macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kwani ni mara ya kwanza? Likitokea tukio kama hili utasikia imeundwa kamati na matamko ya kila aina. Sku mbili tatu kila mtu kasahau. Dalili za uongo wa nyani hizi.Ni hatari sana.
Tatizo kubwa zaidi lililopo Tanzania ni kwamba Hakuna mamlaka madhubuti za kudhibiti viwango na ubora wa Majengo pamoja na ubora wa bidhaa zingine mbalimbali.
Watanzania tunaishi kwa nguvu ya Mungu tu peke yake.
...la mama'ko!!!!
Bwana Suleiman wa kizazi kipya, sijaelewa unaposema "Safi sana" you mean umefurahia ghorofa kudondoka au uokozi unao endelea? Sijaelewa
Siyo kila mtu ana busara kama hizi, hapo ndipo inapokuja serikali na kanuni pamoja na sheria. Ni kwa nini tunajengea nyumba zetu kuta na kuweka walinzi? Kwa nini hatusubiri watu wajiwajibishe wenyewe na kuona kuwa kuiba ni jambo baya?Mambo
Mambo mengine tuwe tunajiwajibisha ,wewe unajenga jengo bila kufuata standards ,unasubiri nani awajibike kama sio wewe kwanza kuwajibika ,kama si udumavu wa akili ni nini ?
Au hizo standards walioziweka ni wapumbavu , mtu hata mafundi anaitumia ni wahuni tu wa mitaani ,wewe unategemea nini hapo ?
Watanzania akili ndogo na hili ni tatizo lq kitaifaWatu wana okoa kwa kutumia jembe .kuna mmoja wame mkata na jembe apa badala ya kumuokoa wame malizia
Vichaa kati kati ya mwezi hua hammezi dawa?Ukichaa wangu unauzidi alionao Mama yako Mzazi?
Na kwa hao walioumia amekuwaje?Very painful mwenyezi Mungu amakua mwema kwenu.
Maanake hatujui hata nukta mbele yetu
Tumtangulize MUNGU kwa kila jambo
Time ni Mindset tuu ya eneo fulani.. We unapo ita mwaka wa Mwisho mwarabu ana kalenda yake mchina ana kalenda yake Korea kaskazini hivyo hivyo. Na kuna ambao hawana hizo kalenda pia.Huzijui codes za mwisho wa mwaka siyo?
Mkuu; Uko sahihi kwa upande wa mwenye nyumba(Tajiri) lakini ujue sio wote Mtajiri wamejaliwa Pesa na Uelewa katika mambo ya Kitaalam e.g. Umuhimu wa kuzingatia viwango katika Ujenzi. Ndo mana kabla ya kujenga nyumba huwa zipo taratibu za kuzingatiwa kutoka Mamlaka za Ukaguzi na Uidhinishaji Ujenzi wa majengo (Serikali)na uidhinishaji au kutoa kibali ujenzi ufanyike na pia mamlaka hizo hufanya ukaguzi kwa kila hatua ya ujenzi na kutoa certificate. Hizo Mamlaka ndizo zenye DHAMANA ya usalama wa jengo husika na Hutumia Kodi zetu kutekeleza wajibu wao huo. Hao ni Waajiriwa Serikalini ni Watumishi wa Umma. i.e. Ni vijana wetu na tunawalipa kwa kodi zetu.Mambo
Mambo mengine tuwe tunajiwajibisha ,wewe unajenga jengo bila kufuata standards ,unasubiri nani awajibike kama sio wewe kwanza kuwajibika ,kama si udumavu wa akili ni nini ?
Au hizo standards walioziweka ni wapumbavu , mtu hata mafundi anaitumia ni wahuni tu wa mitaani ,wewe unategemea nini hapo ?
Wewe ni nani wa kunipangia Mimi GENTAMYCINE cha Kuandika hapa JamiiForums?Cool down mkuu haina haja ya haya tuwaombee wenzetu watoke salama kwenye vifusi
TAHADHARI MUHIMU:Wananchi wasiokuwa na ujuzi na maswala ya uokozi wapungue katika eneo la tukio
Kichaa Mwenzangu Mama yako Mzazi yeye safari hii hajanywa Dawa zake katikati ya Mwezi?Vichaa kati kati ya mwezi hua hammezi dawa?
Ingekuwa bomba sanaLucas mwasha mbwa angekuwemo humo da ingependeza sana.
What if kama hili liliporomoka likijengwa wakati wa magufuri,tumlaumu Kikwete ama Samia?😃Miaka 5 ya Magufuli hamna ghorofa hata moja iliyoporomoka