Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili

Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili

Nimekaa hapa namuangalia bint yangu wa miaka 10 mpka machozi yamenitoka et nakuta mpumbavu kamuoa llloh 🥲🥲🥲
 
Hatimaye bunge la Iraq limepitisha rasmi sheria ya ndoa kuwa miaka 9.. Kwamba mtoto wa kike akifikisha miaka tisa basi ni ruhusa kuolewa
Ndoa ninini!? Wengine watakwambia ni ndoano.. Lakini ndoa ni mapatano/makubaliano ya kuishi pamoja watu wa jinsia mbili tofauti kama mke na mume kwa muktadha wa kujenga familia na kuzaa watoto .. Na ni lazima ziwepo hisia na natamanio ya upendo na kupendana.. Na kikubwa kuliko yote.. Wote wawe na uwezo wa kufanya ngono
Baada ya hapo ndio yanafuata majukumu mengine ya kifamilia

Ndoa inahitaji upevu na ukomavu wa akili lakini pia upevu na ukomavu wa mwili..
Je mtoto wa miaka tisa kakomaa kimwili?
Je mtoto wa miaka tisa keshapevuka kiakili
Je mtoto wa miaka tisa keshavunja ungo kiasi cha via vyake vya uzazi kuruhusu kuingiliwa kingono?
Je mtoto wa miaka tisa anajua maana ya ndoa na majukumu yake yote?

Ndoa ni tendo la hiari katika ulazima wake.. Ndio ma a na siku ya kufunga harusi wahusika huulizwa kama wamekubali.. Mtoto wa miaka tisa ambaye hajajua vema hata kufua chupi na kujiswafi unawezaje kumbembesha jukumu zito kama hilo?
Huo ni ubakwaji
Huko ni kubemendwa
Huo ni utumwa wa kingono
Huko ni kuvunja haki za msingi za binadamu na za mtoto wa kike
Huko ni kufisha na kuua kabisa ndoto zao maishani maana ndoa ni gereza kwa wasiojua maana ya ndoa
Iraq kwenye hili imekengeuka haki na ustawi wa uumbaji na furaha na afya ya akili na mwili kwa mtoto wa kike! IKEMEWE..!
Na bado atasimama mwanaume wa miaka 50 kuitetea kwa kisingizio cha dini.
 
Mafundisho mengi ya kiisilamu yanamchukulia mwanamke kama chombo cha ngono.
 
Kwanza waIraq si waarabu. Halafu pili si kila mila na desturi za wengine ni mbaya. Zingine sawa, mfano kuzuia ukeketaji, kuzuia uchomaji misitu na uoto nk. Lakini hili la kywaozesha watoto wa miaka 9, ni kichaa tu ndiye anayeweza kulikubalia. Hayo mawazo ya kusema mtoto wa miaka 9 Iraq ni sawa na wa miaka 15 Tanzania ni ubovu wa akili. Hata kama wanavunja ungo mapema, haimaanishi ndiyo atakuwa na uwezo wa kuzaa. Pia hata ufahamu na elimu atakuwa bado hajamaliza
Mkuu wewe na wa Iraq nani wana maarifa zaidi ? Unaweza kuwa mwalimu kwa watu wa Iraq, yaani wewe ujue kuhusu makuzi
kuliko wa Iraq, are you serious ?
Hizo digrii zenu zinawadanganya. Tatueni shida zenu hapa TZ ya waoraq waachieni wenyewe.
Kwani Egypt ni warabu mbona wanaitwa warabu.
Suala la nani mwarabu hio ni mada yingine iweke kipolo jadili hio sheria.
 
Mkuu wewe na wa Iraq nani wana maarifa zaidi ? Unaweza kuwa mwalimu kwa watu wa Iraq, yaani wewe ujue kuhusu makuzi
kuliko wa Iraq, are you serious ?
Hizo digrii zenu zinawadanganya. Tatueni shida zenu hapa TZ ya waoraq waachieni wenyewe.
Kwani Egypt ni warabu mbona wanaitwa warabu.
Suala la nani mwarabu hio ni mada yingine iweke kipolo jadili hio sheria.

Bro hoja yako ni nini? Yaani kwa maarifa yako unaona Iraq wako sahihi kuozesha mtoto wa miaka 9? Yaani mtu wa miaka 9 hata hajakuwa na kupevuka kimwili na kiakili, wewe unaleta siasa kwamba wao wanajua zaidi kuhusu hili. Ni ajabu sana
 
Yaani Waliraq walikubali kumsaliti Sadam Hussein ilo tu waje wapate uhuru wa kuoa vitoto. Aibu kubwa sana
 
Wanawaza ngono tu na anasa. Mudi mtu m'badi kweli. Eti anawadanganya kwamba peponi kila mmoja atamiliki dangulo lake lililo sheheni mabikira 72. Bila kusahau mito ya pombe.
Siku zote najiuliza, wanawake watakabidhiwa nini?
Pepo ya mudi imejaa uchafu wa mishahawa na mimaji ya K na mipombe michafu yaani full kunuka🤣😂😁😆
 
Back
Top Bottom