Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Serikali dhalimu ya CCM inatumia mamia ya mabilioni kununua vifaa vya kuumiza wapinzani lakini haiwazi kununua vifaa vya kuokoa maisha ya binadamu.
Haya ndiyo maisha tuliyokubali mkuu. Tulaumiwe zaidi sisi wananchi kwa kukubali huu ujinga. Hapo bado hujaweka mafedha yanayotumika kwenye misafara ya viongozi na kila aina ya starehe.
 
Taarifa zinadai kuwa kuna watu wengine ndani ya jengo hilo lililokuwa linakarabatiwa, huku wananchi wa Kariakoo wakiendelea na juhudi za kuwaokoa waathirika baada ya ghorofa kuporomoka katika mtaa wa Congo na Mchikichi.

View attachment 3153606
Chalamila na yeye anafanya nini pale na tumbo lake kubwa, aache waokoaji wafanye kazi zao.
 
Sa100 nchi imeshamshinda hii, sijui watanzania wanataka waone nini ndio waamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…