SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Serikali dhalimu ya CCM inatumia mamia ya mabilioni kununua vifaa vya kuumiza wapinzani lakini haiwazi kununua vifaa vya kuokoa maisha ya binadamu.Ile nguvu iliyotumika kuzima maandamano ya upinzani ndio itumike hapo kuokoa hao ndugu zetu.
Kwamba Hilo ghorofa limejengwa ndani ya miaka mitatu ya utawara wa mama Abdul!?Kila siku maghorofa yanaota kama uyoga na hayazingatii ubora wa ujenzi.Huyu mama Abdul karuhusu uholela kufanyika nchini.Ajiuzulu Nchi imemshinda.
Sasa nasema kitu nimeshuhudia kwa macho yangu wewe unanibishia kama ulikuwepo.Gari la zimamoto linakaaje foleni zId ya nusu saa wakati fire na kariakoo ni karibu sana hapo kingora kimoja tu watu wanapisha njiaaa
acha utotoSafi Sana
kazi iendelee
Yamekuingia eeh?Wakati mwingine jitahidi kuficha ujinga wako Bibi bomba..
Kafara la Yanga SC ili kuirudisha Timu katika Mstari baada ya kukosea Masharti ya Mganga wao.Muda huu mtaa wa Congo Kariakoo l uokoaji unawndelea.
Tuwaombee wnzetu wapone
===
Ghorofa moja katika Mtaa wa Congo na Mchikichi limeporomoka , hadi sasa hali ya majeruhi au vifo haifahamika lakini kwa mujibu wa mashuhuda kulikuwa na watu katika ghorofa hilo
View attachment 3153537
View attachment 3153536
View attachment 3153546
Nafuu weekend watu wanachelewa kufungua ofisi hii ingetokea siku kama jumatatu au alhamis naona madhara yangekua makubwa zaidiAjali bana!!
Hii mitaa kuanzia mida ya saa tatu usiku inakuwa Haina watu wachache sana,ila ghorofa limesubiri mida ya asubuhi alafu weekend ndiyo limeporomoka.
Unakuta wengine tulipanda nao magari asubuhi kuelekea mjini alafu wamefikiwa na umauti kwa kuangukiwa na ghrofa.
Kifo ni fumbo!!
Kuwa na lepe la ubinaadamu. Ulichosema hapo ni aibuSafi Sana
kazi iendelee
Inasemekana mmilikia alitaka kuongeza frem underground, kulikua na store akawatimia akaita team ya mafundi watindue wajengr frem za kisasa huko chini.Ni la zamani lilikuwa linabomolewa lijengwe jipya...
Ila watu walikuwa hawajamaliza wote kuondoka..
Kama hao fire sijui kikosi cha zima moto ndiyo hovyo kupata kutokea,kuna nyumba iliungua moto hapa Kariakoo na Msimbazi kiasi cha 2½Km kutoka pale fire lakini iliteketea ikaisha.Gari la zimamoto linakaaje foleni zId ya nusu saa wakati fire na kariakoo ni karibu sana hapo kingora kimoja tu watu wanapisha njiaaa
Katika mitaa ya Kkoo ilio na watu wengi Kongo inaongoza Hatari sn hiiMuda huu mtaa wa Congo Kariakoo l uokoaji unawndelea.
Tuwaombee wnzetu wapone
===
Ghorofa moja katika Mtaa wa Congo na Mchikichi limeporomoka , hadi sasa hali ya majeruhi au vifo haifahamika lakini kwa mujibu wa mashuhuda kulikuwa na watu katika ghorofa hilo
View attachment 3153537
View attachment 3153536
View attachment 3153546