Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili

Ngoja watoke kwenye azana waje kukushambulia
Sijazungumzia kabisa imani au dini ya mtu yeyote kwenye mada yangu.. Iraq ni taifa la imani tofauti.. Mada yangu imejikita kwenye ndoa
 
Msilazimishe Umagharibi uwe kanuni ya maisha kwa kila binadamu. Hio elimu yako ni umagharobi. Africa mtoto huchumbiwa akizaliea tu, kabila la masai na Sukuma huo ni utamaduni wao tangu zamani vopi ushangae ya mwarabu ?.
Sasa hivi wewe mwafrika unampangiaje mwarabu jinsi ya kuishi ? Una uhalali huo ? Mwafrika mambo yako mengi yamekushinda unakosoa ya mwingine.
Hapa duniani mwafrika ndio mtu asiejitambua kuliko mtu yoyote yule, kwa nini usianzishe harakati za kumkomboa mwafrika unadakia ya mwarabu ? Mwarabu anatuathiri nini kwa mambo yake hasi?
 
Shida ya watu wa mudi wanalazimisha wengine wawe kama wao. Mfano Boko Haram
 
Hata wewe unslazimsha warabu wawe kama wewe. Wazungu nao vile vile wanalazimisha dukia nzima iwe kama wao. Ndio maana mnasheria ya mtoto ambao ni utamaduni wa wazungu.
Waafrija mtu huidhinishwa na jamiii sio sheria
Mtoto wa Irak wa miaka 9 anaweza awe sawa na wa miska 15 huku kwetu ila mnataka sheria zifanane . Kwa hio msiwapangie warabu kama mnavyopangiwa na wazungu.
 
Kuna wanaume wana dhambi sana
1737833897474.jpg
 
Mudi alipita nao hao watoto, wanaomwamini wanaona sawa tu
 
Ila madomo zege wanapata unafuu, maana kwao kumsemesha mtu mzima kipengele!
 
Back
Top Bottom