sudy azizi
Member
- Sep 18, 2024
- 33
- 48
Hii yaonesha hili ghorofa la zamani sana, maana lina hadi PAA na bati
Duh, kumbe wamekwenda kuchokonoa msingi unaobeba jengo walitumia akili za kiccm hao.Inasemekana mmilikia alitaka kuongeza frem underground, kulikua na store akawatimia akaita team ya mafundi watindue wajengr frem za kisasa huko chini.
Pole mkuu utampata tu inshaallahKuna jamaa yangu winga kwenye simu simpati, nimeanza kupata wasiwasi dah
Wewe ni mtu mzima, sometimes usiruhusu mihemuko ya dini ikutawale. Bora utawaliwe na Mungu wako lakini sio dini hautafika popote.Kutokulaaani wanayofanyiwa Wapalestina Ghaza, ndiyo tunaonjeshwa adha yake.
Muda huu mtaa wa Congo Kariakoo l uokoaji unawndelea.
Tuwaombee wnzetu wapone
===
Ghorofa moja katika Mtaa wa Congo na Mchikichi limeporomoka , hadi sasa hali ya majeruhi au vifo haifahamika lakini kwa mujibu wa mashuhuda kulikuwa na watu katika ghorofa hilo
View attachment 3153537
View attachment 3153536
View attachment 3153546
Anaweza akajitokeza tena yule Bibi na kusema kwamba "vifo ni vifo tu" huku akiacha kiini cha msingi kilichosababisha kutokea kwa ajali hii.Mpaka sasa miili 3 imetolewa,wapumzike kwa amani
Oya yani nilivyopa taarifa nimeshtuka sana, coz mzee wangu ana maduka huko na mdogo wangu na binamu zangu wako madukani wanasimamia...True hicho ndicho chanzo Mimi nimewaza Kama wewe...
Wasipo angalia Kuna ghorofa lingine linafuata..
Duuh eti walitumia akili za ki ccm😂Duh, kumbe wamekwenda kuchokonoa msingi unaobeba jengo walitumia akili za kiccm hao.
Safi nini sasa. PumbavuSafi Sana
kazi iendelee
Nilikua na manusura hapa alikua anaelezea hilo, ni tamaa za mmiliki tu, kutaka kodi kubwa zaidi.Duh, kumbe wamekwenda kuchokonoa msingi unaobeba jengo walitumia akili za kiccm hao.
Anasubiri taarifa toka kwa mamaLucas mwasha mbwa angekuwemo humo da ingependeza sana.