Kupitia hii kitu leo nitajua ni Members wangapi / gani wanajua Soka haswa!

Kupitia hii kitu leo nitajua ni Members wangapi / gani wanajua Soka haswa!

Kila mchezaji na wakati wake Deco alikuwa bora kwa kipindi chake hasa akiwa barca, pirlo vilevile akiwa juve, Xavi vilevile na huyu na mwenzie ndo walipelekea Messi kuwa bora
 
Deco alkua anakupa vitu vingi na option nyingi ukitofautisha na pirlo na xavi, ila ukija tu kwa upigaji wa pasi bila mbwembwe xavi alkua anaongoza,, japo ukiingelea vipaji kati ya hao watatu xavi anaburuta mkia
 
Jmn kale kamtu kanaitwa deko kafupi kalikuwa balaaa
 
uhmPjUR.jpg
 
Kati ya Wachezaji hawa Watatu ( 3 ) nitakaowaorodhesha hapa nitajie mmoja ( 1 )tu ambaye unajua ni mahiri, fundi na mtaalam wa ukweli kwa kucheza ' Soka ' :
  1. Deco De Souza kutoka nchini Portugal.
  2. Xavi Hernandez kutoka nchini Spain.
  3. Andrea Pirlo kutoka nchini Italia.
Je kati ya hao hapo juu ni yupi ndiyo anafaa kuitwa ' pass master ' na ' engine room ' ya Timu yake awapo uwanjani?

Karibuni ' mtiririke ' kimichezo zaidi.
Godbless Lema!
 
Xavi hernandez the pass master
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom