CONTRARIAN
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 982
- 3,137
Daaa, jamaa👆 umetutoka mapema sana,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
???View attachment 3153973
Daaa, jamaa👆 umetutoka mapema sana,
Ni nani huyo jamaniðŸ˜View attachment 3153973
Daaa, jamaa👆 umetutoka mapema sana,
Una ushahidi gani kama ni man made dissaster?una taarifa zozote za kimamlaka.?Suala hili Hatuwezi kuliacha mikononi mwa Serikali kwa sababu Serikali hiyo hiyo ilikuwa na wajibu wa msingi kabisa wa kutoa Kinga ili ajali kama hizi zisitokee, lakini Serikali inaonekana kushindwa kutekeleza wajibu wake huo na hatimaye ajali hii imetokea wakati kulikuwa na uwezekano wa kuikinga isitokee. Serikali inapaswa kulaumiwa kwenye suala hili, kwani ajali hii haikusababishwa na kudra za Mungu Bali ni kutokana na tatizo la uzembe, rushwa na kukosa kuwajibika ipasavyo kwa Watu fulani fulani.
Ajali hii ilikuwa inazuilika na ulikuwa inaweza kuepukika.
This accident is not a natural disaster but it is a man-made disaster due to the negligence and incompetence.
Acha upuuzi jengo ajenge engineer kujiuzulu Mama..ukome kabisa huna adabu wewe mtotoKila siku maghorofa yanaota kama uyoga na hayazingatii ubora wa ujenzi.Huyu mama Abdul karuhusu uholela kufanyika nchini.Ajiuzulu Nchi imemshinda.
Mkuu acha kuumiza akili sasa hivi watu wanawaza chaguzi usidhani kutakua na jambo lolote watakalowazia akili hazipo kwenye maendeleo bali vitu vitakavuowarejesha madarakaniSuala hili Hatuwezi kuliacha mikononi mwa Serikali kwa sababu Serikali hiyo hiyo ilikuwa na wajibu wa msingi kabisa wa kutoa Kinga ili ajali kama hizi zisitokee, lakini Serikali inaonekana kushindwa kutekeleza wajibu wake huo na hatimaye ajali hii imetokea wakati kulikuwa na uwezekano wa kuikinga isitokee. Serikali inapaswa kulaumiwa kwenye suala hili, kwani ajali hii haikusababishwa na kudra za Mungu Bali ni kutokana na tatizo la uzembe, rushwa na kukosa kuwajibika ipasavyo kwa Watu fulani fulani.
Ajali hii ilikuwa inazuilika na ulikuwa inaweza kuepukika.
This accident is not a natural disaster but it is a man-made disaster due to the negligence and incompetence.
Taarifa ni kwamba mwenye jengo aliona kuta zinazuia kuongeza wateja wale wanaotandaza chini hivyo aliagiza wabomoe kuta ili iwe km godauni chini wkt hizo kuta ndio zimeshikilia jengo ndio sababu njengo kushuka. chanzo mwananchiAcha upuuzi jengo ajenge engineer kujiuzulu Mama..ukome kabisa huna adabu wewe mtoto
Mama kaingiaje hapo sasa
Do you know the meaning of the term "Collective Responsibility"?Acha upuuzi jengo ajenge engineer kujiuzulu Mama..ukome kabisa huna adabu wewe mtoto
Mama kaingiaje hapo sasa
unaniita Mimi mtoto?ujue nakuzaa kabisa.Kuanguka Kwa majengo inamaanisha taasisi za mama yenu zimemshinda kuzisimamia,ili kuepusha madhara makubwa inatakiwa awapishe wengine wenye kuweza kusimamia Sheria na taratibu za ujenzi ili kuepusha majengo kuangukaAcha upuuzi jengo ajenge engineer kujiuzulu Mama..ukome kabisa huna adabu wewe mtoto
Mama kaingiaje hapo sasa
Pole yako Sana.Una ushahidi gani kama ni man made dissaster?una taarifa zozote za kimamlaka.?
unafahamu nini kuhusu chemistry ya jengo,udongo au topography ya eneo hilo?
Una taarifa yoyote ya sesmic activities kwenye eneo hilo??
Unakuwaje na conclusion bila uchunguzi??
we jamaa umesimea historia na kiswahili nini??tuache blah blah
UnamuungishagaDaaah so sad..
Kila weekend ni lazima nifike kwa Tony pale sijui hii ya leo imekuaje nikachill hom...
Aaah!!!Acha upuuzi jengo ajenge engineer kujiuzulu Mama..ukome kabisa huna adabu wewe mtoto
Mama kaingiaje hapo sasa
Tafuta hoja nyongine..hiyo nilishaambiwa sana.Pole yako Sana.
Ama kweli wewe ni jingalao kama lilivyo jina lako kwenye avatar yako.
Nje ya mada,samahani huyu Tony anauza nini?ana vitu quality?Daaah so sad..
Kila weekend ni lazima nifike kwa Tony pale sijui hii ya leo imekuaje nikachill hom...
Mkuu majina yanaakisi mtu alivyo that's why tunashauriwa tuwachagulie watoto majina yenye manktiki kidogo.Pole yako Sana.
Ama kweli wewe ni jingalao kama lilivyo jina lako kwenye avatar yako.
Sasa hivi anajuta maana khasara kubwa na kesi juuInasemekana mmilikia alitaka kuongeza frem underground, kulikua na store akawatimia akaita team ya mafundi watindue wajengr frem za kisasa huko chini.
Kitaa mimi nmeona RIP za mawinga kama wa5 hiviKwan vifo ni vingap? Huko maana dah kitaa wanadai 40 ya kwel hayo wakaz wa huko?