Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Nimepita eneo la tukio,nchi yetu tumekosa kabisa utu, viongozi no hata hata hao fire sijui wanachokifanya, badala ya kufunga huu mtaa kabisa, lakini wenye maduka pembeni kidogo tu shughuli zinaendelea,yaani wengine wanaokoa wengine wanapita tu,why upuuzi kama huu? Kuna dogo tumemtoa kwenye kifusi hakuna ambulance,tunampandisha kwenye Carry? Daah na hapa ndiyo dar sasa sijui kwetu Matombo huko
 
I
Duh hatari Kalaga Baho Nongwa upo salama mkuu? Mpaji Mungu ?

Muda huu mtaa wa Congo Kariakoo l uokoaji unawndelea.

Tuwaombee wnzetu wapone
===

Ghorofa moja katika Mtaa wa Congo na Mchikichi limeporomoka , hadi sasa hali ya majeruhi au vifo haifahamika lakini kwa mujibu wa mashuhuda kulikuwa na watu katika ghorofa hilo

View attachment 3153537

View attachment 3153536
View attachment 3153546
Wapigieni simu Wapalestina waje kutusaidia uokoaji, wao wanazo ambyulesi nyingi sana vitanda vya mwakisu na chepe za kutosha.
 
"nchi imefunguka, Watu wapo huru kama enzi zileee, mama apewe mitano tena.."

Sio kwamba naleta utani na siasa kwenye janga kubwa kama hili, la hasha...najaribu kuonyesha uchungu baada ya kujilidhisha pasipo Shaka kwamba system ni mbovu kuanzia huko juu! Jamani hadi huku vijijini ni business as usually! Kuanzia ofisi ya mtendaji, zahanati, mahakamani, polisi, shule ya msingi, kila MTU anafanya anavyojisikia!

Na bado, hayo ni matone Tu subiri mvua yenyewe!
Kama kuna mtu aliyekaribu na Rais amwambie ukweli nchi inakkoelekea siyo!
 
Nimepita eneo la tukio,nchi yetu tumekosa kabisa utu, viongozi no hata hata hao fire sijui wanachokifanya, badala ya kufunga huu mtaa kabisa, lakini wenye maduka pembeni kidogo tu shughuli zinaendelea,yaani wengine wanaokoa wengine wanapita tu,why upuuzi kama huu? Kuna dogo tumemtoa kwenye kifusi hakuna ambulance,tunampandisha kwenye Carry? Daah na hapa ndiyo dar sasa sijui kwetu Matombo huko

Mitano tena....hatuna utayari wa kushughulika maafa. Nimeona watu wanatoa kifusi kwa mikono. That could take ages. Hata simple machines can work.
Hatuna backhoe loaders ambazo zitakuwa fasta kuliko mikono? Excavators could do the damage instead of helping
 
Na Yanga tunajisifu tumekula hela za mama 50+ milioni ambazo zingeweza kununua simple machine hata mia za uokoaji, Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom