Kupitia mafanikio ya Diamond Platnumz nimegundua Watanzania wengi wana roho mbaya

Kupitia mafanikio ya Diamond Platnumz nimegundua Watanzania wengi wana roho mbaya

Acheni unafiki wenu wa akina Kigogo!! Mnampiga kupigania haki huku mkiwa mmejificha kwenye fake IDs?!! Wanafiki aina yenu mngekuwa mnamaanisha mnachoongea yale maandamano ya Mange Kimambi ya April 26 yangejaza watu barabarani lakini hakuna aliyejitokeza halafu leo mnajifanya wapigania haki!! Yaani wakati nyie "mnapigania" haki huku mkiwa mmejificha kwenye fake IDs, mnataka mwenzenu atoke front bila bulletproof jacket?!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hao ndio watanzania
Maneno mengi mitandaoni , vitendo sifuri, wamebaki kushikiwa akili na wakina Miss Kigogo
 
Hii issue ya Chuki kisa Kayafa naipinga labda kama inafanywa kichaka cha kujifichia kwa wale wengine lakini kimsingi wote sio kikwete wala Samia ambao mnawasifia sasa hawakuwa karibu na Kayafa ila kwasasa ndiyo mnawapigia vigeregere.
Wanaomkandia Diamond kwa sababu alikuwa upande wa Ccm ni washenzi wa tabia.
 
Youngblood naomba niseme haya machache

Mti wenye matunda ndio hupopolewa mawe. Kuchukiwa ni ada ya mwanadamu. Hapa duniani kila kitu kina uwili! Kukiwa na wanaokupenda basi wanaokuchukia hawakosekani, kukiwa na wanaokusifia basi wanaokukosoa hawakosekani pia.

Watu duniani kote hufurahia mabaya ya mtu kuliko mafanikio yake na ndio maana habari mbaya za watu huvuma kwa kishindo kuliko habari zake nzuri.

Diamond kijana asiye na elimu lakini mwenye mafanikio makubwa naye ana mapungufu yake..hakuna mkamilifu la hata mmoja chini ya jua.

Chuki kubwa kwa Diamond ukiachana na ile ya wivu wa wasanii wenzake na vijana washindwa wengine. Imekolezwa na yeye kuambatana na KAYAFA. Mtu aliyetajwa kwa ukatili upendeleo na roho mbaya! Kumbuka ukiwa karibu na waridi nawe utanukia lakini pia ukiwa karibu na harufu mbaya nawe utanuka!

Uzuri wa Diamond anajitambua nakuitambua nafasi yake katika jamii hivyo hazipi nafasi chuki zinazomuandama kwa namna zote.. Ukimya ni silaha maridadi sana kwa haters. Kamwe usijaribu kujibishana na hater kwakuwa hiyo ndio nafasi pekee anayoitafuta kukuumiza na kupunguza machungu yake, mnyamazie azidi kuumia.

DIAMONDS ARE FOREVER!
ahaa unamaanisha KAYAFA karugendo sawa kbs tupo sambamba jombii
 
Hakuna wa kuomba msamaha na hakuna kitakachotokea , fight alone sio mtu akupanbanie , what a nonsense thought , nchi hii mataahira wengi ....
Ni Kweli watzania wengi wapo kizembe zembe ndio maana hayati Magufuli alikuwa anawapelekea moto hadi wanaomba pooooo.

Yaani watznia wangetawaliwa na mtu kama Kagame sijui wangekuwa na hali gani.
 
Watanzania wengi wanafurahia sana mafanikio makubwa aliyoyapata lakini wakati huo huo wanakerwa na yeye kuwa kimya kuhusu DHULUMA na UDHALIMU wa yule dhalimu mwendazake wakati huo huo aliweza kutoa sauti kukemea maovu ya Serikali ya Wanigeria. Kwa hiyo hitimisho lako kwamba Watanzania wanamchukia kwa mafaniko yake makubwa haliko ACCURATE.
Nyinyi mliojificha kwenye keyboard mlifanya kipi cha tofauti chenye mashiko.
 
