Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu taratibu basi,punguza ukali wa maneno😊Umalaya ni asili ya mtu, tena inakuwa ni mbegu iliyo ndani ya mhusika tangu akiwa tumboni mwa mama yake.
Kiasili wewe ni Malaya mmoja uliyechoka kuendelea kuigiza
Nadhani mada inagusa hisia za wengi kiasi cha kushindwa kujizuiaimagine wabongo hatuelewi kiswahili chetu wenyewe.
Stress zitaua watu kwa staili hii
Point mitandao huwabadili sana wanawakeWala si wewe peke yako ni wanawake wengi wapo hivyo tena wafanyakazi maofisin wanaongoza, wakisha kuwa na watoto wawili au watatu mapenzi kwa mume huwa yanapotea na hiyo Khali inatokana ujinga flani tu mnaoshauriana na mnayosoma na kuona kwenye mitandao!
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.
Twende kwenye Hoja
Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.
Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.
Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.
Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.
Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.
Nenda kwenye maombi. Ushapigwa scud tayari, hapo kuchepuka ndio kituo kinachofuata.Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.
Twende kwenye Hoja
Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.
Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.
Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.
Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.
Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.
KumbeWala si wewe peke yako ni wanawake wengi wapo hivyo tena wafanyakazi maofisin wanaongoza, wakisha kuwa na watoto wawili au watatu mapenzi kwa mume huwa yanapotea na hiyo Khali inatokana ujinga flani tu mnaoshauriana na mnayosoma na kuona kwenye mitandao!
Hebu nipe namba yako nikwambie kitu....Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.
Twende kwenye Hoja
Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.
Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.
Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.
Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.
Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.
Wote hamna soft skills, hayo sio maisha,Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.
Twende kwenye Hoja
Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.
Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.
Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.
Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.
Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.
Nilivyogundua mimi umesema kuwa wewe unacheo kikubwa.Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.
Twende kwenye Hoja
Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.
Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.
Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.
Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.
Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.
Kweli hiyu kashachepuka huyo.Wewe umeshachepuka tayari ndo huwa hamu inakata kwa wanawake wakishaonja nje.
Ya cha msingi ni kuongea yeye na mume wake nini wafanye.Mkishafikia hivyo muwe na pen relationship na umuambie mmeo ukweli kama muelewa atakuelewa