Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Screenshot_20241116_214643_Google.jpg

Daaa, jamaa👆 umetutoka mapema sana,
 
Suala hili Hatuwezi kuliacha mikononi mwa Serikali kwa sababu Serikali hiyo hiyo ilikuwa na wajibu wa msingi kabisa wa kutoa Kinga ili ajali kama hizi zisitokee, lakini Serikali inaonekana kushindwa kutekeleza wajibu wake huo na hatimaye ajali hii imetokea wakati kulikuwa na uwezekano wa kuikinga isitokee. Serikali inapaswa kulaumiwa kwenye suala hili, kwani ajali hii haikusababishwa na kudra za Mungu Bali ni kutokana na tatizo la uzembe, rushwa na kukosa kuwajibika ipasavyo kwa Watu fulani fulani.
Ajali hii ilikuwa inazuilika na ulikuwa inaweza kuepukika.

This accident is not a natural disaster but it is a man-made disaster due to the negligence and incompetence.
Una ushahidi gani kama ni man made dissaster?una taarifa zozote za kimamlaka.?
unafahamu nini kuhusu chemistry ya jengo,udongo au topography ya eneo hilo?
Una taarifa yoyote ya sesmic activities kwenye eneo hilo??
Unakuwaje na conclusion bila uchunguzi??
we jamaa umesomea historia na kiswahili nini??tuache blah blah
 
Mkuu acha kuumiza akili sasa hivi watu wanawaza chaguzi usidhani kutakua na jambo lolote watakalowazia akili hazipo kwenye maendeleo bali vitu vitakavuowarejesha madarakani
 
Acha upuuzi jengo ajenge engineer kujiuzulu Mama..ukome kabisa huna adabu wewe mtoto

Mama kaingiaje hapo sasa
Taarifa ni kwamba mwenye jengo aliona kuta zinazuia kuongeza wateja wale wanaotandaza chini hivyo aliagiza wabomoe kuta ili iwe km godauni chini wkt hizo kuta ndio zimeshikilia jengo ndio sababu njengo kushuka. chanzo mwananchi
 
Acha upuuzi jengo ajenge engineer kujiuzulu Mama..ukome kabisa huna adabu wewe mtoto

Mama kaingiaje hapo sasa
unaniita Mimi mtoto?ujue nakuzaa kabisa.Kuanguka Kwa majengo inamaanisha taasisi za mama yenu zimemshinda kuzisimamia,ili kuepusha madhara makubwa inatakiwa awapishe wengine wenye kuweza kusimamia Sheria na taratibu za ujenzi ili kuepusha majengo kuanguka
 
Una ushahidi gani kama ni man made dissaster?una taarifa zozote za kimamlaka.?
unafahamu nini kuhusu chemistry ya jengo,udongo au topography ya eneo hilo?
Una taarifa yoyote ya sesmic activities kwenye eneo hilo??
Unakuwaje na conclusion bila uchunguzi??
we jamaa umesimea historia na kiswahili nini??tuache blah blah
Pole yako Sana.

Ama kweli wewe ni jingalao kama lilivyo jina lako kwenye avatar yako.
 
Back
Top Bottom