Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
- Thread starter
- #41
KwakweliSio tu roho mbaya pia wachawi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwakweliSio tu roho mbaya pia wachawi.
[emoji1548][emoji1545][emoji817]Its M.....Jr
Showbiz industry ni battle field, you fight to thrive. Unataka akae legelege kama wale midebwedo wanaoshindwa kushindana naye, kila mshiriki kwenye hiyo industry apambane kadri ya uwezo wake na wanye ubavu ndiyo watakuwa juu siku zote.Unafiki na tabia yake ya kulazimisha ku-monopolise soko la muziki.
Yaani inshort anapambana kujifanya Ruge part 2.
Naomba unipe ufafanuzi unaposema analazimisha kudominate soko la mziki?Unafiki na tabia yake ya kulazimisha ku-monopolise soko la muziki.
Yaani inshort anapambana kujifanya Ruge part 2.
Kweli maisha bila unafiki hayaendi.Waswahili walishasema mkuki kwa nguruwe.
Asilimia kubwa ya hii mijitu ni minafiki.
Yaani unakuta jitu lenyewe linamchukia mtu fulani ila likiona kuna watu wengine na wao wanachukia mungu mtu wao yanaanza kubonga.
akijibu ni tag mkuu.Naomba unipe ufafanuzi unaposema analazimisha kudominate soko la mziki?
🤣🤣🤣🤣akijibu ni tag mkuu.
Huna akiliHabari zenu,
Kwakweli kama wote mnavyojua kijana Diamond Platnumz ni moja ya vijana wapambanaji sana katika nchi hii,ni wale vijana waliotoka from the bottom huko chini kabisa na wakafanikiwa kupata mafanikio makubwa kutokana na juhudi binafsi.
Kinachonishangaza sasa ni trend kubwa ya Watanzania hasa vijana kumchukia huyu ndugu yetu hata bila sababu za maana kabisa badala ya kujifunza kutoka kwake.
Mbaya zaidi Watanzania tumejikita kumfanya ashuke pale alipo au aonekane hana chochote wala lolote, ukipita mitandaoni huko huoni hata wanaompongeza kwa mafanikio yake, wengi utaona wanapambana kumshusha inasikitisha sana, nakumbuka hata mimi mwenyewe kuna kipindi mkumbo huo ulinipitia kutokana na habari za mitandaoni, lakini nikagundua ni majungu tu.
Vijana wa Kitanzania tuache Majungu na fitina tuchape kazi, umbea hauna posho, hatuwezi kufanikiwa kwa kipiga majungu bila kupambana.
Asanteni.
Wapo wanaomchukia diamond bila sababu,na wapo wanaomchukia kwa sababuHabari zenu,

Sawa, asanteHuna akili
Unampoteza vipi msanii anayepata airtime ktk radio zote kubwa Tz na WCB wanaopata airtime Wasafi pekee.Wapo wanaomchukia diamond bila sababu,na wapo wanaomchukia kwa sababu
Hata yeye hajakamilika pia,hutumia nafac yake kuwafanyia wenzie mabaya pia
Vitu vingine wala havihitaji mtu akwambie tazama,mfano wa maisha ya sasa ya harmonize na WCB utaona dhahiri upande wa WCB hawana raha juu ya huyu mmakonde wanatamani leo kesho wampoteze kwa gharama yoyote ile lkn kijana nae anakomaa kama anavyokomaa diamond kwa hao wanaomchukia...WORLD IS BATTLEFIELD.
Duu saikolojia yako hatar Sana, hebu tuambie ni nini hasa kinachowakosesha raha? Au wewe ndiyo huna raha kuona bwana mdogo akijitutumua bila mafanikio?Wapo wanaomchukia diamond bila sababu,na wapo wanaomchukia kwa sababu
Hata yeye hajakamilika pia,hutumia nafac yake kuwafanyia wenzie mabaya pia
Vitu vingine wala havihitaji mtu akwambie tazama,mfano wa maisha ya sasa ya harmonize na WCB utaona dhahiri upande wa WCB hawana raha juu ya huyu mmakonde wanatamani leo kesho wampoteze kwa gharama yoyote ile lkn kijana nae anakomaa kama anavyokomaa diamond kwa hao wanaomchukia...WORLD IS BATTLEFIELD.
Watu wameshindwa kuelewa Diamond ni msanii he is not a politician ambaye ataweza badilisha maisha yao au anapigania haki za watu, anapigania mkate wake na familia yake na atafanya kwa sanaa yake kwa vyovyote, japo anakosea kujitenga na wasanii wenzake na kujiona yuko on top of the chain kwa story za mtaani na ambazo zinaonekana hakubali kufanya collabo na wasanii wenzake anafanya tu kwa few that he wants, kwa mfano mtu kama Davido nadhani so far kwa nigeria hamna msanii mwenyewe collabo nyingi kama yeye na wasanii wadogo wadogo na ndio maana ata alivo kosa award ya BET kuna watu walibaki kusema he is the best izo award hazimaanishi kitu.Habari zenu,
Kwakweli kama wote mnavyojua kijana Diamond Platnumz ni moja ya vijana wapambanaji sana katika nchi hii,ni wale vijana waliotoka from the bottom huko chini kabisa na wakafanikiwa kupata mafanikio makubwa kutokana na juhudi binafsi.
