Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi.
Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO.
Baadhi ya viongozi wa CCM wamejitishwa majukumu ya kuongoza nchi hivyo kufanya lolote ili kulinda wizi, rushwa, ufisadi, ukiritimba unaota mizizi serikalini pasipo kutaka raia yoyote kupaza sauti juu ya maovu hayo ya serikali.
Suala la kukamatwa kwa TUNDU LISSU, ndo hayo mambo ambao viongozi baadhi wa CCM hawataki kuguswa kwenye empire ya ufisadi waliyojitengenezea hivyo hawataki kuona raia yoyote anawasanua wananchi juu ya kuchukua hatua dhidi ya matendo dhalimu ya viongozi wa CCM.
Wanasahau kwamba wenye mamlaka na nchi hii ni WANANCHI hivyo namna ya kuliongoza taifa hili (KATIBA) inapaswa kutoka kwa wananchi wenyewe na wao ndio waamue kanuni Gani za uchaguzi zinabidi zitumike ili kupata viongozi wanaowaitaji wao watakao zingatia uhuru na maoni ya wananchi kwanza kwa sababu ndio waajiri wao.
Rais wa JMT ni mtumishi wa wananchi kwa sababu analipwa mishahara, maposho na anasa kede kede kutoka katika Kodi za wananchi hivyo ni yeye ndio anapaswa awe anawatetemekea wananchi kwa sababu ndio mabosi wake.
Hivyo hivyo waajiriwa wengine wa wananchi ni pamoja na mawaziri, wabunge, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya n.k
Sasa anapotokea kiongozi from nowhere anaamuru mtu Fulani akamatwe kisa TU hajasifia "Mama Anaupiga mwingi" nadhani huyo kiongozi halitakii mema taifa hili.
Haiwezekani sote tusifie Mama Anaupiga mwingi wakati rasilimali zetu kama taifa hazipo salama.
Mawakili wa CHADEMA na wale wenye mapenzi mema na taifa hili ni muda Sasa wa kukiwasha kweli kweli kwa kuhakikisha kesi juu ya mafisadi na maharibu mifumo yanaudhulia mahakamani kwenda kujibu tuhuma zao.
Wafuatao wanapaswa kufungliwa kesi mahakamani.
- mkuu wa mikoa aliyeamuaru Tundu Lissu mwenyekiti wa CHADEMA kukamatwa kwenye mkoa wake.

- Makaa ya mawe songwe yanaibiwa kwa kutoroshwa,
- mabilioni ya mradi wa BBT hayaeleweki yametumikaje,
- Billion 31, ukarabati wa uwanja wa taifa hazieleweki zimefanya kazi Gani zaidi ya kuongeza mabwawa ya maji kwenye pitch,
- Dp world wamechukua bandari
- Wamasai wamefukuzwa ngorongoro ili kupisha wajomba waarabu wamiliki eneo Hilo,
- Wizi na ufisadi wa kutisha umeripotiwa kwenye ripoti ya CAG lakini hakuna waziri (fisadi) aliyewajibishwa.
- Pesa za Abdul zililalamikiwa sana kuharibu mifumo ya upinzani lakini mpka kesho, TAKUKURU hajamuita huyo Abdul kujibu hizo tuhuma ili kama Kuna ukosefu wa mabadiliko awajibishwe.
- Tamisemi kupitia waziri wakavuruga uchaguzi wa mitaa lakini hakuna aliyewajibishwa Hadi Leo
- Vyombo vya habari haviko huruma kuripoti wizi na mapungufu ya serikali zaidi wamegeuzwa kuwa chawa wa kusema mazuri TU serikali kana kwamba umasikini ulioko kwenye jamii ya kitanzania hawauoni.
Mawakili wa CHADEMA na wale wenye mapenzi mema na taifa hili ni muda Sasa wa kukiwasha kweli kweli kwa kuhakikisha kesi juu ya mafisadi na maharibu mifumo yanaudhulia mahakamani kwenda kujibu tuhuma zao.
Wafuatao wanapaswa kufungliwa kesi mahakamani.
- mkuu wa mikoa aliyeamuaru Tundu Lissu mwenyekiti wa CHADEMA kukamatwa kwenye mkoa wake.
- mkuu wa wilaya aliyeamuaru Tundu Lissu mwenyekiti wa CHADEMA kukamatwa kwenye wilaya yake.
- rpc wa mkoa aliyeruhusu tukio Hilo kutokea pamoja na polis wengine waliohusika na tukio Hilo
- hakimu aliyeamuaru Tundu Lissu akae rumande Hadi tarehe 24/4 pasipo dhamana
- waziri wa tamisemi aliyeharibu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, aliyesababisha taharuki kwenye taifa kwa kuengua viongozi wa upinzani TU kwamba hawajui kuandika angali wa CCM wote watapitishwa. Huyu waziri kwa dharau kabisa alidharau kauli mbiu ya rais ya 4R ambayo ilitaka kujisahihisha na kuleta mabadiliko kwenye mifumo ya serikali hasa uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu lakini baada ya kudharau 4R za rais ameleta taharuki nchini mpaka Sasa tumefika kwenye kupeana kesi za UAHINI kisa watu kudemand reforms za rais alizo ahidi kwenye 4R zake.