Kazi Ziko nyingi Mfano India customer care desk za makampuni mengi ya nje Ziko majumbani india
Mfano kampuni iko Marekani Lakini customer care office iko nyumbani kwa mtu India.
Chukulia Mfano mteja anauliza bidhaa kampuni.inazouza kwa email .Ile email inajibiwa na mtu aliye India.Sababu wakiajiri mtu Marekani kumlipa inakuwa gharama kubwa wa India inakuwa gharama kidogo .Sababu anafanya nyumbani kwake yaweza kuwa hata kijijini India .Akiwafanyia wanamlipa chake kwa PayPal
Kazi hizo kwa Tanzania ngumu kufanya sababu haturuhusiwu kupokea pesa kupitia PayPal.Wangeruhusu my unaomba kazi hata ya uofisa uhusiano,uwakili wa kushauri kampuni yeyote Duniani online na kulipwa,kutundisha tuituion online na kulipwa kwa PayPal,kwa wahasibu waweza tumiwa mahesabu waandae vitabu vya kihasibu online no
Consulatancy nyingi mtu aweza fanya online na kulipwa chake chap chap kwa paypal