Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

Kwani WORLDREMIT ina torfauti gani na PAYPAL?
hiyo ni kana western union .Paypal mtu akinunua hela inaingia hapo hapo hiyo ingine ni ya ku transfer pesa.Hebu fikiria mteja wako anunue kitu mtandaoni halafu afunge safari kwenda ofisi ya western union aambatinishe ushahidi wa anayetumia nk nani yuko tayari kupoteza huo muda na gharama ? na wewe ufunge safari kwenda ofisi ya western union kuchukua pesa yako si ujinga huo na kupotezeana muda na gharama na ukiritimba

psypal ni papo kwa papo anachukua bidhaa pesa hii hapa
 
Mkuu hebu angalia vizuri . Mimi hata leo hii nimepokea pesa toka ulaya kwenye simu yangu ya tiGO.
Kuna option ya ku send to a mobile phone. TZ itakupa option ya tigo. Kenya inakupa Safaricom na kakijimtandao fulani ka kilugha nimekasahau jina
 
Haswaaa
 
issue ni.kuwa maduka yote mitandaoni hayaitambui wala kutumia world remmit .Naongelea njia ya kupata pesa ukiiuza vitu kwenye maduka mitandaoni.siongelei kutumiana pesa kati ya mtu na mtu
 
issue ni.kuwa maduka yote mitandaoni hayaitambui wala kutumia world remmit .Naongelea njia ya kupata pesa ukiiuza vitu kwenye maduka mitandaoni.siongelei kutumiana pesa kati ya mtu na mtu
Nimekuelewa mkuu.
Cheers
 
Yaan vijana wanahaha kupata nafasi kwa kutetea hoja ambazo hazina mashiko kwa vijana wenzao badala ya kujenga hoja kuwasaidia wenzao. Ubinafsi unawasumbua vijana wengi wa kitanzania wanaotaka uongozi
 
Kwan ile Petition ilifikia wapi, ile ya kuhusu serikali ikubali PayPal kutumika Tanzania.!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…