Ukitoa GDP na Currency value, Kenya haina cha maana cha ku-offer.Nikionaga ule uzi eti Nairobi CBD vs Dsm CBD huwa nacheka saana, Wabongo sanukeni kenya is far miles compared to tz. nishaai tembea sana tu, miundombinu ya kenya huwezi fananisha na tz. hizi barabara kiwango cha lami ni mpaka ushagoo akati tz region to region mtu unapiga vumbi. (tembea) liwale, nachingwea, tandahimba. vumbi tupu.
Ukiuliza zinakuja hoja tz ni kubwa compared to kenya so kilometers ni nyingi compared to kenya.
Guys kubwa mana yake ni hata number ya walipa kodi ni kubwa hapo ndio unakuja na hesabu za ratio.
sijui naeleweka??
😂😂😂Kufirwa ni starehe.Wewe ni kitoto Cha juzi hujui kitu Bado unanuka Maziwa so kajielishe ndio uje kujadili na Mimi.
Mshauri wa uchumi hajui shida/hasara ya nchi kukosa bandari ( landlocked) and how it could suffer economically!Soma uchumi ujue nguvu ya maji kwenye uchumi
Hakuna hasara yeyoteMshauri wa uchumi hajui shida/hasara ya nchi kukosa bandari ( landlocked) and how it could suffer economically!
Una uhakika au unaropoka tuu? Unajua hata maana ya vision? Nitajie vision ya Mwendazake tuone.Shida ni hakuna la maana analofanya, JPM alikuwa strategic anawabinya pumbu wapumbavu na kujenga nchi. Sasa mtu ambaye vision hana akiwa na ukatili tena si ni disaster.
Awamu ya 6 ni ya wezi na mafisadi lazma washangilie. Awamu ya 5 ilikuwa ya kuwabana kende wazembe kazini na mafisadi. Hamna fisadi yeyote mwenye memory nzuri na awamu ya 5.Una uhakika au unaropoka tuu? Unajua hata maana ya vision? Nitajie vision ya Mwendazake tuone.
Mwisho kubana hao unaowaita wajinga then hakuna Cha maana kinachoboresha maisha inakusaidia nini wewe na wanyonge? Mfano Kuna mnyonge yeyote ukiwepo wewe unaweza niambia ulifaidikaje na Utawala wa Awamu ya 5?
Wa awamu ya 6 wanaweza kukwnbia walivyofaidika mfano mdogo ni huu hapa 👇 👇
View: https://youtu.be/cge7-Yz14qY?feature=shared
Wewe jinga kweli,ni nani Aliwahi simamia Rasilimali za Nchi Kwa muktasha wa kipimo chako na CAG?Ndio, kwasababu unasifia kwa maslahi yako sio ya nchi hivyo unakuwa huna akili.
Samia na serikali yake wameshindwa kusimamia yasilimali za nchi kama ripofi ya CAG inavyoonesha.
Licha ya hayo Samia ameuza bandari za Tanganyika na wewe kila siku unamuanga mkono kwa vile mwanamke mwenzio!
Kama ni ya wezi mafisadi and such nonsense then inawapa Ajira maelfu Kwa maelfu ,hiyo ya kwenu iliyoshindwa hata kutoa Ajira Ina faida gani?Awamu ya 6 ni ya wezi na mafisadi lazma washangilie. Awamu ya 5 ilikuwa ya kuwabana kende wazembe kazini na mafisadi. Hamna fisadi yeyote mwenye memory nzuri na awamu ya 5.
Huduma zilikuwa bora kwenye hospitali za serikali. Leo hii dawa zinauzwa kinyemela. Vipimo wanabunia tu ilimradi bora liende tu.Kama ni ya wezi mafisadi and such nonsense then inawapa Ajira maelfu Kwa maelfu ,hiyo ya kwenu iliyoshindwa hata kutoa Ajira Ina faida gani?
Nimeuliza hapa na narudia unaweza nitajie namna ulivyofaidika na awamu ya 5?
