Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndiyo maisha tuliyokubali mkuu. Tulaumiwe zaidi sisi wananchi kwa kukubali huu ujinga. Hapo bado hujaweka mafedha yanayotumika kwenye misafara ya viongozi na kila aina ya starehe.Serikali dhalimu ya CCM inatumia mamia ya mabilioni kununua vifaa vya kuumiza wapinzani lakini haiwazi kununua vifaa vya kuokoa maisha ya binadamu.
wacha weee jitu jeusi. Na wewe utakuta na kuwa liarabu na lisijdah lako kuubwaa kama chapati pajini.Kila binaadam anakufa kwa aina yake, pengine wewe utaingia ktk shimo la choo kwanza unywe mavi uokolewe halafu baadae ufariki
Chalamila na yeye anafanya nini pale na tumbo lake kubwa, aache waokoaji wafanye kazi zao.Taarifa zinadai kuwa kuna watu wengine ndani ya jengo hilo lililokuwa linakarabatiwa, huku wananchi wa Kariakoo wakiendelea na juhudi za kuwaokoa waathirika baada ya ghorofa kuporomoka katika mtaa wa Congo na Mchikichi.
View attachment 3153606
Kwa nini usiwe wewe?Natamani BICHWA KOMWE - angekuwemo ndani ya hilo ghorofa ili aipate fresh.
Cc: Mbaga Jr Poor Brain Lucas Mwashambwa ChoiceVariable
Mamlaka zipo,sema rushwa ndiyo tatizo kubwa!!Ni hatari sana.
Tatizo kubwa zaidi lililopo Tanzania ni kwamba Hakuna mamlaka madhubuti za kudhibiti viwango na ubora wa Majengo pamoja na ubora wa bidhaa zingine mbalimbali.
Watanzania tunaishi kwa nguvu ya Mungu tu peke yake.
Hovyoooooo🚮Yamekuingia eeh?
Sa100 nchi imeshamshinda hii, sijui watanzania wanataka waone nini ndio waaminiJeshi la uokoaji mmetukera Leo
Yàani hata trekta hamna
Watu wanavunja Kwa Nyundo na wasomba matofali wenyewe
imetokea saa 2 ila hadi Sasa hivi vyombo vya uokoaji vimelala
Na hapo ni DAR, Je ajalie ikitokea kwetu Ngara inakuwaje
Watanganyika wenzetu wanakufa wanajiona
Jeshi la uokoaji jitafakari sana
Sasa kuanguka kwa ghorofa na Samia kushindwa nchi vinahusianaje?Sa100 nchi imeshamshinda hii, sijui watanzania wanataka waone nini ndio waamini
Mimi ni mwema.Kwa nini usiwe wewe?