Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

I like you dude. I feel to be connected with you. May you allow pls. Sema Kuna points fulani sijakuelewa mie huwa Ni hard magnet kidogo yaani hard to understand and hard to lose.

Can I reach you privately?

Ila nashukuru umeniambia vitabu ivyo nashukuru nitavipitia ninavyo kwenye arsenal yangu ya books.
 
Tucheki bonds ama hatifungani inatoa interest ya ngapi let say 10yrs, na je na huo mkopo unalipwa kwa interest ya % tuseme umechukua mkopo wa miaka 10. Tuangalie hapa hii interests rate differences je Ni positive or negative kwako.


Kuna ishu nyingine naijua iko Kama hii Ila hii Ni kuwa waweza kuta interest rate ya Japan iko down let say 2% na ukakopa billions of yen unaenda kukopesha banks za America mfano saivi USA interest rate imetolewa Jana na FOMC iko 3.25%. so hapa wewe unapata 1.25% profit ya hela uliyokopa.
Inaitwa interest rate differences unaweza ukapata faida ama ukapoteza Sasa inatakiwa ujue unanunua bond za government ipi.

Yaani nairudia kusoma Uzi wako Mara nyingi iwezekanavyo.ili hii point I soak kabisa kabisa
 
Nimecheck na calculator majibu ni utakuwa na 741M View attachment 2364446

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Mkuu samahani kama nitakua nakusumbua.

Million 200 baada ya miaka 10 itakua na thamani gani au hii million 200 ya sasa miaka 10 nyuma ilikua na thamani gani kwa kuzingatia inflation, deflation na factor zote wanazozingatia
 
Mkuu nadhani huelewi maana ya UTT, Dhima kuu ni kufanya uwekezaji wa pamoja yan badala kila mtu kivyake akaweke 50k, mwingine 3M, mwingine 10M kivyake kwenye fixed au government bonds na ukapata pesa kidogo wao UTT wanazikusanya zote hizo wanaenda kuzisambaza katika sehemu tofauti then upate interest kubwa.

Niliwahi kuweka Mil 8 fixed account ya mwaka mzima nilipata laki 3 isiyozidi laki 4 sasa kama ningepeleka UTT ningekua wapi saivi tena hapo ilikua mwaka 2016 baada ya kupokea pesa ya mirathi.
 
Sio kila MTU ni mfanyabiashara
 
hii UTT haina tofauti na hisaa ukiwekeza milion 10 ukinunua vipande thamni ya kipande ikishuka inaahuka na thamani ya mtaji wako kama uliweka milion 10 unaweza kujikuta una milion 9 kama ukitokea thamani ya kipande imeshuka.
Tuulize tulionunua hisa za Voda kila ukiweka sokoni haziuziki. Na wakati UTT ukitaka pesa zako ni ndani ya 5-10 work days unapokea mzigo wako.

Ukinunua hisa unakua na wewe ni sehemu ya umiliki wa kampuni husika na ndio maana unaalikwa kwenye annual meetings kwa hiyo kupanda na kushuka kwa thamani ya hisa lazima uhusike kwa sababu na wewe ni mmiliki lakini vipande vya UTT ni tifauti kwa kwa sababu uwekezaji unafanywa kwenye makampuni yanayofanya vizuri sokoni na pesa yenyewe inagawanywa sehemu tofauti tofauti.

Kwangu naona bora nikawekeze UTT kuliko hisa
 
Mifuko yote mizuri ukiwa na million 500. Ata fixed deposit nzuri tuu ukiwa na million500. Kwanza ukiingia bank wanakupa na chai na cake. Kuwa na hela raha sana
Na namba ya bank teller yule mzuri kuliko wote utapewa hata kama mke wa mtu.
 
Point ya msingi itabakia palepale UTT Na hisa za voda nk haina utofautiiii

OVER
 
It is honour to have you here. Shusha NONDO mkuu niko na kalamu naandika
 
Kwani pesa wanazokusanya UTT zinapelekwa wapi?
 
Ukiweka zaidi kidogo ya Sh mil 200, tuseme 230,000,000 hivi bond fund, na kuchagua option ya kulipwa kila mwezi, hitaji lako utakuwa umelipata.

Iwapo umeamua hili kwa dhati, jihadhari kushawishiwa na wanaokushauri kufanya biashara hii au ile - maana biashara nazo zina wenye kuzijua mizingu yake - si kila mtu anaziweza.
 
