Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kutokulaaani wanayofanyiwa Wapalestina Ghaza, ndiyo tunaonjeshwa adha yake.
Hapa Tanzania tuna raha gani?

Leo nimeamini kweli uwezo wako mdogo sana, watu wamekufa huko kariakoo, ila bado sio kitu unahusisha tukio la simanzi kiasi hiki na vita ya palestina. Hapo katika waliokufa kuna waislam, huwazii kabisa

Hata lisaa limepita waokoaji wa wamachinga wenyewe sio kikosi cha waokoaji.

Bure kabisa

Una shida gani we mtu?
 
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨
TAARIFA : Yeyote mwenye ndugu kariakoo au aliyekuja kufanya manunuzi awasiliane nae kujua usalama wake, Kuna gorofa imeporomoka mtaa wa mchikichi na Congo na wote waliokuwepo hawajafanikiwa kutoka kuanzia underground
 
Ajali bana!!

Hii mitaa kuanzia mida ya saa tatu usiku inakuwa Haina watu wachache sana,ila ghorofa limesubiri mida ya asubuhi alafu weekend ndiyo limeporomoka.

Unakuta wengine tulipanda nao magari asubuhi kuelekea mjini alafu wamefikiwa na umauti kwa kuangukiwa na ghrofa.

Kifo ni fumbo!!
Leo nilikua nimepanda bajaji makutano ya azizi Ali pale junction taa zimeruhusu sisi tupo main road yaan almanusra daladala sababu ya arrogance ya dereva wa daladala tunge gongwa vibaya..

Sisi tunaoshinda maghorofani humu kariakoo/ ilala ghorofa nyingi Zina crack Sanaa.

Ni big loss kwa jamuhuri yetu ya Tanzania 🇹🇿 kupoteza nguvu kazi ya taifa.
 
Kutokulaaani wanayofanyiwa Wapalestina Ghaza, ndiyo tunaonjeshwa adha yake.
Toa ujinga wako hapa lini umelaani yanayofanyika hapo Congo,Nigeria Sudan Somalia hapo South Africa wanachomana moto Waafrika kwa Waafrika husemi kitu unakuja na uharo wako wa Gaza.

Yaani kwenye ardhi yako yanayofanyika masikio umeyatia pamba umekalia mambo ya sijui palestina,huko Gaza currently wanajua kama hapa Mchikichi na Congo kuna Watanzania wamedondokewa na ghorofa?stupidity!
 
Hapa Tanzania tuna raha gani?

Leo nimeamini kweli uwezo wako mdogo sana, watu wamekufa huko kariakoo, ila bado sio kitu unahusisha tukio la simanzi kiasi hiki na vita ya palestina. Hapo katika waliokufa kuna waislam, huwazii kabisa

Hata lisaa limepita waokoaji wa wamachinga wenyewe sio kikosi cha waokoaji.

Bure kabisa

Una shida gani we mtu?
Baadhi ya watu wa hiyo dini kuna mshipa wanachezeshwa kichwani, mmoja wao ni huyu
 
Back
Top Bottom