe na usawa hilo haliwezekani isipokuwa kama znz itakuwa na mchango sawa na Tanganyika.
''with great power comes responsibility''

Prof anasema wznz wengi wanataka mamalaka kamili. Juzi tu kulikuwa na kikao cha kamati ya kushughulikia kero za muungano chini ya Gharibu Bilal na Makamu wa pili wa rais Idd Seif alisema kuna.Ingawa sikubaliani na kamati hizi lakini kuna kitu kinachoonekana hapo.

Kinachoonekana ni kuwa wanaotaka mamlaka kamili ni wapemba ambao nadhani Prof Shivji ana sympathize nao kwa kusema ni wengi.
Lau isingekuwa hivyo akina Gharib na Idd Seif wangeungana na akina Jussa na Maalim kutaka mamlaka kamili.

Hofu ya profesa ni kuvunjika kwa muungano. Hapa amejificha tu katika usomi lakini ukweli ni kuwa hasimamii muungano.Znz imevunja katiba ya muungano mara zaidi ya 10, profesa hakuwahi kuonya kuwa kuna hatari ya kuvunja muungano.

Leo ujio wa Tanganyika anaona hatari hiyo! Ukimsoma vizuri profesa, anaunga hoja ya muungano wa mkataba lakini nafsi inamsuta

Ndugu yangu Kobelo, federation haiwezekani kwasababu znz inataka iwe znz kwa maana kuwa haitaki kutoa kuwa sehemu ya federation. Haikubali kupoteza utambulisho kama ilivyofanya Tanganyika.

Na mwisho wale wanaosema hawataki muungano wa serikali 3 inabidi waende mbali na kusema wanataka ipi?Wakisema mbili, je watawatendea haki Watanganyika.Wakisema moja je znz wapo tayari kutoa sehemu ya uhuru na mamlaka yao?

cc.JokaKuu, Jasusi, Mwanakjiji, Kichuguu, Mchambuzi
 
Ndugu yangu

Shirikisho haliwezi kuwa serikali, serikali zitabaki kuwa Tanganyika na Zanzibar hizi ndizo zenye mamlaka, nashangazwa sana kuona shirikisho kuwa nchi na zile nchi kuwa majimbo ,hilo haliwezi kani, hebu niambie EU ni serikali au ni shirikisho ? Nini maana ya federation ?

Tanzania haiwezi kuwa nchi bwana huu ni utapeli, hapa kinacho ng'ng'aniwa ni madaraka na uliberali na uditecta kuitawala zanzibar.

Yunachotaka nchi yetu huru ijiamulie mambo yake, kama tunataka federation sawa lakini haiwezikani ikabeba uraia wetu uhamiaji, sijui sarafu bank kuu, ushuru, hilo litakuwa sio shirikisho tena, nchi ambazo zimeingia katika hizo shirikisho zikisha sarenda mambo muhimu kama hayo huwa si nchi tena huwa majimbo tu kama America.

Tunataka muungano wa mkataba, na muungano huu hatutaki kusemewa na mtu yoyote zaidi ya sisi wenyewe wananchi, tunamuambia tena warioba arudi katika maoni ya wazanzibari ambao walitoa maoni ya wingi na yatekelezwe, muungano huu sio wa mtu yoyote ni wa wananchi.Au tupumueee
Naomba mfano mmoja tu wa shirikisho unaohusu hoja zako. Tuanzie hapo kwanza kwasababu naona kuna dalili njema ya kuwa hujui maana ya shirikisho.

Naomba mfano mmoja wa shirikisho ambao Uraia, sarafu, benki kuu, ulinzi na usalama si sehemu ya shirikisho.
Mmoja ili twende mbele.
 
naomba mfano mmoja tu wa shirikisho unaohusu hoja zako. Tuanzie hapo kwanza kwasababu naona kuna dalili njema ya kuwa hujui maana ya shirikisho.

Naomba mfano mmoja wa shirikisho ambao uraia, sarafu, benki kuu, ulinzi na usalama si sehemu ya shirikisho.
Mmoja ili twende mbele.

oic,eac,eu.
 
oic,eac,eu.
OIC,EAC,EU Je, haya ni mashirikisho? Ghibuu lazima ufike wakati uwe na haya hata kama huonekani, hujulikani. Madhara ya akina CUF ndiyo haya kulisha watu vitu wasivyoweza kuvisimamia au kuvielezea. European Union haihitaji hata dictionary kujua ni nini.

