Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

Sio kila pesa inayoingia ni haramu, ametoa mfano wa urahisi wa kuuza bidhaa kama vinyago kwenye maduka ya online kama Ebay. Unajua kampuni kama Amazon linachangia kiasi gani kwenye uchumi wa USA?

Kwani nchi ambazo zina huduma ya PayPal zina rate gani ya Ugaidi? Tunashindwa kutumia fursa za technology kwa visingizio duni
Umeongea la maana
 
Mtoa mada hebu eleza kwanini benki ya tanzania haijaruhusu mfumo wa kupokea pesa kwa njia ya PayPal ... ili hoja yako isiwe ya upande mmoja[emoji102]
PayPal ni.mfumo unaojitegemea na sawa na Mpesa au tigo pesa unaweza uliza watu wa benki kwa mfano kwa Nini huduma Mpesa au tigo pesa haziko Tanzania?.Hata wao wangekushangaa Tigo Pesa na Mpesa ni mifumo inayoitegemea swali Hilo ulitakiwa uulize Serikali au Vodacom na kampuni ya Tigo
na Serikali sio benki
PayPal wako clear kabisa wanakueleza nchi zote zilizokubali kulipa na kupokea pesa na zingine zinakubali kulipa tu sio kupokea Tanzania ikiwa moja ya nchi ambazo zenyewe zinakubali tu kulipa Lakini wananchi wake hawaruhusiwi kupokea pesa kwa PayPal.

Jirani zetu Kenya kupokea ruksa kwa paypal
 
Serikali ikiruhusu mnitag ili nje nijaribu kutusua mapene
Kazi Ziko nyingi Mfano India customer care desk za makampuni mengi ya nje Ziko majumbani india

Mfano kampuni iko Marekani Lakini customer care office iko nyumbani kwa mtu India.

Chukulia Mfano mteja anauliza bidhaa kampuni.inazouza kwa email .Ile email inajibiwa na mtu aliye India.Sababu wakiajiri mtu Marekani kumlipa inakuwa gharama kubwa wa India inakuwa gharama kidogo .Sababu anafanya nyumbani kwake yaweza kuwa hata kijijini India .Akiwafanyia wanamlipa chake kwa PayPal

Kazi hizo kwa Tanzania ngumu kufanya sababu haturuhusiwu kupokea pesa kupitia PayPal.Wangeruhusu mtu unaomba kazi hata ya uofisa uhusiano,uwakili wa kushauri kampuni yeyote Duniani online na kulipwa,kufundisha tuituion online na kulipwa kwa PayPal,kwa wahasibu waweza tumiwa mahesabu uandae vitabu vya kihasibu online nk

Consulatancy nyingi mtu aweza fanya online na kulipwa chake chap chap kwa paypal
 
Paypal mbona tiyari inafanya kazi. Kulipa na kulipwa vyote mwake mwake
 
Kazi Ziko nyingi Mfano India customer care desk za makampuni mengi ya nje Ziko majumbani india

Mfano kampuni iko Marekani Lakini customer care office iko nyumbani kwa mtu India.

Chukulia Mfano mteja anauliza bidhaa kampuni.inazouza kwa email .Ile email inajibiwa na mtu aliye India.Sababu wakiajiri mtu Marekani kumlipa inakuwa gharama kubwa wa India inakuwa gharama kidogo .Sababu anafanya nyumbani kwake yaweza kuwa hata kijijini India .Akiwafanyia wanamlipa chake kwa PayPal

Kazi hizo kwa Tanzania ngumu kufanya sababu haturuhusiwu kupokea pesa kupitia PayPal.Wangeruhusu my unaomba kazi hata ya uofisa uhusiano,uwakili wa kushauri kampuni yeyote Duniani online na kulipwa,kutundisha tuituion online na kulipwa kwa PayPal,kwa wahasibu waweza tumiwa mahesabu waandae vitabu vya kihasibu online no

