cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anasema yuko tayari kukupokea kama mke wa pili. Usijali kuhusu hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anasema yuko tayari kukupokea kama mke wa pili. Usijali kuhusu hilo.
kamzalilisha nan??Amedhalilisha wazazi wenzie acha naye adhalilike
KAMA UTAKUWA MPENZI MZURI WA MUSIC BASI UTAGUNDUA KWAMBA IDADI KUBWA YA WAPENZI WA MUSIC IMEGAWANYIKA KWENYE MAKUNDI MAWILI:Habari zenu,
Kwakweli kama wote mnavyojua kijana Diamond Platnumz ni moja ya vijana wapambanaji sana katika nchi hii,ni wale vijana waliotoka from the bottom huko chini kabisa na wakafanikiwa kupata mafanikio makubwa kutokana na juhudi binafsi.
Kinachonishangaza sasa ni trend kubwa ya Watanzania hasa vijana kumchukia huyu ndugu yetu hata bila sababu za maana kabisa badala ya kujifunza kutoka kwake.
Mbaya zaidi Watanzania tumejikita kumfanya ashuke pale alipo au aonekane hana chochote wala lolote, ukipita mitandaoni huko huoni hata wanaompongeza kwa mafanikio yake, wengi utaona wanapambana kumshusha inasikitisha sana, nakumbuka hata mimi mwenyewe kuna kipindi mkumbo huo ulinipitia kutokana na habari za mitandaoni, lakini nikagundua ni majungu tu.
Vijana wa Kitanzania tuache Majungu na fitina tuchape kazi, umbea hauna posho, hatuwezi kufanikiwa kwa kipiga majungu bila kupambana.
Asanteni.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1548][emoji817]Nimeipenda hii meseji
Ona huyu naeKAMA UTAKUWA MPENZI MZURI WA MUSIC BASI UTAGUNDUA KWAMBA IDADI KUBWA YA WAPENZI WA MUSIC IMEGAWANYIKA KWENYE MAKUNDI MAWILI:
1.KUNDI LA WASIO SOMA/HAWANA ELIMU
2.KUNDI LA WASOMI/WENYE ELIMU
DIAMOND WAFUASI WAKE WENGI WAKO KUNDI LA KWANZA, HAWA HAWANA UPINZANI KWAKE
DIAMOND HANA WAFUASI KWENYE KUNDI LA WASOMI, KAMA ILIVYO KWA ALIKIBA. HAPA ANA PATA UPINZANI MKALI KWA SABABU
WASOMI WANAPENDA MWANAMUSIC MWENYE LIFESTYLE NJEME, MWENYE KUJITAMBUA
KUZUNGUKWA NA MASHOGA KWENYE KUNDI LAKE, NI MACHUKIZO KWA WASOMI
HIVI NI LAZIMA KILA ANAYELALA NAYE UMMA WA WATANZANIA UJUE?
LEO HII MAMAKO ANAT.AKIWA NA KIJANA MDOGO NA BADO UNAWEKA HADHARANI!?, BILA SHAKA WEWE HUWEZI KWA SBB UNAJITAMBUA AU WEWE UNAWEZA?
BIASHARA YA MUSIC KWA SASA NI NYIMBO ZA SIFA KWA BWANA SHETANI (HAPA ILE DHANA YA UFREEMASONI WAKE UNAINGIA).
Yaani uwe msomi then unajiita shabiki wa Ali Kiba, what a bull crap.KAMA UTAKUWA MPENZI MZURI WA MUSIC BASI UTAGUNDUA KWAMBA IDADI KUBWA YA WAPENZI WA MUSIC IMEGAWANYIKA KWENYE MAKUNDI MAWILI:
1.KUNDI LA WASIO SOMA/HAWANA ELIMU
2.KUNDI LA WASOMI/WENYE ELIMU
DIAMOND WAFUASI WAKE WENGI WAKO KUNDI LA KWANZA, HAWA HAWANA UPINZANI KWAKE
DIAMOND HANA WAFUASI KWENYE KUNDI LA WASOMI, KAMA ILIVYO KWA ALIKIBA. HAPA ANA PATA UPINZANI MKALI KWA SABABU
WASOMI WANAPENDA MWANAMUSIC MWENYE LIFESTYLE NJEME, MWENYE KUJITAMBUA
KUZUNGUKWA NA MASHOGA KWENYE KUNDI LAKE, NI MACHUKIZO KWA WASOMI
HIVI NI LAZIMA KILA ANAYELALA NAYE UMMA WA WATANZANIA UJUE?