Me nazani tukifata hyo sababu, tutawachukia wazazi wetu, wachungaji na sehemu kubwa ya ndugu zetu katka jamii tunazotoka.

Na mbona kama hao wanaotoa hzo sababu ndio wanaomsaport Alli kiba, na wasanii wengi ktk bongofreva ambao walikuwa ktk mlengo mmoja na Diamond ktk kuisuport serikali...?
Hate against Diamond ni ya watu wapuuuzi wasiojua wanataka nini maishani
 
Si mnasema haters wa diamond ndio wanaomsaidia kufikia malengo makubwa, imekuaje tena haters waonekane kama watu wabaya wakati wana mchango mkubwa katika riziki zake anazojipatia?

Mbona mnatuchanganya?
 
Sijui kwanini mtu akitaka ku catch feelings hutumia hoja ya wivu

Hata watu wanaomchukia sabaya nao wamehusishwa na wivu wa maendeleo yake

Kwa mantiki hiyo hata sabaya anaonewa wivu kwa maendeleo yake
 
Ndugu yangu nnabahati mbaya sana kusoma comments zako hapa jf, ila naona ubadilishe hyo profile yako. maana naona unamuaibisha sana huyo jamaa tunajua kacoment yy kumbe n pumba zako, tafuta hata profile ya madenge
Nakuunga mkono kwa asilimia 💯 naona umempa makavu live jamaa anaboa Sana sijui jamaa kichwa Chake kina nini
 
Me nazani tukifata hyo sababu, tutawachukia wazazi wetu, wachungaji na sehemu kubwa ya ndugu zetu katka jamii tunazotoka.

Na mbona kama hao wanaotoa hzo sababu ndio wanaomsaport Alli kiba, na wasanii wengi ktk bongofreva ambao walikuwa ktk mlengo mmoja na Diamond ktk kuisuport serikali...?
Akikujibu nitag
 
Mbongo hapendi kuona mbongo mwenzake
Katoboa

Ova
 
Youngblood naomba niseme haya machache

Mti wenye matunda ndio hupopolewa mawe. Kuchukiwa ni ada ya mwanadamu. Hapa duniani kila kitu kina uwili! Kukiwa na wanaokupenda basi wanaokuchukia hawakosekani, kukiwa na wanaokusifia basi wanaokukosoa hawakosekani pia.

Watu duniani kote hufurahia mabaya ya mtu kuliko mafanikio yake na ndio maana habari mbaya za watu huvuma kwa kishindo kuliko habari zake nzuri.

Diamond kijana asiye na elimu lakini mwenye mafanikio makubwa naye ana mapungufu yake..hakuna mkamilifu la hata mmoja chini ya jua.

Chuki kubwa kwa Diamond ukiachana na ile ya wivu wa wasanii wenzake na vijana washindwa wengine. Imekolezwa na yeye kuambatana na KAYAFA. Mtu aliyetajwa kwa ukatili upendeleo na roho mbaya! Kumbuka ukiwa karibu na waridi nawe utanukia lakini pia ukiwa karibu na harufu mbaya nawe utanuka!

Uzuri wa Diamond anajitambua nakuitambua nafasi yake katika jamii hivyo hazipi nafasi chuki zinazomuandama kwa namna zote.. Ukimya ni silaha maridadi sana kwa haters. Kamwe usijaribu kujibishana na hater kwakuwa hiyo ndio nafasi pekee anayoitafuta kukuumiza na kupunguza machungu yake, mnyamazie azidi kuumia.

DIAMONDS ARE FOREVER!
Nimeipenda hii meseji
 
Waswahili walishasema mkuki kwa nguruwe.

Asilimia kubwa ya hii mijitu ni minafiki.

Yaani unakuta jitu lenyewe linamchukia mtu fulani ila likiona kuna watu wengine na wao wanachukia mungu mtu wao yanaanza kubonga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimeumana tena lol.
 
Back
Top Bottom