Kinachonishangaza sasa ni trend kubwa ya Watanzania hasa vijana kumchukia huyu ndugu yetu hata bila sababu za maana kabisa badala ya kujifunza kutoka kwake.
Mbaya zaidi Watanzania tumejikita kumfanya ashuke pale alipo au aonekane hana chochote wala lolote, ukipita mitandaoni huko huoni hata wanaompongeza kwa mafanikio yake, wengi utaona wanapambana kumshusha inasikitisha sana, nakumbuka hata mimi mwenyewe kuna kipindi mkumbo huo ulinipitia kutokana na habari za mitandaoni, lakini nikagundua ni majungu tu.
Vijana wa Kitanzania tuache Majungu na fitina tuchape kazi, umbea hauna posho, hatuwezi kufanikiwa kwa kipiga majungu bila kupambana.
Asanteni.
Ndio binadamu haoReply ya mwaka hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengi hawajamsamehe, ...niliwahi kumshauri kupitia koment za humu JF kwamba awaombe radhi watanzania.... kwani yeye anawahitaji kuliko wanavyomuhitaji, inawezekana hakuisoma ile komenti yangu.Kwa sehemu nimemsamehe Mond.. Kumbuka alikotokea na pengine mbele ya kayafa hakuwa na jinsi
Saikolojia yako wewe ndo hatari zaidi kufikiria kwamba watu waliofanikiwa huwa hawana habari na watu walio nyuma yao kuelekea walipo wao(moja ya sababu ya matajiri kubaki kuwa matajiri ni kuwaangalia waliopo nyuma yao wanafanya nini)Duu saikolojia yako hatar Sana, hebu tuambie ni nini hasa kinachowakosesha raha? Au wewe ndiyo huna raha kuona bwana mdogo akijitutumua bila mafanikio?
Kwa kweli. Na hii nimeona katika maisha yangu mwenyewe na hata maisha ya kisiasa. Watanzania walio wengi wana roho mbaya sana hawapendi maendeleo ya watu.Habari zenu,
Kwakweli kama wote mnavyojua kijana Diamond Platnumz ni moja ya vijana wapambanaji sana katika nchi hii,ni wale vijana waliotoka from the bottom huko chini kabisa na wakafanikiwa kupata mafanikio makubwa kutokana na juhudi binafsi.
Kinachonishangaza sasa ni trend kubwa ya Watanzania hasa vijana kumchukia huyu ndugu yetu hata bila sababu za maana kabisa badala ya kujifunza kutoka kwake.
Mbaya zaidi Watanzania tumejikita kumfanya ashuke pale alipo au aonekane hana chochote wala lolote, ukipita mitandaoni huko huoni hata wanaompongeza kwa mafanikio yake, wengi utaona wanapambana kumshusha inasikitisha sana, nakumbuka hata mimi mwenyewe kuna kipindi mkumbo huo ulinipitia kutokana na habari za mitandaoni, lakini nikagundua ni majungu tu.
Vijana wa Kitanzania tuache Majungu na fitina tuchape kazi, umbea hauna posho, hatuwezi kufanikiwa kwa kipiga majungu bila kupambana.
Asanteni.
Hivi kipindi kile media zilimtenga msanii gani alimtetea?Watu wameshindwa kuelewa Diamond ni msanii he is not a politician ambaye ataweza badilisha maisha yao au anapigania haki za watu, anapigania mkate wake na familia yake na atafanya kwa sanaa yake kwa vyovyote, japo anakosea kujitenga na wasanii wenzake na kujiona yuko on top of the chain kwa story za mtaani na ambazo zinaonekana hakubali kufanya collabo na wasanii wenzake anafanya tu kwa few that he wants, kwa mfano mtu kama Davido nadhani so far kwa nigeria hamna msanii mwenyewe collabo nyingi kama yeye na wasanii wadogo wadogo na ndio maana ata alivo kosa award ya BET kuna watu walibaki kusema he is the best izo award hazimaanishi kitu.
Simba na Yanga zote wadhamini wao ni ccm lakini sijaona hao mnaojiita wapigania haki mkijitahidi kujitoa kwenye hizo timu,Ilikuwa muhimu kujiuliza kama ni huyu tu aliyefanikiwa Tanzania? Kwanini kumekuwa na kampeni zenye mwelekeo wa kumchukia? Kwani wanaoendesha kampeni hizo hawajadadavua sababu hata moja?
Wapumzike kwa amani akina Ben, Azory, Mawazo, wa kwenye viroba nk. Kweli magu alikuwa baba lao!