Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Haki gani kaivunja NASIBUKweli hii dunia kila mtu na mtizamo wake.
Binafsi mtu aisiyesimamia haki ni adui yangu tu hata kama aliwahi kufanya mazuri mengi kiasi gani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki gani kaivunja NASIBUKweli hii dunia kila mtu na mtizamo wake.
Binafsi mtu aisiyesimamia haki ni adui yangu tu hata kama aliwahi kufanya mazuri mengi kiasi gani.
Anasema yuko tayari kukupokea kama mke wa pili. Usijali kuhusu hilo.Msalimu mkeo, mwambie kunabachela huku anampa hi🥰🥰😘
🙏🙏🙏Anasema yuko kukupokea kama mke wa pili. Usijali kuhusu hilo.
Hata madenge anamzidi akili huyo jamaa , ni kiazi haswaaNdugu yangu nnabahati mbaya sana kusoma comments zako hapa jf, ila naona ubadilishe hyo profile yako. maana naona unamuaibisha sana huyo jamaa tunajua kacoment yy kumbe n pumba zako, tafuta hata profile ya madenge
Huyo Ali,Harmonize,Nandy waliwahi kukemea wapi?Watanzania wengi wanafurahia sana mafanikio makubwa aliyoyapata lakini wakati huo huo wanakerwa na yeye kuwa kimya kuhusu DHULUMA na UDHALIMU wa yule dhalimu mwendazake wakati huo huo aliweza kutoa sauti kukemea maovu ya Serikali ya Wanigeria. Kwa hiyo hitimisho lako kwamba Watanzania wanamchukia kwa mafaniko yake makubwa haliko ACCURATE.
Huyo Ali,Harmonize,Nandy waliwahi kukemea wapi?
mshaanza kufanya kampeni ya kutaka nyimbo zao ziondolewe youtube?Nani alikwambia hao kule Twitter hawajazodolewa kuhusu kupiga kimya Kwa maovu ya yule dhalimu mwendazake!? 😳😳😳
mshaanza kufanya kampeni ya kutaka nyimbo zao ziondolewe youtube?
Sijakuelewa kabisa naaminj hujaelewa kabisa nilichoandikaHii issue ya Chuki kisa Kayafa naipinga labda kama inafanywa kichaka cha kujifichia kwa wale wengine lakini kimsingi wote sio kikwete wala Samia ambao mnawasifia sasa hawakuwa karibu na Kayafa ila kwasasa ndiyo mnawapigia vigeregere.
Umeshapanic,!Haya kafir** we ukalale.
nimekuuliza swali kistaarabu bro,nijibu kistaarabu sijawahi kukuvunjia heshima kaka!Acha ujinga wewe!!!
Umeshawahi kukaa chini na kujiuliza kwamba chuki yako binafsi inakuongezea nini ktk maisha yako na inampunguzia nini nasibu?Waswahili walishasema mkuki kwa nguruwe.
Asilimia kubwa ya hii mijitu ni minafiki.
Yaani unakuta jitu lenyewe linamchukia mtu fulani ila likiona kuna watu wengine na wao wanachukia mungu mtu wao yanaanza kubonga.
Mimi siyo mpenzi wa miziki yaoNa kila wakimchukia ndo anazidi kupaa juu,,juu mawinguni.
Huyu mondi sijawahi kuwa shabiki au kuuelewa miziki yaoSimba na Yanga zote wadhamini wao ni ccm lakini sijaona hao mnaojiita wapigania haki mkijitahidi kujitoa kwenye hizo timu,
Ukiona mtu anakuchukia sana ujue kuna vitu umemzidi
Tatizo alikaa kimya sana sasa akataka kusema neno kuwapa uelewa ila jamii ikaona kama anajimwambafai ila he isa cool boyNikiwa tajiri nikaa kimya na utajiri wangu na watu wakaona pia na juhudi zangu za kutafuta sidhani kama kuna mtu atanichukia au kuhangaika kunishusha ila tatizo litakuja pale nitakapo anza kujigamba Nakuanza kusema hapa "Hakuna Mwana JF tajiri kama mimi"
Naona wabongo wanatamani ashuke 😂😂Sijakuelewa kabisa naaminj hujaelewa kabisa nilichoandika
Hawawezi kukueleewa. Jinsi wanavyomsimanga ndio hivyo hivyo wanavyowasimanga ndugu zao waliotoboa.Habari zenu,
Kwakweli kama wote mnavyojua kijana Diamond Platnumz ni moja ya vijana wapambanaji sana katika nchi hii,ni wale vijana waliotoka from the bottom huko chini kabisa na wakafanikiwa kupata mafanikio makubwa kutokana na juhudi binafsi.
Kinachonishangaza sasa ni trend kubwa ya Watanzania hasa vijana kumchukia huyu ndugu yetu hata bila sababu za maana kabisa badala ya kujifunza kutoka kwake.
Mbaya zaidi Watanzania tumejikita kumfanya ashuke pale alipo au aonekane hana chochote wala lolote, ukipita mitandaoni huko huoni hata wanaompongeza kwa mafanikio yake, wengi utaona wanapambana kumshusha inasikitisha sana, nakumbuka hata mimi mwenyewe kuna kipindi mkumbo huo ulinipitia kutokana na habari za mitandaoni, lakini nikagundua ni majungu tu.
Vijana wa Kitanzania tuache Majungu na fitina tuchape kazi, umbea hauna posho, hatuwezi kufanikiwa kwa kipiga majungu bila kupambana.
Asanteni.
Ni kwanini mtu akikuchokonoa halafu uka mute, huwa anaumia zaidi ?Youngblood naomba niseme haya machache
Mti wenye matunda ndio hupopolewa mawe. Kuchukiwa ni ada ya mwanadamu. Hapa duniani kila kitu kina uwili! Kukiwa na wanaokupenda basi wanaokuchukia hawakosekani, kukiwa na wanaokusifia basi wanaokukosoa hawakosekani pia.
Watu duniani kote hufurahia mabaya ya mtu kuliko mafanikio yake na ndio maana habari mbaya za watu huvuma kwa kishindo kuliko habari zake nzuri.
Diamond kijana asiye na elimu lakini mwenye mafanikio makubwa naye ana mapungufu yake..hakuna mkamilifu la hata mmoja chini ya jua.
Chuki kubwa kwa Diamond ukiachana na ile ya wivu wa wasanii wenzake na vijana washindwa wengine. Imekolezwa na yeye kuambatana na KAYAFA. Mtu aliyetajwa kwa ukatili upendeleo na roho mbaya! Kumbuka ukiwa karibu na waridi nawe utanukia lakini pia ukiwa karibu na harufu mbaya nawe utanuka!
Uzuri wa Diamond anajitambua nakuitambua nafasi yake katika jamii hivyo hazipi nafasi chuki zinazomuandama kwa namna zote.. Ukimya ni silaha maridadi sana kwa haters. Kamwe usijaribu kujibishana na hater kwakuwa hiyo ndio nafasi pekee anayoitafuta kukuumiza na kupunguza machungu yake, mnyamazie azidi kuumia.
DIAMONDS ARE FOREVER!
Umeshawahi kuniona naanzisha uzi wowote wa kimchukia msanii humu?Umeshawahi kukaa chini na kujiuliza kwamba chuki yako binafsi inakuongezea nini ktk maisha yako na inampunguzia nini nasibu?