😆😆😆😆😆 Huduma zilikuwa Bora wakati hata chanjo za Watoto hasikuwepo? 😆😆Huduma zilikuwa bora kwenye hospitali za serikali. Leo hii dawa zinauzwa kinyemela. Vipimo wanabunia tu ilimradi bora liende tu.
Labda mhaini Lisu ndiyo amesababisha Tanzania ishushwe uchumi wa katiKama ni ya wezi mafisadi and such nonsense then inawapa Ajira maelfu Kwa maelfu ,hiyo ya kwenu iliyoshindwa hata kutoa Ajira Ina faida gani?
Nimeuliza hapa na narudia unaweza nitajie namna ulivyofaidika na awamu ya 5?
Tanzania kushuka kwenye ranking haijashuka kwenye Uchumi elewa Hilo.Labda mhaini Lisu ndiyo amesababisha Tanzania ishushwe uchumi wa kati
Wewe jinga kweli,ni nani Aliwahi simamia Rasilimali za Nchi Kwa muktasha wa kipimo chako na CAG?
Au wewe umewahi sikia lini ripoti ya CAG ikiwa tofauti na anayoongea Kila mwaka?
Mwisho maslahi ya Nchi ni pale Mimi au wewe napostawi, anything kinyume na hapo useless.
Mfano Mimi kama Mkulima na mwingine yeyote naachaje kusifia Samia ambae amepeleka vifaa vya kupima Ardhi Kila Wilaya Bure? Yaani silipi chochote Wala simlipi afusa ugani,silimi Kwa kubahatisha Kwa enisimsifie Kwa mfano?
Huwezi kutoa a compliments Baki hivyo hivyo
Unatakiwa ufukuzwe kazi kwani unakula mshahara wa uchawa tu!! Yaani Hujui hata umuhimu wa CAG kuchunga rasilimali za nchi!! Kwa akili yako the office of the CAG should be redundant simply because Samia ignores it?Wewe jinga kweli,ni nani Aliwahi simamia Rasilimali za Nchi Kwa muktasha wa kipimo chako na CAG?
Au wewe umewahi sikia lini ripoti ya CAG ikiwa tofauti na anayoongea Kila mwaka?
Mwisho maslahi ya Nchi ni pale Mimi au wewe napostawi, anything kinyume na hapo useless.
Mfano Mimi kama Mkulima na mwingine yeyote naachaje kusifia Samia ambae amepeleka vifaa vya kupima Ardhi Kila Wilaya Bure? Yaani silipi chochote Wala simlipi afusa ugani,silimi Kwa kubahatisha Kwa enisimsifie Kwa mfano?
Huwezi kutoa a compliments Baki hivyo hivyo
Acha kuropoka na kudandia mada elewa nilichoandika na niliyekuwa namjibu kulingana na mtiririko wa mjadala nae.Unatakiwa ufukuzwe kazi kwani unakula mshahara wa uchawa tu!! Yaani Hujui hata umuhimu wa CAG kuchonga rasilimali za nchi!! Kwa akili yako the office of the CAG should be redundant simply because Samia ignores it?
RabaikaYote hii ni kwasababu ya mzanzibar Samia
Hujawahi kuwa chawa wa Samia? Say it again!Acha kuropoka na kudandia mada elewa nilichoandika na niliyekuwa namjibu kulingana na mtiririko wa mjadala nae.
Mwisho sijawahi kuwa chawa wa yeyete Wala silipwi na yeyete Wala sifahamili.na hao unaodhani nawashabikia.
Kama wewe unavyo enjoy kupinga Kila kitu ndivyo na Mimi na enjoy nikiona Samia anafanikiwa.
🚮🚮Hujawahi kuwa chawa wa Samia? Say it again!
Wenyewe kwa wenyewe ? How?Ni aibu kwa serikali ya ccm, tutapitwa na DRC ambao wako kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ni suala muda tu.