Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
deco mashinedeco first class pirlo second na xavi economy class (my opinion)
MESSI anahusika vip tenaKila mchezaji na wakati wake Deco alikuwa bora kwa kipindi chake hasa akiwa barca, pirlo vilevile akiwa juve, Xavi vilevile na huyu na mwenzie ndo walipelekea Messi kuwa bora
MESSI anahusika vip tena
kumbe sio Ronaldinho na Etoo[emoji15]Nilimaanisha kuwa Xavi na Iniesta ndo walipelekea Messi kuonekana bora. Umenipata?
Godbless Lema!Kati ya Wachezaji hawa Watatu ( 3 ) nitakaowaorodhesha hapa nitajie mmoja ( 1 )tu ambaye unajua ni mahiri, fundi na mtaalam wa ukweli kwa kucheza ' Soka ' :
Je kati ya hao hapo juu ni yupi ndiyo anafaa kuitwa ' pass master ' na ' engine room ' ya Timu yake awapo uwanjani?
- Deco De Souza kutoka nchini Portugal.
- Xavi Hernandez kutoka nchini Spain.
- Andrea Pirlo kutoka nchini Italia.
Karibuni ' mtiririke ' kimichezo zaidi.
kumbe sio Ronaldinho na Etoo[emoji15]
Xavi hernandez the pass masterKati ya Wachezaji hawa Watatu ( 3 ) nitakaowaorodhesha hapa nitajie mmoja ( 1 )tu ambaye unajua ni mahiri, fundi na mtaalam wa ukweli kwa kucheza ' Soka ' :
Je kati ya hao hapo juu ni yupi ndiyo anafaa kuitwa ' pass master ' na ' engine room ' ya Timu yake awapo uwanjani?
- Deco De Souza kutoka nchini Portugal.
- Xavi Hernandez kutoka nchini Spain.
- Andrea Pirlo kutoka nchini Italia.
Karibuni ' mtiririke ' kimichezo zaidi.
sawa mkuuEnzi za gaucho Messi alikuwa akipiga bench, ubora wa Messi umekuja baada ya Xavi kuwa kwenye ubora wake
sawa mkuu