Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

Mwanamke pamoja na vizingizio vya kusema amechoka hajisikii, mara ukimkwaza ukunyinye papuchi anajua mkuyenge upo tu hata siku inayofuata ataupata sasa mziki ajue mashine haipigi kazi shughuli yake ni noma utaambiwa umeenda kwa malaya zako wamekuroga na maneno kibao, mtoa mada tulia tu acha kumpa stress jamaa ni suala la muda tu usiende kuwapo mchezo huko nje utakuza tatizo zaidi.
 
Pole mdogo wangu. Kwanza hongera kwa kutochepuka mpaka leo. Wewe ni mshindi na umefanya vizuri kuomba ushauri, hiyo hali ipo au huwa inatokea kwa wanandoa wengi iwe ni me hata ke hali hiyo hutokea. Asilimia kubwa hali hiyo imechagizwa na maisha tunayoishi siku hizi. Kuna mashambulizi yanafanywa maksudi ili kuleta mabadiriko fulani mabaya katika miili yetu. Nayo hufanywa ktk vyakula, vinywaji, matibabu na ktk mambo ya kiroho. Ukweli hata ukichepuka huyo mchepuko baada ya muda utakuwa huna hisia naye. Kwa hiyo kitakachofanyika utakuwa mtu wa kubadili michepuko mwisho wa siku utahamia ktk tamaa za mapenzi ya jinsia moja au mapenzi kinyume na asili. Ushauri wangu hilo ni tatizo na mrekebishaji wa tatizo hilo ni aliyekuumba na aliyeiumba ndoa yenu. Tafuta usaidizi wa kiroho. Endelea kuwa na msimamo usichepuke, kinyume chake utakuja kujuta.
 
Point mitandao huwabadili sana wanawake
 

Wewe utakuwa Bonge, Jeusi, Maziwa Makubwa kama watermelon na tumbo limesogea Sana ha ha ha wanawake wa Aina hii ndio wenye hayo mambo haswa
 
Nenda kwenye maombi. Ushapigwa scud tayari, hapo kuchepuka ndio kituo kinachofuata.
 
Kumbe
 
Uzuri unamuheshimu. Next chepuka ila endelea kumuheshimu. Na usijisahau maana ubaya wa kuchepuka ni kusahau.

Kitambi kidogo nilikua nafuta msg za wanawake ninaodate nao kuachana na mama watoto wangu.
Kuna siku nikasahau. That means kuchepuka kulifikia hatua mbaya. Mama mtu akaona.
Sema ndio hivo niligoma.
BLACK MAN DONT CHEAT.
Nikamwambia hao washkaji tu.
Ww chepuka, renew utamu huo.
 
Hebu nipe namba yako nikwambie kitu....

Like,seriously....
 
Wote hamna soft skills, hayo sio maisha,
 
Nilivyogundua mimi umesema kuwa wewe unacheo kikubwa.
Unaonekana mume wako hukumpenda mwanzoni.
Hii ni kawaida ya wanawake wakipanda vyeo.
Mimi ninauhakika kuwa umemdharau mume wako,

Kwa umri wako sijajua una umri gani ila naamini ni mtu mzima kabisa.
Kuchepuka sio dili kuna madhara ya kuchepuka madama tabua hilo.
Hasa kwa wanawake ukianza kuchepuka madhara ni makubwa sana.
 
Ukianza kuchepuka tupe mrejesho.
madama.

Mimi nakuakikishia ukianza kuchepuka Lazima utaanza kumdharau mume wako am sure 100%.
Lazima tuu utamdharau na kumpa fedhea sana.

Na inaonekana kabla ujaolewa ulikuwa unalala na wanaume tofauti tofauti.

KUMBUKA 🏥
UKIMWI UPO MADAM.
 
Kama wapo fresh wajaribu kubadilisha mazingira ya tendo au hata chumba kubadilisha muonekano wake wa chumba cha kulala.

Hata kutoka out kwenda sehemu nyingine wafanyie huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…