Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

Duh, ila watanzania kweli tumekuwa judgemental sana. There's no way mtu alete tatizo lake apate suluhu, mara malaya, mara utawekwa soon, mara hiki.

Je, tunaweza kumshauri mtu bila kufanya judgements? Mbona naona ni tatizo ambalo yoyote anaweza kukumbana nalo katika maisha ya ndoa!

Anyway, to each his own!
 
Kuna wanaume pia hufikia stage hii.. Lakini ukivumilia kidogo hiyo hali hupita na hisia zikirudi hurudi kwa kasi ya 5G
Very true, ni stage tu katika ndoa. Just imagine 14yrs unalala na same person kitanda kimoja, mkwaruzane, mfurahiane, lakini yupo tu..sio rahisi hisia kubaki pale pale miaka yote.

Ni kutafuta namna tu ya kutengeneza bond upya ili mrudi kwenye ile stage mliyokuwa mwanzo.

Otherwise huenda ni mabadiliko ya "tabia mwili", ndoa ya miaka 14 huenda dada yupo stages za menopause, so mwili unabadilika.
 
Wamekusikia Maam, wanakuja wahusika kukujibu
 
Kituo kinachofuata ni kuchepuka...

Ni suala la muda tu na litaanza kwa 'kuliwa kimasikhara'
Hapo unakut tayari kuna jamaa anachombeza sasa anataka tumsaidie ku justfy ili akaliwe kimasihara
 
Hormonal imbalance!

Tatua TATIZO HILO!!
 
Haya mambo yanatokea jamani, 14yrs mtu huyo huyo kila siku kuna nyakati utachoka na kukinai tu.
Ila sio kwa muda mrefu, ni muda mchache tu halafu mnarudi kuendelea na maisha ya kawaida unless kama yeye na mumewe hawana ukaribu au bond yaaki kila mtu ana mishe zake wakikutana nyumbani wanakula, wanaulizana habari za watoto kisha kila mtu analala kugeukia upande wake
 
Kituo kinachofuata ni kuchepuka...

Ni suala la muda tu na litaanza kwa 'kuliwa kimasikhara'
nI kweli,ataanza kwa kuliwa kimasihara na baadae ataanza kuchepuka na ataona ni jambo la kawaida kuchepuka
 
  • Kama tatizo limekupata ukiwa kwenye range ya miaka 40 - 49, ujue unahitaji msaada wa kitaalamu zaidi.
  • Kama miaka yakonichini ya hiyo range basi huenda umevurugwa na kasi ya maisha.
  • Kama una miaka zaidi ya 50 hiyo hali ni ya mpito na naamini wanawake wengi wafikapo huo umri hukumbana na hiyo changamoto.
 
Mme wako anaishi na wewe kimazoea
Mim ndo maana naamin mwanamke usiwe mstaarabu sana kwake mda mwingine umfanyie undava ulale uko uko uje asubuhi ndo maana wanawake wanapenda bad boys

Ile hali ya uncertain kwa mkeo akiwa nayo juu yako inamfanya anakua na hisia na wewe
 
Mim ndo maana naamin mwanamke usiwe mstaarabu sana kwake mda mwingine umfanyie undava ulale uko uko uje asubuhi ndo maana wanawake wanapenda bad boys

Ile hali ya uncertain kwa mkeo akiwa nayo juu yako inamfanya anakua na hisia na wewe
 
Nasisi wanaume tunakumbana na hiyo changamoto ndio maana unaona hata mawaziri wadogo wanachemka na wanafunzi wa vyuo vikuu mbali mbali.
Kikubwa mwenza wako asijue especially Kama unamuogopa, maana akijua huyo mchepuko atajua hajui.
 
Kwakuwa umewauliza wanawake wenzako mimi sisemi kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…