Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja

Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.

Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.

Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.

Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.​
siku akiamua kuchepuka usirudi kulialia humu
 
Screenshot_20230420-203613_Quora.jpg
yawezekana huna maajabu humo ndani.

Miaka 6 kabisa? Jiandae kukutwa na bwana pepsi.
Kwenye ndoa kama hakuna kutiana hyo ndoa ni uzushi.
Bora umteme jamaa kiutu uzima ukatafute mboroh huko nje sio kua staki nataka.
Kunguni maji wahed!🤬
 
Mkuu kwa umri wako kibaiolojia ni sahihi, muhimu kula vyakula vyenye protini na fats zanye afya,

Kama sikosei unakaribia ukomo,

Pia jitahidi kujitenga kwa mda mfano msilale kitanda kimoja
 
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja

Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.

Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.

Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.

Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.​
Inawezekana mvuto wako kwake umepungua, hivyo huna maajabu tena kwake ndiyo maana hata haumsisimui tena.
 
Kemea pepo.
 
Back
Top Bottom