antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kwenye hayo mashtaka ongeza Kuteka na Kuua2. MASHTAKA (CRIMINAL CHARGES)
Mtuhumiwa Kosa/Mshitaka Sheria Inayovunjwa Mkuu wa Mkoa Matumizi Mabaya ya Madaraka Penal Code s.96 Mkuu wa Wilaya Uonevu wa Kisiasa Penal Code + Katiba Ibara ya 13, 18 RPC na Polisi Wengine Kuzuia haki ya kujieleza, kukamata isivyo halali Penal Code + Criminal Procedure Act Hakimu Kutoa uamuzi wa kisiasa na kinyume cha sheria Judicial Conduct and Ethics Code Waziri wa TAMISEMI Kuvuruga uchaguzi Election Act + Abuse of Office Viongozi serikalini (kwa CAG report) Ufisadi na matumizi mabaya ya fedha PCCB Act, Public Finance Act
Penal Code Cap. 16 - Section 96: Abuse of Office
"Any person who, being employed in the public service, does or directs to be done, in abuse of the authority of his office, any arbitrary act prejudicial to the rights of another, is guilty of an offence..."
Mkuu,
Kwenye mahakama gani?
Maana hizi zilizopo na mahakimu/majaji wake walishapoteza mwelekeo wa kutenda haki. Ni makada/chawa wa chama.
Nani ataunda hiyo tume?
Regrettably, wanufaika wa matumizi mabaya ya madaraka ndiyo wenye mamlaka!
Hawatatekwa?
Yaende tu, Wanasheria wa CDM twende KaziShukrani sana chief umesaidia uu uzi uwe relevant, Sasa mshauri haya yanaweza kwenda mahakamani.
Nguvu ya wananchi inaweza kusababisha mahakamani kuwa fungulia kesi. Hivyo wanasheria na mawakili wa CHADEMA walifanyie kazi haraka ombi hili.Ni kweli Mchengerwa ni mhalifu na ndiye kachangia kuibuka kwa NRNE, ila kumbuka policcm ni makada wenzake, ni nani ataenda kumkamata?!
Nenda kamtembelee Lisu alipo uko selo mwambie !!!Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi.
Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO.
Baadhi ya viongozi wa CCM wamejitishwa majukumu ya kuongoza nchi hivyo kufanya lolote ili kulinda wizi, rushwa, ufisadi, ukiritimba unaota mizizi serikalini pasipo kutaka raia yoyote kupaza sauti juu ya maovu hayo ya serikali.
Suala la kukamatwa kwa TUNDU LISSU, ndo hayo mambo ambao viongozi baadhi wa CCM hawataki kuguswa kwenye empire ya ufisadi waliyojitengenezea hivyo hawataki kuona raia yoyote anawasanua wananchi juu ya kuchukua hatua dhidi ya matendo dhalimu ya viongozi wa CCM.
Wanasahau kwamba wenye mamlaka na nchi hii ni WANANCHI hivyo namna ya kuliongoza taifa hili (KATIBA) inapaswa kutoka kwa wananchi wenyewe na wao ndio waamue kanuni Gani za uchaguzi zinabidi zitumike ili kupata viongozi wanaowaitaji wao watakao zingatia uhuru na maoni ya wananchi kwanza kwa sababu ndio waajiri wao.
Rais wa JMT ni mtumishi wa wananchi kwa sababu analipwa mishahara, maposho na anasa kede kede kutoka katika Kodi za wananchi hivyo ni yeye ndio anapaswa awe anawatetemekea wananchi kwa sababu ndio mabosi wake.
Hivyo hivyo waajiriwa wengine wa wananchi ni pamoja na mawaziri, wabunge, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya n.k
Sasa anapotokea kiongozi from nowhere anaamuru mtu Fulani akamatwe kisa TU hajasifia "Mama Anaupiga mwingi" nadhani huyo kiongozi halitakii mema taifa hili.
Haiwezekani sote tusifie Mama Anaupiga mwingi wakati rasilimali zetu kama taifa hazipo salama.
Kwa misingi hiyo viongozi wa CHADEMA ndio wamekuwa na uchungu kwa taifa hili kwa sababu wao ndio wanayasemea maumivu ya wananchi pasipo kujali nini kinaweza kuwakuta.