Consulatancy nyingi mtu aweza fanya online na kulipwa chake chap chap kwa paypal
Inasikitisha sana kuona fursa kama hizi hazikamatiki kirahisi kwa sababu ya sera mbovu mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana kuona fursa kama hizi hazikamatiki kirahisi kwa sababu ya sera mbovu mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali mara ingine Kodi sio Lazima iwinde kila mtu alipe Kodi kodi zingine zaweza amshwa kwa kufungua njia za watu wengine mfano kuingiza pesa kupitia PayPal kupitia Simu zao za mkononi.Zikiingia kuzitoa TRA lazima ipate chake.Ukidhibiti Sana uingizaji wa pesa pia unaikomoa TRA ishindwe kupanua wigo wa kukusanya pesa.Sababu kutoa pesa kwenye akaunti au Simu Kuna charges ambazo TRA ni mdau anayepata pesa automatically.

Nchi za Afrika magharibi foreign remmittance inachangia Dana mapato ya nchi zao ya nje na pia inachangia mno mapato kwenye charges za kutoa hizo pesa hizo zilizotumwa

Mtu akipata pesa toka PayPal hela ya Kodi atailipa tu Wakati wa kutoa kupitia benki au kampuni za Simu

Woga hata sijui wa Nini
Halafu sio sahihi kwa nchi ku encourage watu watumie pesa Lakini wadhibitiwe kupokea pesa huo Ni ujinga uliopitiliza
 
Nasikia kuna watanzania wana SIM Card za Safaricom. Nilichosikia wanaweza kupokea pesa Paypal na kutoa kwa njia ya Mpesa kupitia SIM Card ya Safaricom. Hili lina ukweli? Ufafanuzi tafadhali
Uongo kupokea bado
 
Nasikia kuna watanzania wana SIM Card za Safaricom. Nilichosikia wanaweza kupokea pesa Paypal na kutoa kwa njia ya Mpesa kupitia SIM Card ya Safaricom. Hili lina ukweli? Ufafanuzi tafadhali
Yes tumeset account zetu kuwaa tuko kenya na kuilink na safaricom
 
Usisingizie wazee mkuu.Vijana wengi sana serikalini na kiasi fulani bungeni.

Nikihesabu vijana walio na nafasi ya kutoa maoni yao yakasikilizwa ni wengi.Au una maana gani kusema wazee?
Wako kwenye nafasi za maamuzi?.
 
Sehemu nyingi saivi wameongezea mastercard na visacard mbali na paypal. Ndo mana mpesa wakaleta ile mpesa mastercard kwa wanaojihusisha na shughuli hizo za malipo ya mtandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia kuna watanzania wana SIM Card za Safaricom. Nilichosikia wanaweza kupokea pesa Paypal na kutoa kwa njia ya Mpesa kupitia SIM Card ya Safaricom. Hili lina ukweli? Ufafanuzi tafadhali
Sijalifanyia utafiti sijui ila kwa Nini mtanzania apate shida yote hiyo ya kutafuta laini ya safaricom? Serikali iangalie hayo mateso ya raia wake Kama
kweli yapo isaidie raia wake.
 
Sehemu nyingi saivi wameongezea mastercard na visacard mbali na paypal. Ndo mana mpesa wakaleta ile mpesa mastercard kwa wanaojihusisha na shughuli hizo za malipo ya mtandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Zote hizo Ni njia za haraka za kulipa tatizo hatuna za haraka za kupokea za malipo Kama za PayPal kwenye online
 
nikilima nauza mazao yangu napaki vizuri tayari kuuza nje online nitalipwaje kama paypal hairuhusiwi?

Hivi paypal ndio njia pekee ya kufanya malipo/kupokea pesa mtandaoni?
Sijui tunakwama wapi kufikiri... nasikitika sana. [emoji17][emoji17][emoji45]
 
Back
Top Bottom