Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

Ww hauna nyege Kwa mume tu ila sasa kinachofaya n kutoka nje ya ndoa mwanamke unakosaje ham n mumeo Kwa miez 6 una mattzo Kuna kipindi kinapitia hv but n muda mchache sana.....

Ukiendelea hv na mume wako ustahamilivu utamshinda mwisho wa ck hamtaka muulizane n yeye atachoka pia
 
Sema most likely mumeo anachepuka ila hujajua namna ya kumstukia!

Hata hivyo usimtafute kujua.

Na ukute huo mchepuko ndio umekuroga usi m-feel mumeo [emoji108]

Sasa hapo ikitokea ukajua anachepuka ndipo utapata uhalali wa kuchepuka [emoji3]
 
Badilisha mavazi unayovaa,vaa kiheshima usivae suruali Wala nguo za kukuonesha maungo Wacha kutumia wanja na vipodozi vingine pamoja na wigi hizo ni njia za kuvamiwa na mume wa kiroho (pepo) anaondoa hamu yote ya kushiriki mapenzi na mume wako Ili akufaidi yeye na mwisho akuharibie ndoa.
 
Aisee Kila mtu naona hakosi la Kusema anacho waza, Japo wachangiaji walihitajika wa kike, sasa Mimi nijibu Kama baba wa Kiroho.
Nipewe nafasi ya upendeleo.

Hisia za Mapenzi zipo Hivi ukiwa mzima wa Afya kabisa na hujafanya Lile tendo kwa siku ambazo unajua mimi hizi ni nyingi basi Lazima nitamani Ngono.

Wengine siku 1, wengine 2, au 4 au 7 na kuendelea it's normal.

Sasa kama wewe unajua Kabisa mimi kawaida Sivuki 3, Hujafanya week lakini wazo la Kumtaka Mumeo bado halipo tu na unalala nae kila siku.

Lakini nje kwa usie mjua ukimuona Unatamani kabisa, Anapita Mwanaume mbele yako unamuangalia sana kiuno chake na misuri yake ya kalio kisha unamtamani na hata humjui.

sasa badala ukapoze hayo machungu kwa Mumeo, nyege ziishe, wewe tena ukikutana na mumeo genye zote zinapotea.

Ndugu Yangu.... Unachezewa Kiroho.


Kimbia Kwa Yesu, Mapemaaaaaa.
 


Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.​

Kama huna hamu naye lakini unayo hamu mpaka ya kutamani kuchepuka basi huenda Mwamba hakuridhishi.. Jaribu kumshirikisha hili suala huenda kwa pamoja mkapata Ufumbuzi..
 
Chepuka tu unafikiria mumeo angekuchoka angejiuliza mara mbili mbili kuhusu kutafta taste nyingine.
Maisha ni haya haya umekichoka chakula flani unabadilisha tu
mmh! kitu ukiwa unamwambia mwengine afanye ni rahisi, iwe wewe sasa.
 
Back
Top Bottom