- Makaa ya mawe songwe yanaibiwa kwa kutoroshwa,
- mabilioni ya mradi wa BBT hayaeleweki yametumikaje,
- Billion 31, ukarabati wa uwanja wa taifa hazieleweki zimefanya kazi Gani zaidi ya kuongeza mabwawa ya maji kwenye pitch,
- Dp world wamechukua bandari
- Wamasai wamefukuzwa ngorongoro ili kupisha wajomba waarabu wamiliki eneo Hilo,
- Wizi na ufisadi wa kutisha umeripotiwa kwenye ripoti ya CAG lakini hakuna waziri (fisadi) aliyewajibishwa.
- Pesa za Abdul zililalamikiwa sana kuharibu mifumo ya upinzani lakini mpka kesho, TAKUKURU hajamuita huyo Abdul kujibu hizo tuhuma ili kama Kuna ukosefu wa mabadiliko awajibishwe.
- Tamisemi kupitia waziri wakavuruga uchaguzi wa mitaa lakini hakuna aliyewajibishwa Hadi Leo
- Vyombo vya habari haviko huruma kuripoti wizi na mapungufu ya serikali zaidi wamegeuzwa kuwa chawa wa kusema mazuri TU serikali kana kwamba umasikini ulioko kwenye jamii ya kitanzania hawauoni.
Mawakili wa CHADEMA na wale wenye mapenzi mema na taifa hili ni muda Sasa wa kukiwasha kweli kweli kwa kuhakikisha kesi juu ya mafisadi na maharibu mifumo yanaudhulia mahakamani kwenda kujibu tuhuma zao.
Wafuatao wanapaswa kufungliwa kesi mahakamani.
- mkuu wa mikoa aliyeamuaru Tundu Lissu mwenyekiti wa CHADEMA kukamatwa kwenye mkoa wake.
Huyu waziri wa tamisemi ndie aliyetufikisha kwenye NO REFORMS NO ELECTION kutokana na kutokujali kwake 4R za rais hivyo yeye ndie anapaswa kuwa rumande muda huu na sio Tundu Lissu.
- mkuu wa wilaya aliyeamuaru Tundu Lissu mwenyekiti wa CHADEMA kukamatwa kwenye wilaya yake.
- rpc wa mkoa aliyeruhusu tukio Hilo kutokea pamoja na polis wengine waliohusika na tukio Hilo
- hakimu aliyeamuaru Tundu Lissu akae rumande Hadi tarehe 24/4 pasipo dhamana
- waziri wa tamisemi aliyeharibu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, aliyesababisha taharuki kwenye taifa kwa kuengua viongozi wa upinzani TU kwamba hawajui kuandika angali wa CCM wote watapitishwa. Huyu waziri kwa dharau kabisa alidharau kauli mbiu ya rais ya 4R ambayo ilitaka kujisahihisha na kuleta mabadiliko kwenye mifumo ya serikali hasa uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu lakini baada ya kudharau 4R za rais ameleta taharuki nchini mpaka Sasa tumefika kwenye kupeana kesi za UAHINI kisa watu kudemand reforms za rais alizo ahidi kwenye 4R zake.
Uwe unatumiwa akili basi kwani 2020, CHADEMA haikuingia kwenye uchaguzi? Nini mlifanya? Damu za watu zimejaa mikononi mwenu mpaka mmepata upofu.Nenda kamtembelee Lisu alipo uko selo mwambie !!!
wale watoto wake aliosema wanaogopa kuja Tz wanaogopa Mapolisi mkumbushe mwambie wale ndio kina Abdur wa baadae yeye akiwa Rais Sasa waje kipindi iki cha kulima sio wkt wa mavuno !!!!
na ikiwa yeye ni Mzazi mzuli ndio mana kawaficha Watoto wake Seem Salama Basi Kabet vibaya kutegemea Watoto wa wenzie ndio Awataogopa Mapolisi mkumbushe nao pia Wanawazazi wao wamewaongoza kukaa mbali na Mapolisi kama wale wako.!!!!
mbona Mbowe alitoka n mtoto wake tena wakike kwenye Mapambano!!!!
yeye vip kaja kukichafua uku Familia yake kaificha uko Marekani Ukombozi gani uko ivyo !!!!
polisi mahakama kamatieni apo apo akili itamrudia tu.. kama wale Mashekh leo unawasikia wametulia uyo Lisu ninani wa kusumbua Jamhuri!!!!
umoja wetu ndio Ugali wetu sisi makabwela atuna pakukimbilia kama yeye,,,??
