Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uokoaji unaendelea...Muda huu mtaa wa Congo Kariakoo l uokoaji unawndelea.
Tuwaombee wnzetu wapone
===
Ghorofa moja katika Mtaa wa Congo na Mchikichi limeporomoka , hadi sasa hali ya majeruhi au vifo haifahamika lakini kwa mujibu wa mashuhuda kulikuwa na watu katika ghorofa hilo
View attachment 3153537
View attachment 3153536
View attachment 3153546
Hapa Tanzania tuna raha gani?Kutokulaaani wanayofanyiwa Wapalestina Ghaza, ndiyo tunaonjeshwa adha yake.
...la mama'ko!!!!Safi Sana
kazi iendelee
Kwa nini Kila zuri wanasema mama kafanya?kwenye mabaya mnamtoa!Aisee na wewe umekuwa Ms*** sasa kila kitu Mama Abdul Mama Abdul
Taarifa yako imenishtua nusu kufa, kwanza ndugu zangu wana maduka jirani. Kuna baadhi tunapiga simu wako underground na wanapokea simu wakati uokoji unaendeleaUokoaji unaendelea...
We ajuza unazeeka vibaya!Sasa hapa na Gaza kunahusiana vipi?Kutokulaaani wanayofanyiwa Wapalestina Ghaza, ndiyo tunaonjeshwa adha yake.
God Bless IsraelKutokulaaani wanayofanyiwa Wapalestina Ghaza, ndiyo tunaonjeshwa adha yake.
Toa ujinga wako! Palestina na ghorofa la Kariakoo vina mahusiano ganiKutokulaaani wanayofanyiwa Wapalestina Ghaza, ndiyo tunaonjeshwa adha yake.
Jamaa kanunua ghorofa mbili, kmiwemo hii iliyoanguka.Ghorofa inaporomokaje hivyo?!
Haters wa SSH mtakufa na mimba zenu mamamaee!!Kila siku maghorofa yanaota kama uyoga na hayazingatii ubora wa ujenzi.Huyu mama Abdul karuhusu uholela kufanyika nchini.Ajiuzulu Nchi imemshinda.
Leo nilikua nimepanda bajaji makutano ya azizi Ali pale junction taa zimeruhusu sisi tupo main road yaan almanusra daladala sababu ya arrogance ya dereva wa daladala tunge gongwa vibaya..Ajali bana!!
Hii mitaa kuanzia mida ya saa tatu usiku inakuwa Haina watu wachache sana,ila ghorofa limesubiri mida ya asubuhi alafu weekend ndiyo limeporomoka.
Unakuta wengine tulipanda nao magari asubuhi kuelekea mjini alafu wamefikiwa na umauti kwa kuangukiwa na ghrofa.
Kifo ni fumbo!!
Toa ujinga wako hapa lini umelaani yanayofanyika hapo Congo,Nigeria Sudan Somalia hapo South Africa wanachomana moto Waafrika kwa Waafrika husemi kitu unakuja na uharo wako wa Gaza.Kutokulaaani wanayofanyiwa Wapalestina Ghaza, ndiyo tunaonjeshwa adha yake.
Baadhi ya watu wa hiyo dini kuna mshipa wanachezeshwa kichwani, mmoja wao ni huyuHapa Tanzania tuna raha gani?
Leo nimeamini kweli uwezo wako mdogo sana, watu wamekufa huko kariakoo, ila bado sio kitu unahusisha tukio la simanzi kiasi hiki na vita ya palestina. Hapo katika waliokufa kuna waislam, huwazii kabisa
Hata lisaa limepita waokoaji wa wamachinga wenyewe sio kikosi cha waokoaji.
Bure kabisa
Una shida gani we mtu?