Aisee Kila mtu naona hakosi la Kusema anacho waza, Japo wachangiaji walihitajika wa kike, sasa Mimi nijibu Kama baba wa Kiroho.
Nipewe nafasi ya upendeleo.
Hisia za Mapenzi zipo Hivi ukiwa mzima wa Afya kabisa na hujafanya Lile tendo kwa siku ambazo unajua mimi hizi ni nyingi basi Lazima nitamani Ngono.
Wengine siku 1, wengine 2, au 4 au 7 na kuendelea it's normal.
Sasa kama wewe unajua Kabisa mimi kawaida Sivuki 3, Hujafanya week lakini wazo la Kumtaka Mumeo bado halipo tu na unalala nae kila siku.
Lakini nje kwa usie mjua ukimuona Unatamani kabisa, Anapita Mwanaume mbele yako unamuangalia sana kiuno chake na misuri yake ya kalio kisha unamtamani na hata humjui.
sasa badala ukapoze hayo machungu kwa Mumeo, nyege ziishe, wewe tena ukikutana na mumeo genye zote zinapotea.
Ndugu Yangu.... Unachezewa Kiroho.
Kimbia Kwa Yesu, Mapemaaaaaa.