LEO HII MAMAKO ANAT.AKIWA NA KIJANA MDOGO NA BADO UNAWEKA HADHARANI!?, BILA SHAKA WEWE HUWEZI KWA SBB UNAJITAMBUA AU WEWE UNAWEZA?
BIASHARA YA MUSIC KWA SASA NI NYIMBO ZA SIFA KWA BWANA SHETANI (HAPA ILE DHANA YA UFREEMASONI WAKE UNAINGIA).
wa kundi la kwanza huyu, 🤣Yaani uwe msomi then unajiita shabiki wa Ali Kiba, what a bull crap.
Wewe ndio ovyo kabisa nitashangaa ukijiita ni msomiKAMA UTAKUWA MPENZI MZURI WA MUSIC BASI UTAGUNDUA KWAMBA IDADI KUBWA YA WAPENZI WA MUSIC IMEGAWANYIKA KWENYE MAKUNDI MAWILI:
1.KUNDI LA WASIO SOMA/HAWANA ELIMU
2.KUNDI LA WASOMI/WENYE ELIMU
DIAMOND WAFUASI WAKE WENGI WAKO KUNDI LA KWANZA, HAWA HAWANA UPINZANI KWAKE
DIAMOND HANA WAFUASI KWENYE KUNDI LA WASOMI, KAMA ILIVYO KWA ALIKIBA. HAPA ANA PATA UPINZANI MKALI KWA SABABU
WASOMI WANAPENDA MWANAMUSIC MWENYE LIFESTYLE NJEME, MWENYE KUJITAMBUA
KUZUNGUKWA NA MASHOGA KWENYE KUNDI LAKE, NI MACHUKIZO KWA WASOMI
HIVI NI LAZIMA KILA ANAYELALA NAYE UMMA WA WATANZANIA UJUE?
LEO HII MAMAKO ANAT.AKIWA NA KIJANA MDOGO NA BADO UNAWEKA HADHARANI!?, BILA SHAKA WEWE HUWEZI KWA SBB UNAJITAMBUA AU WEWE UNAWEZA?
BIASHARA YA MUSIC KWA SASA NI NYIMBO ZA SIFA KWA BWANA SHETANI (HAPA ILE DHANA YA UFREEMASONI WAKE UNAINGIA).
Tukianza na aliyesema ANATAMANI KUONA MATAJIRI WAKIISHI KAMA MASHETANI.Habari zenu,
Kwakweli kama wote mnavyojua kijana Diamond Platnumz ni moja ya vijana wapambanaji sana katika nchi hii,ni wale vijana waliotoka from the bottom huko chini kabisa na wakafanikiwa kupata mafanikio makubwa kutokana na juhudi binafsi.
Kinachonishangaza sasa ni trend kubwa ya Watanzania hasa vijana kumchukia huyu ndugu yetu hata bila sababu za maana kabisa badala ya kujifunza kutoka kwake.
Mbaya zaidi Watanzania tumejikita kumfanya ashuke pale alipo au aonekane hana chochote wala lolote, ukipita mitandaoni huko huoni hata wanaompongeza kwa mafanikio yake, wengi utaona wanapambana kumshusha inasikitisha sana, nakumbuka hata mimi mwenyewe kuna kipindi mkumbo huo ulinipitia kutokana na habari za mitandaoni, lakini nikagundua ni majungu tu.
Vijana wa Kitanzania tuache Majungu na fitina tuchape kazi, umbea hauna posho, hatuwezi kufanikiwa kwa kipiga majungu bila kupambana.
Asanteni.
Kabisa yani!Mbongo hapendi kuona mbongo mwenzake
Katoboa
Ova