Concepts Ndogondogo watu wanazoingia chaka
1. Saving
2.Investment (Uwekezaji)
3. Business (Biashara)
4. Treasury Bond (Hatifungani za serikali)
5. Corporate Bond (Hatifungani za makampuni e.g NMB Jasiri Bond)
6. UTT Amis (UTT Asset Management and Investor services )- tunamrefer kama fund manager unaweka hela kwake anainvest on your behalfs then analeta matunda toto tundu mule
7. The Dar es salaam stock exchange- Soko la Hisa la Dar es salaam , lina bidhaa kuu mbili Hisa na Hatifungani (Soko la upili ama we can it secondary market)
8. Vipande vs Hisa vs kuponi - Hizi ni dhana tatu tofauti vipande sio Hisa naona kuna mkanganyiko hapa
9. Liquidity - uwezo wa kubadili asset kwenye cash, naona kuna malalamiko ya Liquidity ya vodacom lakini haina maana share zingine haziko liquidy counter safi kabisa ni zenye wingi wa Outstanding Bid na Outstanding offer kwenye Daily market report inayotoka sa kumi na moja kwenye website ya dse
10. Bond fund (UTT) vs Bond (BOT) - Bond Fund ni moja ya mfuko wa utt, nikimaanisha gharama ya kununa bond minimum ni 1 mil , so utt anakusanya vihela vidogodogo vya walalahoi kwenye mfuko mmoja then anainvest on behalf (collective investment scheme) CIS , Nona kuna mkanganyiko hapa
 
Mkuu we ni PM haina tatizo, Lakini ukianza kuongelea kuhusu mikopo ya Multi currency , hapo ni kuna changamoto na kunarisk mbalimbali za kuhedge mfano tu exchange rate rISK maana yake lazima uicover na forward contract. close look to impact ya kenya airways due to hedging failure A close look at the role of fuel hedging in Kenya Airways’ Sh26bn loss.

So nisiweke mambo mengi, what i wanted to say is "in a nut shell" wewe ni muajiriwa? upo kwenye vicoba? saccos? if theres a way u can get a loan/mkopo wa single digit interest mfano wafanyakazi wa mabenki wanakopeshwa hadi 5%, Saccos nyingine zinatoa 4 times amount uliyoweka plus 7% interest. unachofanya unaangalia tofauti kati ya TBond ya 25 years na Mkopo rate unayopewa , for example TBond 12.56 vs Saccos 7% difference 5,56% , so take the biggest amount utakayoweza kupata hata 1 Billion baba then nunua bond the interest + principal bond itajilipa bila wewe kufanya kitu baada ya miaka michache we ni mbuzi choma kwenye viti virefu.

Bond za kununua ni 20 na 25 Years tu ! PERIOD
So hakuna kununua bond zaidi ya hizo kama wewe ni retail, kumbuka LIQUIDITY ndo mpango mzima
Rejea: Buying 25 years Bond haimaaniishi ukae nayo miaka 25 unaweza nunua leo ukauza kesho... sasa kama ndo hyo why are u buying 10Y Tbond? Seriously.....
 
The most undisputed investments kwangu ni kwenye real estate. Government bonds ni nzuri kuliko fixed deposit za kwenye mabenki. Kwangu nina recommend bonds hasa kwa wastaafu. Mtu miaka kenda kadumu kwenye utumishi, hajawahi kuwa hata na duka la pembejeo, anastaafu anataka kufanya biashara. Weka pesa yako kwenye govt bonds, punguza matumizi ishi maisha ya retiree.
 
Tsh 200,000,000 nataka ninunue Gari/Nyumba ya kuishi (Liability) ya Millioni 100, Way forward is Buy a Treasury Bond then ikopee utapigwa haircut 70% roughtly 140M lakini wewe chukua 100M
Doubt nyingine bwana Honourable CFA Russian Hooligans Oligarchy iyo ya interest rate ya 140M ya benki labda unaweza ikawa let say 15% kwa mwaka na wao wanaotaka kila mwezi wanakata hela yao.

Sasa bond interest rate unayolipwa Ni 12.8% labda ya miaka 10. Na Hawa bond wanakulipa faida quarterly/semi annually Sasa hapo itakuwaje mbona kama Kuna gepu utatoa hela nyingi benk. Mana Kuna difference ya interest rate ya 15-12.8=2.2% huoni kuwa utakuwa unatoa nyingine nje ya hiyo hela ili kui compesate.
Ama Ile hela uliyokopa ukajengea uanapata Kodi unasaidizana na bond interest rate ili kucover iyo mkopo wa bank.ama kwa vile hela ya bank itakuwa ndogo kuliko Ila riba Ni kubwa inafidiwa na hela ya bond Ni kubwa Ila rate Ni ndogo so Ina fidiana.

Ama utaongezea na Kodi ya nyumba ili kulipa mkopo. Please more explanation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…