Organization of Islamic conference haihitaji hata kufikiri.
Pengine tutasikia UNICEF nayo ni shirikisho.

East Africa cooperation eti nayo ni shirikisho, tutasikia na SADCC.
Jamani kama hamfahamu kitu si mkae kimya?

Assignment, nenda katafute kitu kinaitwa Federation, confederation na Union kwanza halafu uje hapa.

Mnalishwa vitu na akina maalim mnameza tu na kutoka nje bila haya wala soni. Wake up Znz

Huyu ni standard huko !
 
shirikisho unataka kuniambia ni serikali ? Nadhani ungenambia wewe kwanza, shirikisho kwa kiswahili unanieleza vipi ? Federation
 
Prof. Shivji nimemshangaa sana, sidhani kama yale ni maoni yake binafsi bila chembechembe za magamba. Hivi kama tukiungana na nchi ya tatu let say Kenya, serikali zitakuwa 3 kwa maana Zanzibar na Kenya watakuwa na za kwao, na ya Jamhuri?, Je tukiungana afrika mashariki yote serikali zitakuwa 5? yaani kila nchi itakuwa na serikali yake na ya Jamhuri isipokuwa Tanganyika! Huu utakuwa wendawazimu! Mi nadhani Prof. SHIVJI ni vizuri kustaafu kila kitu maan utaanza kuharibu sifa nzuri uliojijengea katika Jamii! SISI WANANCHI TUNATAKA SERIKALI TATU Jaji WARIOBA amekusanya na kuwasilisha mawazo yetu.

kwa kuwa amestaafu kazi, inawezekana kaishiwa hela, anauza sera za magamba apate chochote.
 
oic,eac,eu.

Wewe kweli ndiyo umechoka, hivi unajua maana ya shirikisho tunapozungumzia dola. Au kwa sababu unasikia kuna shirikisho la mpra wa miguu Tanzania TFF.

Maalim kawaharibu kabisa.

Haya na huo Muungano wa mkataba ni nini?
 
Nimemuuliza hajawahi kujibu.
Anasikia mkataba basi mbio barabarani kuimba. Hakuna mznz anayeweza kueleza mkataba ni muungano wa aina gani isipokuwa ''elite' wanaojua wanataka nini.
 
Endelea na chuki zako binafsi ujifurahishe, Zanzibar na wazanzibari wataendela kuwepo na kuishi popote duniani..wamekushinda wale wasomali wanaotembea na bastola kiunoni, tatizo unaonekana hujasafiri na kuona dunia..endelea kubakia na fikra za vijijini ati na ego zako ujidanganye vizuri. mzanzibari sie aliewaibia mabilioni ya radar, sie anaetorosha wanyama wenu, sie aliefilisi banki ya taifa katika account ya mikopo, sie anaedidimiza demokrasia kwa kauli za wapige, sie anaendelea umasikini kwa watanganyiki milioni arobaini wasio mbele wala nyuma. Yako mengi ya kujadili hasa kwako badala ya muungano na chuki against wazanziabari, narudia tena hizi zako kelele za mlango, ni dasturi hazina mbele wala nyuma, tutaendelea kuishi popote duniani kwa taratibu zozote zitazopangwa, chuki munazojijenga against wazanzibari zinawarudi sasa wenyewe kwa wenyewe, sio matter of time ni hivi sasa jitathmini kama munapenda sana iweje muripuane kuuwa na kujeruhi masikini watoto na wanawake, unaponyosha kidole kwa mwenzako kumbuka viliobbakia vinakutazama mwenyewe. wacha democracy ifanye kazi na wananchi waamue sio vitisho, watu wazima hawatishi nayu..period..by the way karibu malindi hapa upatge gahwa na haluwa na mkebe bure, smba kanywishwa chai itakuwa wewe..lol..

Wakati ukifika hakutakuwa na siasa tena ,itakuwa kufukuza tu kama wewe ni mpemba utarudi kwenu pemba kama wewe ni muunguja utarudi kwenu unguja ,jiandae haya mambo yanakuja
 
Wewe kweli ndiyo umechoka, hivi unajua maana ya shirikisho tunapozungumzia dola. Au kwa sababu unasikia kuna shirikisho la mpra wa miguu Tanzania TFF.

Maalim kawaharibu kabisa.

Haya na huo Muungano wa mkataba ni nini?

Nikujibu mara ngapi, hebu niambie shirikisho gani ambalo lina mfano wa Tanzania ?
 
Back
Top Bottom