Bola kuwekewa vikwazo lkn tuwe na Aman yetu kuliko kutokuwa na Vikwazo lkn Aman Ikatoeka !!!
mficheni Lisu moyo wake umejaaa Visasi ambavyo kavitafuta mwenyewee na Domo lake !!!!
Chedema Watachagua kiongozi Mwengine maisha yaendeleee,,
Kosa kubwa CHADEMA kuongozwa na uyu Lisu ambae tunajua moyoni ayupo sawa anatamani kinuke tu!!!!
leo wanapoteza haki ya kushiliki Uchaguzi je angekuwa Mbowe Wana CHADEMA leo wangefika apo walipo. !!!
CCM unamsusia Uchaguzi kwani uko Siku za nyuma ajawai kususiwa kimetokea nini chenye maana !!!
Chama kimepoteza fursa kijinga kabisa kingeweka Wabunge madiwani kiti cha Rais Wangekosa kweli japo Wabunge na Madiwani !!!!
tume ya uchaguzi ndio iyoiyo Wabunge wa upinzani walitawala mkoa huu wa Dar es salaam mpaka meya alitoka Upinzani tume ilikuwa ipi sio hiiii. !!!!
Nukuuu Ukombozi unatutangazia uku Familia yko umeifiisha na unakili mwenyewe baada ya kuulizwa!! eti wanaogopa polisi na usalama wao!!! Kazi kwenu msiogopa Mapolisi ndio mtaji wake!!!!
Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi.

🚮Nenda kamtembelee Lisu alipo uko selo mwambie !!!
wale watoto wake aliosema wanaogopa kuja Tz wanaogopa Mapolisi mkumbushe mwambie wale ndio kina Abdur wa baadae yeye akiwa Rais Sasa waje kipindi iki cha kulima sio wkt wa mavuno !!!!
na ikiwa yeye ni Mzazi mzuli ndio mana kawaficha Watoto wake Seem Salama Basi Kabet vibaya kutegemea Watoto wa wenzie ndio Awataogopa Mapolisi mkumbushe nao pia Wanawazazi wao wamewaongoza kukaa mbali na Mapolisi kama wale wako.!!!!
mbona Mbowe alitoka n mtoto wake tena wakike kwenye Mapambano!!!!
yeye vip kaja kukichafua uku Familia yake kaificha uko Marekani Ukombozi gani uko ivyo !!!!
polisi mahakama kamatieni apo apo akili itamrudia tu.. kama wale Mashekh leo unawasikia wametulia uyo Lisu ninani wa kusumbua Jamhuri!!!!
umoja wetu ndio Ugali wetu sisi makabwela atuna pakukimbilia kama yeye,,,??
Bola kuwekewa vikwazo lkn tuwe na Aman yetu kuliko kutokuwa na Vikwazo lkn Aman Ikatoeka !!!
mficheni Lisu moyo wake umejaaa Visasi ambavyo kavitafuta mwenyewee na Domo lake !!!!
Chedema Watachagua kiongozi Mwengine maisha yaendeleee,,
Kosa kubwa CHADEMA kuongozwa na uyu Lisu ambae tunajua moyoni ayupo sawa anatamani kinuke tu!!!!
leo wanapoteza haki ya kushiliki Uchaguzi je angekuwa Mbowe Wana CHADEMA leo wangefika apo walipo. !!!
CCM unamsusia Uchaguzi kwani uko Siku za nyuma ajawai kususiwa kimetokea nini chenye maana !!!
Chama kimepoteza fursa kijinga kabisa kingeweka Wabunge madiwani kiti cha Rais Wangekosa kweli japo Wabunge na Madiwani !!!!
tume ya uchaguzi ndio iyoiyo Wabunge wa upinzani walitawala mkoa huu wa Dar es salaam mpaka meya alitoka Upinzani tume ilikuwa ipi sio hiiii. !!!!
Nukuuu Ukombozi unatutangazia uku Familia yko umeifiisha na unakili mwenyewe baada ya kuulizwa!! eti wanaogopa polisi na usalama wao!!! Kazi kwenu msiogopa Mapolisi ndio mtaji wake!!!!
Mwaka 2020 CCM chini RAIS JPM RIP. tofaut na CCM chini y RAIS Samia nakukumbusha kwann !!!Uwe unatumiwa akili basi kwani 2020, CHADEMA haikuingia kwenye uchaguzi? Nini mlifanya? Damu za watu zimejaa mikononi mwenu mpaka mmepata upofu.