Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kila siku maghorofa yanaota kama uyoga na hayazingatii ubora wa ujenzi.Huyu mama Abdul karuhusu uholela kufanyika nchini.Ajiuzulu Nchi imemshinda.
Kwamba Hilo ghorofa limejengwa ndani ya miaka mitatu ya utawara wa mama Abdul!?
 
Pole sana wahanga wote na wadau katika biashara wa eneo hilo.

Ni muhimu pakawepo na utulivu , uvumilivu, ustahimilivu na subra wakati zoezi la ukoaji likiendelea kufanywa na vyombo husika, wadau na raia wema wanaojitolea.

Allah atafanyie wepesi na kutuonyesha njia 🐒
 
Ajali bana!!

Hii mitaa kuanzia mida ya saa tatu usiku inakuwa Haina watu wachache sana,ila ghorofa limesubiri mida ya asubuhi alafu weekend ndiyo limeporomoka.

Unakuta wengine tulipanda nao magari asubuhi kuelekea mjini alafu wamefikiwa na umauti kwa kuangukiwa na ghrofa.

Kifo ni fumbo!!
Nafuu weekend watu wanachelewa kufungua ofisi hii ingetokea siku kama jumatatu au alhamis naona madhara yangekua makubwa zaidi
 
Gari la zimamoto linakaaje foleni zId ya nusu saa wakati fire na kariakoo ni karibu sana hapo kingora kimoja tu watu wanapisha njiaaa
Kama hao fire sijui kikosi cha zima moto ndiyo hovyo kupata kutokea,kuna nyumba iliungua moto hapa Kariakoo na Msimbazi kiasi cha 2½Km kutoka pale fire lakini iliteketea ikaisha.
 
Back
Top Bottom