dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Uzi huu ungewekewa pin📍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mtoto mdogo huwezi kuelewa ila itakuchukua muda tu utaelewaSasa kuanguka kwa ghorofa na Samia kushindwa nchi vinahusianaje?
Unachuki tu na uislam. Wewe unavakaa jumlisha shingoni hata za hesabu za jumlisha na kutoa hujuiwacha weee jitu jeusi. Na wewe utakuta na kuwa liarabu na lisijdah lako kuubwaa kama chapati pajini.
Any updates so far!!!!Muda huu mtaa wa Congo Kariakoo l uokoaji unawndelea.
Tuwaombee wnzetu wapone
===
Ghorofa moja katika Mtaa wa Congo na Mchikichi limeporomoka , hadi sasa hali ya majeruhi au vifo haifahamika lakini kwa mujibu wa mashuhuda kulikuwa na watu katika ghorofa hilo
View attachment 3153537
View attachment 3153536
View attachment 3153546
Duh hatari Kalaga Baho Nongwa upo salama mkuu? Mpaji Mungu ?
Wapigieni simu Wapalestina waje kutusaidia uokoaji, wao wanazo ambyulesi nyingi sana vitanda vya mwakisu na chepe za kutosha.Muda huu mtaa wa Congo Kariakoo l uokoaji unawndelea.
Tuwaombee wnzetu wapone
===
Ghorofa moja katika Mtaa wa Congo na Mchikichi limeporomoka , hadi sasa hali ya majeruhi au vifo haifahamika lakini kwa mujibu wa mashuhuda kulikuwa na watu katika ghorofa hilo
View attachment 3153537
View attachment 3153536
View attachment 3153546
Pengine engineer wenyewe from St University.I
Wapigieni simu Wspalestina waje kutusaidia uokoaji, wao wanazo ambyulesi nyingi sana na chepe za kutosha.
Umepimwa na nani? Hao uliowataja walikufanyia ubaya gani?Mimi ni mwema.
Nimepita eneo la tukio,nchi yetu tumekosa kabisa utu, viongozi no hata hata hao fire sijui wanachokifanya, badala ya kufunga huu mtaa kabisa, lakini wenye maduka pembeni kidogo tu shughuli zinaendelea,yaani wengine wanaokoa wengine wanapita tu,why upuuzi kama huu? Kuna dogo tumemtoa kwenye kifusi hakuna ambulance,tunampandisha kwenye Carry? Daah na hapa ndiyo dar sasa sijui kwetu Matombo huko
kumbe hadi wazee mnachukiana😁😁😁😁😁Ho
Hovyoooooo🚮
Akili yako unaijua mwenyewe.Hii yaonesha hili ghorofa la zamani sana, maana lina hadi PAA na bati
Na Yanga tunajisifu tumekula hela za mama 50+ milioni ambazo zingeweza kununua simple machine hata mia za uokoaji, Inasikitisha sanaMitano tena....hatuna utayari wa kushughulika maafa. Nimeona watu wanatoa kifusi kwa mikono. That could take ages. Hata simple machines can work.
Hatuna backhoe loaders ambazo zitakuwa fasta kuliko mikono? Excavators could do the damage instead of helping
Hawa huwa wapo tayari kufanya usafi sambamba na siku ya maandamano ya chademaWanajeshi walitakiwa wasaidie.
Hao wazee una vyeti vyao vya kuzaliwa?kumbe hadi wazee mnachukiana😁😁😁😁😁